Jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe. Ni Mnyarwanda na si Mkongo


N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
haya mambo yanakera jamani,unapoona wapinzani wa kweli congo kama kina martin fuyulu wanalia kwa sababu wanaona hadi sasa hivi nchi yao ipo contolled by remote from kigali maana Tshisekedi ni pambo tu.
Kuna watu bado wanadhani huyu jamaa ni mcongo na wanadhania jina lake halisi ni joseph kabila,la hasha kwa wasiofahamu embu tupate historia kwa ufupi
**alizaliwa mwaka 1971 baba yake akiitwa Christopher kanambe kazemberembe na mama yake akiitwa marcellina Mukambukuje

*Baba yake alikuwa ni muasi anayepinga utawala wa Juvenal Habyarimana na katika harakazti hizo akakutana na laurent kabila aliyekuwa kwenye mapigano ya kumpinga mobutu seseseko,wakawa marafiki chanda na pete kwenye issue zao za kivita
*mwaka 1977 bwana kanambe alifariki dunia na kwa mujibu wa mila ilibidi kabila amrithi mke wake kanambe yaanio Marcellina na watoto wke wawili mapacha..Hypolitte na Jenny(wale wa karibu na escape 1 mnakumbuka utajiiri na matanuzi ya huyu dada)
*wote rasmi wakaanza kuitwa kabila, katika harakati za kabila za mapambano alikimbilia tanzania na familia yake ingawaje alikuwa na wanawake 13 na watoto 25 katika sehemu mbalimbali
*Joseph a.k.a Hypolite ni mpwa wa mkuu wa majeshi wa rwanda wa sasa aitwaye James kabarebe na hadi mwaka 1996 alikuwa dereva wake kwenye vita ya banyamulenge ya
kumsaidia kabila kumtoa mobutu hata waziri wa mambo ya nje kipindi hicho wa DRC mr Bizima karaha anakumbuka kumuona kabila akiwa dereva wa Kabarebe
*mwaka 94 na 95 alikuwa porini na jeshi la kagame la RPF
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kesho tutaendelea na part 2 kuonyesha jinsi alivyo rise to power na jinsi plan ya kagame kumuondoa laurent kabila duniani na kumuweka mnyarwanda huyu ilivyofanya kazi inaitwa TROJAN HORSE TECHNIC kama huijui soma historia ya vita ya wagiriki ,hata vile virusi vya computer hatari vinaitwa trojan horse,yaani wanyarwanda waliojifanya wa congolese walliingizwa katika system ya Congo hadi mmoja wao kuwa Rais wengine kushika vyeo vya maana kabisa.
Tutaangalia pia high profile mauaji na ukatili mkubwa uliofanyika congo na bado unafanyika hadi leo.
fake_kabila_hippolyte-kanem-jpg.1089199
Hyppolite kanambe a.k.a Jospeh kabila akiwa na anko wake James kabarebe ambaye ni mkuu wa majeshi wa Rwanda sasa hivi
kanambe-jpg.1089203
1994 akiwa mwanajeshi w RPF vitani chini ya kagame


UPDATE: PART 2 KIFO CHA BABA YAKE HYPPOLITE
CHRIS ADRIEN KANAMBE NA LAURENT KABILA walikutana in 1964 kila mmoja akiwa anapambania nchi yake,kanambe vs wahutu ,kabila vs mobutu seseseko
mamabo yakawa magumu mwaka 1966 wakakimbilia Tanzania chini ya mwamvuli wa P.R.P. (Parti de la Revolution du Peuple)
baada ya vita ya Moba ,Mobutu seseseko alituma watu kumuhonga hela nyingi Adrien kanambe ambaye ni baba halisi wa joseph kabila ili amuue laurent kabila lakini mission ilibuma ,kabila akitisha kikao sehemu iitwayo Nyunzu wanajeshi wake kadhaa wakapatikana na hatia akiwemo Adrien kanambe na wakahukumiwa kifo
laurent akamuoa marcelina na kuwa adopt watoto wake mapacha Jenny na Hypolitte.........
 
comrade wetu

comrade wetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
392
Points
250
comrade wetu

comrade wetu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2018
392 250
hata yule askari mtoto au dogodogo kama walivyokuwa wanawaita aitwaye Rashid aliyefyatua risasi ya kumuua laurent kabila wanasema ni Mtanzania na Laurent alikuwa anamuamini mno
Wacha bana daaah sasa kama ni kweli uko vizuri mno na kwann awe Mtanzania?
 
comrade wetu

comrade wetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
392
Points
250
comrade wetu

comrade wetu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2018
392 250
Binafsi ninaujua ukweli huu tokea miaka mingi iliyopita.
Nilianza kujiuliza maswali mengi baada ya kuona Mwal.Nyerere hamsapot tena Laurent Kabila baada ya kumwangusha Mobutu na yy(Laurent) kuapishwa kua Rais wa Zaire....Kwanini Nyerere alisita kumuunga mkono dakika za mwisho? Hapo kuna hadithi yake tena ndefu...Na je Banyamulenge(kundi la jeshi lililomsaidia Kabila 65% kumwangusha Mobutu liko wapi kwa sass? Achilia mbali kundi la jeshi wastaafu wa Tanzania walioshiriki vita hiyo.
Maswali mengine mengi yalikuja baada ya Rais Laurent Kabila kuuawa tena na walinzi wake na baadae walinzi walomuua ndio waliohakikisha Joseph anakua Raisi wa Kongo.
Baada ya maswali hayo na mengine nikaanza kuutafuta ukweli na moja kati ya ukweli huo ni huu unaolezwa hapo.
Daah Mkuu unasema walinzi walipomstukia jamaa sio wa kwao wakamramba madini ya shaba duuh wako vizuri maana waliona wanasalitiwa aiseee
 
comrade wetu

comrade wetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
392
Points
250
comrade wetu

comrade wetu

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2018
392 250
Nzagambadume unaleta mtafaruku,timbwili na tetemo duuh,kumbe kama ni hivyo daaaah
 
Kilaga

Kilaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2013
Messages
2,107
Points
2,000
Kilaga

Kilaga

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2013
2,107 2,000
Hapa kuna mambo hayako sawa. Laurent kabila alikimbia Congo Mwaka 1976 baada ya kushindwa vita ya kumwangusha Mobutu.
Kwanza alienda Uganda, lakini kwa sababu ya IDD Amin akashindwa kukaa pale na ndiyo kuja Tanzania.
 
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Messages
597
Points
1,000
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2017
597 1,000
Nabisha kwa kuwa Joseph kabila haitwi hivyo Jose kakulia Tanzania na kasoma hapa anafahamika vizuri huyo mwingine wamembumba tu
Mkuu jenga hoja zako vizuri ili wasomaji waelewe unachopinga, kusomea tz hakumfanyi asiwe mnyaranda.

Pengine hupo sahii lakin hauko more detailed katk maelezo yko, umekazania kusomea tzania tu.
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,530
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,530 2,000
Mkuu jenga hoja zako vizuri ili wasomaji waelewe unachopinga, kusomea tz hakumfanyi asiwe mnyaranda.
Pengine hupo sahii lakin hauko more detailed katk maelezo yko, umekazania kusomea tzania tu.
Nimedadavua sana kiongozi kwenye quotes mbalimbali
 
HFOOO

HFOOO

Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
67
Points
95
Age
34
HFOOO

HFOOO

Member
Joined Aug 6, 2018
67 95
semeni yote wakuu ila kwa Daudi aisee ukweli mzima umejulikana ni kweli maana kuna mtu ni rafki yangu alinipeleka hadi kwenye nyumba yao kule kolomije, hata siku anakuwa kondakta kwenye basi duuu
 
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
1,397
Points
2,000
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
1,397 2,000
Mtoa UZI sijui ukikusidia nn kuandaa huu UZI kwa kudai eti kabila ni mrwanda ! Ni tabia yenu wanyarwanda kujaribu kuwatafutia watu wa mataifa mengine adili yao au chimbuko lao yaan mnajiona nyie ndio watunza historia za watu wa nchi za maziwa makuu ... Hata kipindi kile PK alimpo mtibua JK mkazusha ya kuwa former tz first lady ati ni mhutu ! Embu tulieni msawazishe makando kando yenu
 
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
14,746
Points
2,000
mtu chake

mtu chake

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
14,746 2,000
RDC huku Moise Katumbi kawassili mchana huu mjini Lubumbashi
 
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
1,894
Points
2,000
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
1,894 2,000
Uyo jamaa kabila kasoma sangu high school ya mbeya tulisimuliwa na walimu wetu.
 

Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,859
Top