Jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe. Ni Mnyarwanda na si Mkongo

N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
haya mambo yanakera jamani,unapoona wapinzani wa kweli congo kama kina martin fuyulu wanalia kwa sababu wanaona hadi sasa hivi nchi yao ipo contolled by remote from kigali maana Tshisekedi ni pambo tu.
Kuna watu bado wanadhani huyu jamaa ni mcongo na wanadhania jina lake halisi ni joseph kabila,la hasha kwa wasiofahamu embu tupate historia kwa ufupi
**alizaliwa mwaka 1971 baba yake akiitwa Christopher kanambe kazemberembe na mama yake akiitwa marcellina Mukambukuje

*Baba yake alikuwa ni muasi anayepinga utawala wa Juvenal Habyarimana na katika harakazti hizo akakutana na laurent kabila aliyekuwa kwenye mapigano ya kumpinga mobutu seseseko,wakawa marafiki chanda na pete kwenye issue zao za kivita
*mwaka 1977 bwana kanambe alifariki dunia na kwa mujibu wa mila ilibidi kabila amrithi mke wake kanambe yaanio Marcellina na watoto wke wawili mapacha..Hypolitte na Jenny(wale wa karibu na escape 1 mnakumbuka utajiiri na matanuzi ya huyu dada)
*wote rasmi wakaanza kuitwa kabila, katika harakati za kabila za mapambano alikimbilia tanzania na familia yake ingawaje alikuwa na wanawake 13 na watoto 25 katika sehemu mbalimbali
*Joseph a.k.a Hypolite ni mpwa wa mkuu wa majeshi wa rwanda wa sasa aitwaye James kabarebe na hadi mwaka 1996 alikuwa dereva wake kwenye vita ya banyamulenge ya
kumsaidia kabila kumtoa mobutu hata waziri wa mambo ya nje kipindi hicho wa DRC mr Bizima karaha anakumbuka kumuona kabila akiwa dereva wa Kabarebe
*mwaka 94 na 95 alikuwa porini na jeshi la kagame la RPF
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kesho tutaendelea na part 2 kuonyesha jinsi alivyo rise to power na jinsi plan ya kagame kumuondoa laurent kabila duniani na kumuweka mnyarwanda huyu ilivyofanya kazi inaitwa TROJAN HORSE TECHNIC kama huijui soma historia ya vita ya wagiriki ,hata vile virusi vya computer hatari vinaitwa trojan horse,yaani wanyarwanda waliojifanya wa congolese walliingizwa katika system ya Congo hadi mmoja wao kuwa Rais wengine kushika vyeo vya maana kabisa.
Tutaangalia pia high profile mauaji na ukatili mkubwa uliofanyika congo na bado unafanyika hadi leo.
fake_kabila_hippolyte-kanem-jpg.1089199
Hyppolite kanambe a.k.a Jospeh kabila akiwa na anko wake James kabarebe ambaye ni mkuu wa majeshi wa Rwanda sasa hivi
kanambe-jpg.1089203
1994 akiwa mwanajeshi w RPF vitani chini ya kagame

UPDATE: PART 2 KIFO CHA BABA YAKE HYPPOLITE
CHRIS ADRIEN KANAMBE NA LAURENT KABILA walikutana in 1964 kila mmoja akiwa anapambania nchi yake,kanambe vs wahutu ,kabila vs mobutu seseseko
mamabo yakawa magumu mwaka 1966 wakakimbilia Tanzania chini ya mwamvuli wa P.R.P. (Parti de la Revolution du Peuple)
baada ya vita ya Moba ,Mobutu seseseko alituma watu kumuhonga hela nyingi Adrien kanambe ambaye ni baba halisi wa joseph kabila ili amuue laurent kabila lakini mission ilibuma ,kabila akitisha kikao sehemu iitwayo Nyunzu wanajeshi wake kadhaa wakapatikana na hatia akiwemo Adrien kanambe na wakahukumiwa kifo
laurent akamuoa marcelina na kuwa adopt watoto wake mapacha Jenny na Hypolitte.........
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
2,061
Points
2,000
Age
28
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
2,061 2,000
jikite kwe mada , huu uzi huyu karudia tu , upo maktaba zetu mapema sana , kuhusu lowassa kupewa hela na kagame siwezi kujadili kwa vile lowassa si mwanachama wa chadema
Kawa kawa mkibanwa mnaanza story za jikite kwenye mada.

Sio mwanachama lkn aligombea urais kupitia Chadema sio?

Kama Lowassa angeshinda urais maana yake angekua puppet wa Kagame sio?maana si alichukua pesa yake.

Daah kumbe mngeshinda mngeiweka rehani nchi.
 
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2008
Messages
4,404
Points
2,000
Jephta2003

Jephta2003

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2008
4,404 2,000
Do you believe Joseph sio Congolese? Yani akatawale Taifa la watu hivihivi kama hakuna majasusi daaah! Hizi ni akili za usiku.

Magu mwenyewe si mnasemaga ni Mnyarwanda mara Mganda mara Muhaya doooh! Chadema siku ikishika hii nchi Tutasikia Lema ni mtu wa Kiambuu County Mbowe Ni Mmasai dunia haina jema
Obama katawala america wakati ni mkenya,iwe kabila na DRC?
 
haha

haha

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Messages
689
Points
1,000
haha

haha

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2013
689 1,000
Kama hujui kitu kaa kimya ndugu sio ujanja ki jibu jibu vitu usivyo vijua unajidhalilisha
Yani kataifa kadogooo kanawaendesha akili hizo ni propaganda tu aliziimba Fid Q, Joseph kabila ni Mkongo halisi na amekulia maeneo ya Mikocheni DSM.
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
5,748
Points
2,000
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
5,748 2,000
Taarifa yako ni sahihi kabisa , hata wacongo wanajua
Hata ukienda kwenye historia ya Che utaona alivyokuja akakutana na mwalimu Nyerere ila akawa disappointed na huyu Kabila ndo maana hata Mwalimu alisepa. Hata Kabila mwenyewe hafanani na huyu kijana hata na dada yake wa pale Mikocheni.
 
kivyako

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
13,652
Points
2,000
kivyako

kivyako

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
13,652 2,000
Yani kataifa kadogooo kanawaendesha akili hizo ni propaganda tu aliziimba Fid Q, Joseph kabila ni Mkongo halisi na amekulia maeneo ya Mikocheni DSM.
Heri ungekaa kimya tu
 
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2015
Messages
1,482
Points
2,000
Omulasil

Omulasil

JF-Expert Member
Joined May 5, 2015
1,482 2,000
Nabisha kwa kuwa Joseph kabila haitwi hivyo Jose kakulia Tanzania na kasoma hapa anafahamika vizuri huyo mwingine wamembumba tu
Hiyo sio sababu. Kabla hajaja Tz alikuwa wapi? Una ushahidi wa kuzaliwa kwake na asili yake?kwa taarifa tu neno MZANAKI maana yake "Kaja na nini?" Hawa ni wakimbizi wa zamani zile tokea....... ila hawana madhara maana wote ni migrant tokea North Africa
 
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Messages
10,016
Points
2,000
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2010
10,016 2,000
Do you believe Joseph sio Congolese? Yani akatawale Taifa la watu hivihivi kama hakuna majasusi daaah! Hizi ni akili za usiku.

Magu mwenyewe si mnasemaga ni Mnyarwanda mara Mganda mara Muhaya doooh! Chadema siku ikishika hii nchi Tutasikia Lema ni mtu wa Kiambuu County Mbowe Ni Mmasai dunia haina jema๐Ÿ˜
Umeandika ujinga, have I ever said magu sio mtanzania?

Do I even care kabila Ni wa wapi? Sina muda wa kuhangaika kujua Nani Ni wa wapi

Ni ubaguzi wa kijinga

My point was, hii thread imo humu for years, badala ya kuja kurecycle... Someni jf kila kitu kipo

Fanya kazi ulee family... Haya mengine yanafuata watafuta damu za watu tu
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,530
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,530 2,000

Sio nimeandika ujinga wewe unatatizo dogo sana ambalo hujalitambua unadhani Details za mimi kusema Kabila ni Mkongomani aliyesoma Tanzania nimezitoa wapi?
.
Usiwe mwepesi wa ku_react kama kitu hujakielewa Msomi hewa wewe๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mweni sanga

Mweni sanga

Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
13
Points
45
Mweni sanga

Mweni sanga

Member
Joined Oct 31, 2018
13 45
kataifa kadogo kana control Congo,li nchi likubwa sq milion2 na kadhaa sisi tuna laki tisa,li nchi mara mbili na nusu ya kwetui lakini hicho kinchi kidogo kinachukua tu madini kila siku kama ya kwake vile na kimuweka Thisekedi tena madarakani.
Hahaha kiinchi kinachukua tu madini da niaibu kwakweli nikama tu kipindi kile beligium ilikua inatawala liinchi likubwa kwa kweli niaibu.
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,530
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,530 2,000
Hiyo sio sababu. Kabla hajaja Tz alikuwa wapi? Una ushahidi wa kuzaliwa kwake na asili yake?kwa taarifa tu neno MZANAKI maana yake "Kaja na nini?" Hawa ni wakimbizi wa zamani zile tokea....... ila hawana madhara maana wote ni migrant tokea North Africa
Hizo ni historia za kupuuzwa na watu wenye EQ na IQ kubwa, kwa hiyo unataka kuniambia Tanzania hii wakazi wake 90% asili yao ni mataifa mengine SHUBAHAMIT.

Utasikia Waha asili yao kongo, sijui wanyakyusa wamalawi, wajaluo kenya, wakurya kenya kudadadeki upumbavu huo ueleweni wenyewe
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,530
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,530 2,000
Kama hujui kitu kaa kimya ndugu sio ujanja ki jibu jibu vitu usivyo vijua unajidhalilisha
Usiwe mpuuzi basi, kuna uzi humu unamuelezea kabila vizuri utafute.

Akili zangu si kama zako ila zako ni kama za yule๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,530
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,530 2,000
Obama katawala america wakati ni mkenya,iwe kabila na DRC?
Mkuu, habari ya mleta uzi umeisoma vizuri? Obama kazaliwa U.S.A kakulia U.S.A kasoma U.S.A na atafia U.S.A.

Soma uzi wote alafu uje uhusianishe na ulichokiandika ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ
 
kivyako

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
13,652
Points
2,000
kivyako

kivyako

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
13,652 2,000
Kuna uzi humu unamuelezea kabila in and out usiwe mpuuzi mtanzagiza alaa!
Ulete hapa tuuone sio mambo ya kufikirika, na kabla ya kuuleta jaribu kujiridhisha toka source mbalimbali kuhusu 'Joseph Kabila'
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,530
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,530 2,000
Ulete hapa tuuone sio mambo ya kufikirika, na kabla ya kuuleta jaribu kujiridhisha toka source mbalimbali kuhusu 'Joseph Kabila'
U_search umo humu kwa muda mrefu sana una umri wa mtoto wa darasa la nne, na uache kukurupuka
 
Eliphaz the Temanite

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Messages
2,940
Points
2,000
Eliphaz the Temanite

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2010
2,940 2,000
Hii ni history tu kama za akina Isike na Mirambo, haisaidii kitu jamaa alishatawala na kamaliza vipindi vyote....
haya mambo yanakera jamani,unapoona wapinzani wa kweli congo kama kina martin fuyulu wanalia kwa sababu wanaona hadi sasa hivi nchi yao ipo contolled by remote from kigali maana Tshisekedi ni pambo tu.
Kuna watu bado wanadhani huyu jamaa ni mcongo na wanadhania jina lake halisi ni joseph kabila,la hasha kwa wasiofahamu embu tupate historia kwa ufupi
**alizaliwa mwaka 1971 baba yake akiitwa Christopher kanambe kazemberembe na mama yake akiitwa marcellina Mukambukuje

*Baba yake alikuwa ni muasi anayepinga utawala wa Juvenal Habyarimana na katika harakazti hizo akakutana na laurent kabila aliyekuwa kwenye mapigano ya kumpinga mobutu seseseko,wakawa marafiki chanda na pete kwenye issue zao za kivita
*mwaka 1977 bwana kanambe alifariki dunia na kwa mujibu wa mila ilibidi kabila amrithi mke wake kanambe yaanio Marcellina na watoto wke wawili mapacha..Hypolitte na Jenny(wale wa karibu na escape 1 mnakumbuka utajiiri na matanuzi ya huyu dada)
*wote rasmi wakaanza kuitwa kabila, katika harakati za kabila za mapambano alikimbilia tanzania na familia yake ingawaje alikuwa na wanawake 13 na watoto 25 katika sehemu mbalimbali
*Joseph a.k.a Hypolite ni mpwa wa mkuu wa majeshi wa rwanda wa sasa aitwaye James kabarebe na hadi mwaka 1996 alikuwa dereva wake kwenye vita ya banyamulenge ya
kumsaidia kabila kumtoa mobutu hata waziri wa mambo ya nje kipindi hicho wa DRC mr Bizima karaha anakumbuka kumuona kabila akiwa dereva wa Kabarebe
*mwaka 94 na 95 alikuwa porini na jeshi la kagame la RPF
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kesho tutaendelea na part 2 kuonyesha jinsi alivyo rise to power na jinsi plan ya kagame kumuondoa laurent kabila duniani na kumuweka mnyarwanda huyu ilivyofanya kazi inaitwa TROJAN HORSE TECHNIC kama huijui soma historia ya vita ya wagiriki ,hata vile virusi vya computer hatari vinaitwa trojan horse,yaani wanyarwanda waliojifanya wa congolese walliingizwa katika system ya Congo hadi mmoja wao kuwa Rais wengine kushika vyeo vya maana kabisa.
Tutaangalia pia high profile mauaji na ukatili mkubwa uliofanyika congo na bado unafanyika hadi leo.
View attachment 1089199Hyppolite kanambe a.k.a Jospeh kabila akiwa na anko wake James kabarebe ambaye ni mkuu wa majeshi wa Rwanda sasa hivi
View attachment 10892031994 akiwa mwanajeshi w RPF vitani chini ya kagame

UPDATE: PART 2 KIFO CHA BABA YAKE HYPPOLITE
CHRIS ADRIEN KANAMBE NA LAURENT KABILA walikutana in 1964 kila mmoja akiwa anapambania nchi yake,kanambe vs wahutu ,kabila vs mobutu seseseko
mamabo yakawa magumu mwaka 1966 wakakimbilia Tanzania chini ya mwamvuli wa P.R.P. (Parti de la Revolution du Peuple)
baada ya vita ya Moba ,Mobutu seseseko alituma watu kumuhonga hela nyingi Adrien kanambe ambaye ni baba halisi wa joseph kabila ili amuue laurent kabila lakini mission ilibuma ,kabila akitisha kikao sehemu iitwayo Nyunzu wanajeshi wake kadhaa wakapatikana na hatia akiwemo Adrien kanambe na wakahukumiwa kifo
laurent akamuoa marcelina na kuwa adopt watoto wake mapacha Jenny na Hypolitte.........
 
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Messages
10,016
Points
2,000
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2010
10,016 2,000
Sio nimeandika ujinga wewe unatatizo dogo sana ambalo hujalitambua unadhani Details za mimi kusema Kabila ni Mkongomani aliyesoma Tanzania nimezitoa wapi?
.
Usiwe mwepesi wa ku_react kama kitu hujakielewa Msomi hewa wewe๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mods wafunge thread

Ilishakuja humu long time

Naona tutoto tunajaribu kuwa relevant
 
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
7,777
Points
2,000
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
7,777 2,000
angalia hizo picha ,moja kuonyesha mfanano wa hyppolite a.k.a Jospeh na baba yake nyingine ni baba yake mzee kanambe akiwa kwenye harakazi za kivita miaka hiyo ya 70 na kina kabila,kwa wenye kumbukumbu ndiyo miaka Ernesto Che guevara alikuja hadi tanzania akaenda huko maporini kusaidiana na Laurent kabila lakini akaachan anaye baadaye baada ya kumuona ni mpenda pombe na wanawake hakuwa focused kwenye mapambano
View attachment 1089229View attachment 1089232
Hiyo picha inadhilisha kila kitu, sujui wanao kubishia wana lengo gani?
 
Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,869
Top