Ifuatayo ni Ratiba rasmi kwa Watanzania wote juu ya Kuwasili kwa Timu yetu ya Taifa Stars Usiku wa leo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Saa 9 Usiku: Timu itawasili JNIA huku Taa zote zikiwa zimezimwa Uwanjani ili Wachezaji wajigonge na Vyuma waumi na wengine wajikwae hadi Kuanguka ili akili ziwakae sawa Michuano ijayo wazitumie vyema Pesa za Walipa Kodi wa Tanzania.

Saa 9 na Robo Usiku hadi Saa 1 Alfajiri: Timu nzima pamoja na Benchi la Ufundi litawekwa katika Chumba Maalum ambacho kina Mbu wa Dengue ili wang’atwe vizuri na Waugue ili Akili ziwakae sawa.

Saa 1 Asubuhi hadi Saa 2 Asubuhi: Wachezaji wote kila Mmoja atapewa Mtaa wake Jijini Dar es Salaam ili aufagie na kama kuna Maua ya Kukatakata basi watayaweka vizuri na ikibidi hizo barabara za hiyo Mitaa wataipiga Deki ili Akili zao ziwakae sawa.

Saa 3 Asubuhi hadi Saa 7 Mchana: Wachezaji wote watakuwa Uwanja wa Taifa ambapo Kila Mtanzania aliyeumizwa na Matokeo ya AFCON atakuja akiwa amebeba Fimbo za Mpera au Mianzi ili wawachape Wachezaji wote.

Saa 7 Mchana hadi Saa 11 Jioni: Timu itakabidhiwa kwa Jeshi ili wawachagulie aina ya Adhabu Kali ya Kuwapa.

Saa 11 Jioni hadi Saa 12 Jioni: Muda Maalum wa Watanzania wote Kushuhudia Kupigwa Risasi kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa Stars, Rais wa Mpira na Kocha Mkuu bila Kuwasahau na wale Wote waliomdanganya Rais kuwa uwepo Wao Misri Timu ingeshinda na hata Kuwa Mabingwa.

Saa 12 Jioni hadi Saa 5 na dakika 59 Usiku: Ni muda wa Kila Mchezaji Kurudisha Serikalini Pesa zote ambazo walipewa huko nchini Misri kama Posho ili ziweze Kutumika Kujenga Madaraja mapya, Vyoo na Kuwanunulia Magari Wanafunzi wa Shule za Msingi.

Saa 6 Kamili Usiku: Mwisho wa Ratiba yetu na Wachezaji huku wakiwa Hoi wataruhusiwa Kurudi Makwao ila huku kila Mmoja akiwa anaruka Kichurachura.
 
Hii imeandikwa na shabiki, pqmoja na mwenyekiti wake wasio kuwa hata na uwezo wa kupiga danadana 2
 
Je bashite naye ataambatana na timu?
 
Daaa

Daaah hatari
 
Back
Top Bottom