Je, kuna uwezekano wa Kuzaliwa nchi ya “Republic of Kivu” hapo baadaye?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,705
Moja ya mgogoro mkubwa unaoikumba nchi ya DRC ni huu wa kutaka kuzalisha nchi mpya inayoitwa “REPUBLIC OF KIVU”

Mchakato huu ulianza mwaka 1997 pale Laurent kabila aliposhirikiana na Waasi kwenda kuipindua serikali yake ya Congo chini ya Mobutu

NB: Miaka 26 baadae Progress ikoje
 
Lakini wewe msumbufu sana, nimekuja kupata taarifa, kumbe nawe huna kitu?

Mkuu usichokijua mimi si muandishi wa habari,,,
Na hata hivo hata kile ninachokijua siwezi kukiandika kwa 100% kwasababu ya nature ya wasomaji na wachangiaji humu!

Kifupi content nyingi naziandika Quora huko huwezi leta nusu nusu!!…Watz na Waknya wengi n wasikilizaji na hawaijui migogoro mingi in deep! Hivo kuelezea kitu indetails ni kupoteza muda
 
Kama serikali ya DRC inashindwa kutawala eneo la mashariki mwa nchi hiyo na kubaki kinshasa tu bora nchi hiyo igawanywe tu. Ni aibu serikali kushindwa kudhibiti uasi eneo hilo. Waasi walitakiwa wadhibitiwe tangu zamani enzi za mobutu
 
Mobutu aliweza kuwadhibiti
 
Ushatuita wavivu na wasikilizaji unataka nn tena??
 
Moja ya mgogoro mkubwa unaoikumba nchi ya DRC ni huu wa kutaka kuzalisha nchi mpya inayoitwa “REPUBLIC OF KIVU”

Mchakato huu ulianza mwaka 1997 pale Laurent kabila aliposhirikiana na Waasi kwenda kuipindua serikali yake ya Congo chini ya Mobutu

NB: Miaka 26 baadae Progress ikoje

The victory is given by the enemy himself
 
KWA TAARIFA ZA HIVI PUNDE
M23 wamekamata Nusu ya maeneo ya Kivu kaskazini.Huku Congo ikishindwa kuhamishia na kuongeza majeshi yake mashariki ya nchi yake kupambana
 
Kama serikali ya DRC inashindwa kutawala eneo la mashariki mwa nchi hiyo na kubaki kinshasa tu bora nchi hiyo igawanywe tu. Ni aibu serikali kushindwa kudhibiti uasi eneo hilo. Waasi walitakiwa wadhibitiwe tangu zamani enzi za mobutu
Ishashindwa
 
Back
Top Bottom