44mg44
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 2,135
- 2,141
Mwenye ufaham kuhusu siasa za DRC Naomba anifafanulie, kuhusu hawa Marais wawili Hayati Roula Kabila na Joseph Kabila.
Ninavyojua mim Laurent Kabila aliuawa kwa risasi na nchi ikatawaliwa kwa njia ya mapinduzi, na alieitawala ni mtoto wa Laurent Kabila, yaan Joseph Kabila.
Kulingana na ufaham huo huwa najiuliza maswali yafuatayo:
(a) Joseph Kabila alimpindua Baba yake?
(b) Alipata wapi ujasiri wa kumuua baba yake?
(c)Au waliompindua ni wengne na Joseph Kabila akawazid ubabe akaingia madarakani?
Karibuni mnipe elimu