Shukrani sana kwa elimu hii mkuu 2kimo naamini elimu hii itawanufaisha wengi kupitia uzi huuMwite majina haya:-
Zawadi
Furaha
Upendo
Neema
Rehema
Bahati
Maua
Tausi
Ni majina mazuri ya kiislam, na yenye maana moja kwa moja huitaji kuomba mtu akutafsirie!
wengi msichokielewa mnafikiri kuita jina lenye asili ya kiarabu ndio majina ya kiislam. lakini uislam unaelekeza majina mazuri na uzuri wa jina ni lile lenye kuashiria wema/mema.
Nje ya hapo unaweza kuita majina ya wanawake watukufu waliotangulia kama
Aysha ... Mke wa Mtume S.A.W
Khadija... Mke wa Mtume S.A.W
Amina ... mama wa Mtume S.A.W
Halima... mlezi wa Mtume S.A.W
Asya ....mke wa Firauni (alikuwa mwema na alimuamini nabii Mussa (A.S) na kumpinga mumewe Firauni
Sarah .. Mke wa Nabii Ibrahim A.S
Mariam .. Mama na Nabii Issa A.S
Fatma ... Binti wa Mtume S.A.W
Jina zuri sipendi kumwita mtoto Majina ya kizungu Sana, wakiume unamwita mkuki...!!Duh. . . . . ! mkuu Mashimba Son umetisha
Nyota tena?
Kwani tatizo nini? Mwenye mtoto hataki majina ya kiasili.Mbona majina yenyewe ya kiarabu haya?
Muite Mange kimambi[/QUO
Hii hapana mkuu, aliye nalo linamtosha kabisa
Mbona majina ya kuvutia hayoThubutuuuuuuuuuu...........
haya hapana tena big no..!
Hivi nitaanzaje kumuita binti yangu TUFE
kati ya hayo moja langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] kumbe zuri eeehButhaina
Hajra
Jamila
Shamila
Sabah
Alyah
Latifa
Rujaina
balqisNi lipi sahihi BALQIS ama BILQIS?
Na maana yake kama unayo itapendeza sana kiongozi
Tatizo lipo,unapokataa asili yako na kuifuata asili ya kigeni(kiarabu) maana yake asili yako(uafrika/uswahili) unapotea kisha unatukuza na kukuza mira za waarabu,jambo ambalo ni hatari sana kwa Maendeleo ya mtu mweusi.Kwani tatizo nini? Mwenye mtoto hataki majina ya kiasili.