Jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe. Ni Mnyarwanda na si Mkongo

Binafsi ninaujua ukweli huu tokea miaka mingi iliyopita.
Nilianza kujiuliza maswali mengi baada ya kuona Mwal.Nyerere hamsapot tena Laurent Kabila baada ya kumwangusha Mobutu na yy(Laurent) kuapishwa kua Rais wa Zaire....Kwanini Nyerere alisita kumuunga mkono dakika za mwisho? Hapo kuna hadithi yake tena ndefu...Na je Banyamulenge(kundi la jeshi lililomsaidia Kabila 65% kumwangusha Mobutu liko wapi kwa sass? Achilia mbali kundi la jeshi wastaafu wa Tanzania walioshiriki vita hiyo.
Maswali mengine mengi yalikuja baada ya Rais Laurent Kabila kuuawa tena na walinzi wake na baadae walinzi walomuua ndio waliohakikisha Joseph anakua Raisi wa Kongo.
Baada ya maswali hayo na mengine nikaanza kuutafuta ukweli na moja kati ya ukweli huo ni huu unaolezwa hapo.
Daah Mkuu unasema walinzi walipomstukia jamaa sio wa kwao wakamramba madini ya shaba duuh wako vizuri maana waliona wanasalitiwa aiseee
 
Hapa kuna mambo hayako sawa. Laurent kabila alikimbia Congo Mwaka 1976 baada ya kushindwa vita ya kumwangusha Mobutu.
Kwanza alienda Uganda, lakini kwa sababu ya IDD Amin akashindwa kukaa pale na ndiyo kuja Tanzania.
 
Nabisha kwa kuwa Joseph kabila haitwi hivyo Jose kakulia Tanzania na kasoma hapa anafahamika vizuri huyo mwingine wamembumba tu
Mkuu jenga hoja zako vizuri ili wasomaji waelewe unachopinga, kusomea tz hakumfanyi asiwe mnyaranda.

Pengine hupo sahii lakin hauko more detailed katk maelezo yko, umekazania kusomea tzania tu.
 
Mkuu jenga hoja zako vizuri ili wasomaji waelewe unachopinga, kusomea tz hakumfanyi asiwe mnyaranda.
Pengine hupo sahii lakin hauko more detailed katk maelezo yko, umekazania kusomea tzania tu.
Nimedadavua sana kiongozi kwenye quotes mbalimbali
 
semeni yote wakuu ila kwa Daudi aisee ukweli mzima umejulikana ni kweli maana kuna mtu ni rafki yangu alinipeleka hadi kwenye nyumba yao kule kolomije, hata siku anakuwa kondakta kwenye basi duuu
 
Mtoa UZI sijui ukikusidia nn kuandaa huu UZI kwa kudai eti kabila ni mrwanda ! Ni tabia yenu wanyarwanda kujaribu kuwatafutia watu wa mataifa mengine adili yao au chimbuko lao yaan mnajiona nyie ndio watunza historia za watu wa nchi za maziwa makuu ... Hata kipindi kile PK alimpo mtibua JK mkazusha ya kuwa former tz first lady ati ni mhutu ! Embu tulieni msawazishe makando kando yenu
 
Back
Top Bottom