Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,928
- 1,252,056
Welcome. Usikimbie tu
nakuja pm kukupima hizo hekima
nakuja pm kukupima hizo hekima
Nadhani ni majina mawili tofauti hayo.
Sasha ni Sasha na Natasha wakati mwingine hufupishwa na kuwa Tasha...
Hapo kwenye Sasha na Tasha nadhani ndo umepachanganya....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Erokamano Jaduong"
Hilo sio jina moja kweli?Jasmine na kuna Yasmin....
Hilo sio jina moja kweli?
Mbona naliona kama ni jina moja tu ila lenye kuweza kuwa na matamshi tofauti yanayotokana na lahaja ya sehemu....
Kama vile John na Yohana...Joseph na Yosef/ Yusuf...na Musa na Moses...
Sasa Sasha na Natasha wapi na wapi?Sasha Obama her full name ni Natasha Obama...
Sasa Sasha na Natasha wapi na wapi?
Labda wao kwenye familia yao tu ndo wameamua kulifupisha hivyo lakini akina Natasha wengi niwajua mimi ufupisho wa majina yao huwa ni Tasha.
Ahahahaaa hiyo kali.Yes ni jina moja
but culture na vitu vingine
ndo maana kuna Marry na Mariam na Miriam....
Kuna waswahili walikuwa hawataki kuitwa Angelina
wanajiita Angel .....hadi walipomsikia Angelina Jolie
Hivi hilo jina kwanza asili yake ni wapi? Urusi?CNN kuna presenter mmoja alikuwa anaitwa Sasha Salama nae real name yake ilikuwa Natasha...
Ahahahaaa hiyo kali.
Ila umegundua siku hizi majina ya kiasili yanaelekea kuisha kabisa?
Jaribu tu kuchunguza majina ya watoto walio wengi siku hizi....
Wengi wao wana majina yote ya kigeni [anglo saxon].
Majina ya ukoo yanaanza kupotea taratibu.
Unakuta kimdada kinaitwa Amber James au Jacqueline Richard.....
Hayo ni majina ya kiasili kweli?
Hivi hilo jina kwanza asili yake ni wapi? Urusi?