Jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe. Ni Mnyarwanda na si Mkongo

Haiingii akilini mnyakyusa mimi kumrirhi msangu kwasababu ya urafiki na wala sijawahi sikia katika historia isipokuwa ndani ya kabila moja
jibu hili hapa,alizaliwa Congo, baba yake alikuwa ukimbizini akifanya uasi dhidi ya serikali ya wahutu ya habyarimana,zilitumika mila za kivu,alizaliwa huko wakajichukulia kama watu wa huko kivu
According to official record, Joseph Kabila was born on the 04th of June 1971 in Hewabora which is a small village in the Fizi territory of the South Kivu province in the Eastern Congo. He is the eldest son of the former AFDL leader and President of the Democratic Republic of Congo Laurent-Desire Kabila with his wife Sifa Mahanga....
The article published by Africa Federation titled CONCERNING THE TRUE IDENTITY OF MR. HYPPOLITE KANAMBE ALIAS “JOSEPH KABILA” has disputed this fact. According to the article, President Joseph Kabila is neither the biological son of Laurent-Desire Kabila nor the son of Sifa Mahanga. Laurent-Desire Kabila and Sifa Mahanya had 6 children together named Josephine, Cecile, Masengo, Gloria, Kiki and Maguy.
 
Kwenye hii post wamesema ni mtoto Mkubwa wa Laurent Kabila, mwishoni wanakataa tena. Njia ya muongo ni fupi sana

It doesn't matter...story iko jf over ten years now
Do you believe Joseph sio Congolese? Yani akatawale Taifa la watu hivihivi kama hakuna majasusi daaah! Hizi ni akili za usiku.

Magu mwenyewe si mnasemaga ni Mnyarwanda mara Mganda mara Muhaya doooh! Chadema siku ikishika hii nchi Tutasikia Lema ni mtu wa Kiambuu County Mbowe Ni Mmasai dunia haina jema😏
 
Kwenye hii post wamesema ni mtoto Mkubwa wa Laurent Kabila, mwishoni wanakataa tena. Njia ya muongo ni fupi sana
ka quote source ya wikipedia then akatoa fact nyingine, hiyo nyingine ndiyo inayo mislead watu lakini pia ni haki yako kupinga,mimi nitaendelea kumwaga nondo na wewe pia mwaga nondo au siyo?
 
Do you believe Joseph sio Congolese? Yani akatawale Taifa la watu hivihivi kama hakuna majasusi daaah! Hizi ni akili za usiku.

Magu mwenyewe si mnasemaga ni Mnyarwanda mara Mganda mara Muhaya doooh! Chadema siku ikishika hii nchi Tutasikia Lema ni mtu wa Kiambuu County Mbowe Ni Mmasai dunia haina jema😏
hili ni jukwaa la great thinkers ,karibu sana tupingane kwa hoja na ma facts au siyo?
 
kumsaidia kabila kumtoa mobutu hata waziri wa mambo ya nje kipindi hicho wa DRC mr Bizima karaha anakumbuka kumuona kabila akiwa dereva wa Kabarebe
Mr Bizima Karaha Waziri wa mambo ya nje wakati huo kabla alijulikana kama "Bizimana Karaha". Alikuja kulifupisha jina lake miezi kadhaa baada ya kushika mamlaka na baadaye kupotea kabisa katika ulingo wa siasa hadi siku ya leo.
 
kataifa kadogo kana control Congo,li nchi likubwa sq milion2 na kadhaa sisi tuna laki tisa,li nchi mara mbili na nusu ya kwetui lakini hicho kinchi kidogo kinachukua tu madini kila siku kama ya kwake vile na kimuweka Thisekedi tena madarakani.
Usisahau Tanzania
 
Usisahau Tanzania
tanzania inaingia mara mbili na nusu kwa congo na bado wanaendeshwa na hako kanchi kadogo,shida ni mipango kama nchi inakuwa na majitu yenye tamaa za hela yasiyoangalia mbele itaburuzwa tu hata kama ka nchi kama watu 5,000
 
kwa hiyo uongo hapo ni upi?kwamba jama siyo mnyarwanda?haitwi Hyppolite?kabarebe mkuu majeshi wa Rwanda siyo anko wake?hajapigana kwenye jeshi la RPF?hajawahi kuwa dereva wa kabarebe kwenye vita vya banayamulenge?Tshisekedi siyo pandikizi jipya la kagame au unabisha nini?congo hakuchukliwa madini tu hata mbao zinavunwa,ardhi iliyobarikiwa inayonajisiwa na wehu
Kwa ushahidi hadi wa picha mtu haelewi ni kichwa ngumu hataelewa tena labda afe azaliwe tena ndiyo atakuelewa
 
Nasikia miaka hiyo jamaa kabila alikuwa mkimya sana alipokuwa jkt kwa mjibu wa sheria pia alikuwa anapotea campkwa mda flani
soma uelewe bwana mdogo,kasoma hadi mbeya nini dar es salaam wewe?unajua hadi leo kilingala hajui kuongea?umesoma uzi ukauelewa kawa adopted yeye na pacha wake Jenny akiwa na miaka 6 wakachukua na jina la laurent kwa mujibu wa mila,ndiyo maana hata hakuona hatari kushirikiana na askari dogodogo kutoka Tanzania kumuua laurent kabila sababu hakuwa biological; father alikulia Tz kwa jina jingine siyo jina lake halisi
 
tanzania inaingia mara mbili na nusu kwa congo na bado wanaendeshwa na hako kanchi kadogo,shida ni mipango kama nchi inakuwa na majitu yenye tamaa za hela yasiyoangalia mbele itaburuzwa tu hata kama ka nchi kama watu 5,000
Ukubwa wa inchi ya Congo 2,345,409 km2
 
tanzania inaingia mara mbili na nusu kwa congo na bado wanaendeshwa na hako kanchi kadogo,shida ni mipango kama nchi inakuwa na majitu yenye tamaa za hela yasiyoangalia mbele itaburuzwa tu hata kama ka nchi kama watu 5,000
Waafrika wengi ni masikini wa fikra na hawana uzalendo ndiyo maana hatuwezi kuendelea
Kama kutofautiana mawazo tu mtu anakuua au kukuteka na kukutesa lini tutaendelea?

Kagame sasa ndiye mtawala wa East and Central Africa kwa 50 % labda tuondoe kenya tu
 
Usisahau pia thread nyingine ya huyu mtoa mada aliandika CHADEMA na Lowassa kwenye uchaguzi wa 2015 mlipewa hela nyingi sana na Rwanda za kampeni.

So Na mimi naunga mkono hoja.
jikite kwe mada , huu uzi huyu karudia tu , upo maktaba zetu mapema sana , kuhusu lowassa kupewa hela na kagame siwezi kujadili kwa vile lowassa si mwanachama wa chadema
 
Back
Top Bottom