ligema274
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 321
- 183
Ni la Kiarabu.Mkuu Johari ni jina la kiislam?
Ni la Kiarabu.Mkuu Johari ni jina la kiislam?
Asante sana mkuu hussein mlagwamwanamke shujaa mcha Mungu sana SUMAYYA
Lako wewe ni lipi hapoNamrath
Hurath
Lisalat
Zaudiat
Sabuat
Faidhat
Aishat
Eishat
Ruyat
Shakirat
Fashirat
None of the above. am a ChristianLako wewe ni lipi hapo
Sasa unaonaje tuu akimwita kwa kiswahili na si kiarabu? Tukuze kiswahili. Amuite Mtiifu, Soma au Usiku MwemaLeyla =good night
Latifa = mtiifu
Iqra = soma
Asante sana mkuu EasymutantMwanaasha
Asante sana mkuu mbeyakwetuzahara