Jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe. Ni Mnyarwanda na si Mkongo

N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
haya mambo yanakera jamani,unapoona wapinzani wa kweli congo kama kina martin fuyulu wanalia kwa sababu wanaona hadi sasa hivi nchi yao ipo contolled by remote from kigali maana Tshisekedi ni pambo tu.
Kuna watu bado wanadhani huyu jamaa ni mcongo na wanadhania jina lake halisi ni joseph kabila,la hasha kwa wasiofahamu embu tupate historia kwa ufupi
**alizaliwa mwaka 1971 baba yake akiitwa Christopher kanambe kazemberembe na mama yake akiitwa marcellina Mukambukuje

*Baba yake alikuwa ni muasi anayepinga utawala wa Juvenal Habyarimana na katika harakazti hizo akakutana na laurent kabila aliyekuwa kwenye mapigano ya kumpinga mobutu seseseko,wakawa marafiki chanda na pete kwenye issue zao za kivita
*mwaka 1977 bwana kanambe alifariki dunia na kwa mujibu wa mila ilibidi kabila amrithi mke wake kanambe yaanio Marcellina na watoto wke wawili mapacha..Hypolitte na Jenny(wale wa karibu na escape 1 mnakumbuka utajiiri na matanuzi ya huyu dada)
*wote rasmi wakaanza kuitwa kabila, katika harakati za kabila za mapambano alikimbilia tanzania na familia yake ingawaje alikuwa na wanawake 13 na watoto 25 katika sehemu mbalimbali
*Joseph a.k.a Hypolite ni mpwa wa mkuu wa majeshi wa rwanda wa sasa aitwaye James kabarebe na hadi mwaka 1996 alikuwa dereva wake kwenye vita ya banyamulenge ya
kumsaidia kabila kumtoa mobutu hata waziri wa mambo ya nje kipindi hicho wa DRC mr Bizima karaha anakumbuka kumuona kabila akiwa dereva wa Kabarebe
*mwaka 94 na 95 alikuwa porini na jeshi la kagame la RPF
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Kesho tutaendelea na part 2 kuonyesha jinsi alivyo rise to power na jinsi plan ya kagame kumuondoa laurent kabila duniani na kumuweka mnyarwanda huyu ilivyofanya kazi inaitwa TROJAN HORSE TECHNIC kama huijui soma historia ya vita ya wagiriki ,hata vile virusi vya computer hatari vinaitwa trojan horse,yaani wanyarwanda waliojifanya wa congolese walliingizwa katika system ya Congo hadi mmoja wao kuwa Rais wengine kushika vyeo vya maana kabisa.
Tutaangalia pia high profile mauaji na ukatili mkubwa uliofanyika congo na bado unafanyika hadi leo.
fake_kabila_hippolyte-kanem-jpg.1089199
Hyppolite kanambe a.k.a Jospeh kabila akiwa na anko wake James kabarebe ambaye ni mkuu wa majeshi wa Rwanda sasa hivi
kanambe-jpg.1089203
1994 akiwa mwanajeshi w RPF vitani chini ya kagame

UPDATE: PART 2 KIFO CHA BABA YAKE HYPPOLITE
CHRIS ADRIEN KANAMBE NA LAURENT KABILA walikutana in 1964 kila mmoja akiwa anapambania nchi yake,kanambe vs wahutu ,kabila vs mobutu seseseko
mamabo yakawa magumu mwaka 1966 wakakimbilia Tanzania chini ya mwamvuli wa P.R.P. (Parti de la Revolution du Peuple)
baada ya vita ya Moba ,Mobutu seseseko alituma watu kumuhonga hela nyingi Adrien kanambe ambaye ni baba halisi wa joseph kabila ili amuue laurent kabila lakini mission ilibuma ,kabila akitisha kikao sehemu iitwayo Nyunzu wanajeshi wake kadhaa wakapatikana na hatia akiwemo Adrien kanambe na wakahukumiwa kifo
laurent akamuoa marcelina na kuwa adopt watoto wake mapacha Jenny na Hypolitte.........
 
kichekoh

kichekoh

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2015
Messages
687
Points
500
Age
29
kichekoh

kichekoh

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2015
687 500
Whistle blower
 
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
Whistle blower
sidhani kama nimefikia level hiyo hili suala lipo wazi muda mrefu tu nimeweka kwa wasioulijua ingawa vibarka wa mr slim watakuja hapa mbio na kuniambia nina wivu na chuki kwa watusi
 
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
Yani kataifa kadogooo kanawaendesha akili hizo ni propaganda tu aliziimba Fid Q, Joseph kabila ni Mkongo halisi na amekulia maeneo ya Mikocheni DSM.
soma uelewe bwana mdogo,kasoma hadi mbeya nini dar es salaam wewe?unajua hadi leo kilingala hajui kuongea?umesoma uzi ukauelewa kawa adopted yeye na pacha wake Jenny akiwa na miaka 6 wakachukua na jina la laurent kwa mujibu wa mila,ndiyo maana hata hakuona hatari kushirikiana na askari dogodogo kutoka Tanzania kumuua laurent kabila sababu hakuwa biological; father alikulia Tz kwa jina jingine siyo jina lake halisi
 
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
Yani kataifa kadogooo kanawaendesha akili hizo ni propaganda tu aliziimba Fid Q, Joseph kabila ni Mkongo halisi na amekulia maeneo ya Mikocheni DSM.
kataifa kadogo kana control Congo,li nchi likubwa sq milion2 na kadhaa sisi tuna laki tisa,li nchi mara mbili na nusu ya kwetui lakini hicho kinchi kidogo kinachukua tu madini kila siku kama ya kwake vile na kimuweka Thisekedi tena madarakani.
 
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
5,050
Points
2,000
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
5,050 2,000
Siasa ni game ngumu, the less u know the better!
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,530
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,530 2,000
kataifa kadogo kana control Congo,li nchi likubwa sq milion2 na kadhaa sisi tuna laki tisa,li nchi mara mbili na nusu ya kwetui lakini hicho kinchi kidogo kinachukua tu madini kila siku kama ya kwake vile na kimuweka Thisekedi tena madarakani.
Si kweli ni uongo mkubwa wa wana propaganda ila kuhusu madini si wao tu Majeshi ya MONUSCO yanabeba sanaaa na wazungu wanaojifanya wanafanya kazi za U.N hawa wanachukua yale madini yanayotumika kwenye smartphone, laptops n.k kwa wingiii wana migodi yao.

Kwa kifupi Congo sasa hivi hiyo fursa imebaki kwa waliobahatisha umiliki wa migodi hapo kabla na MONUSCO bahati yao ilikuwepo wakati M23 wako kazini sasa hivi Congo hakuna dili
 
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
angalia hizo picha ,moja kuonyesha mfanano wa hyppolite a.k.a Jospeh na baba yake nyingine ni baba yake mzee kanambe akiwa kwenye harakazi za kivita miaka hiyo ya 70 na kina kabila,kwa wenye kumbukumbu ndiyo miaka Ernesto Che guevara alikuja hadi tanzania akaenda huko maporini kusaidiana na Laurent kabila lakini akaachan anaye baadaye baada ya kumuona ni mpenda pombe na wanawake hakuwa focused kwenye mapambano
chris-kanambe-png.1089229
kanmabe-kabila-png.1089232
 
kwa hiyo uongo hapo ni upi?kwamba jama siyo mnyarwanda?haitwi Hyppolite?kabarebe mkuu majeshi wa Rwanda siyo anko wake?hajapigana kwenye jeshi la RPF?hajawahi kuwa dereva wa kabarebe kwenye vita vya banayamulenge?Tshisekedi siyo pandikizi jipya la kagame au unabisha nini?congo hakuchukliwa madini tu hata mbao zinavunwa,ardhi iliyobarikiwa inayonajisiwa na wehu
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
60,075
Points
2,000
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
60,075 2,000
angalia hizo picha ,moja kuonyesha mfanano wa hyppolite a.k.a Jospeh na baba yake nyingine ni baba yake mzee kanambe akiwa kwenye harakazi za kivita miaka hiyo ya 70 na kina kabila,kwa wenye kumbukumbu ndiyo miaka Ernesto Che guevara alikuja hadi tanzania akaenda huko maporini kusaidiana na Laurent kabila lakini akaachan anaye baadaye baada ya kumuona ni mpenda pombe na wanawake hakuwa focused kwenye mapambano
View attachment 1089229View attachment 1089232
Taarifa yako ni sahihi kabisa , hata wacongo wanajua
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
1,530
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
1,530 2,000
kwa hiyo uongo hapo ni upi?kwamba jama siyo mnyarwanda?haitwi Hyppolite?kabarebe mkuu majeshi wa Rwanda siyo anko wake?hajapigana kwenye jeshi la RPF?hajawahi kuwa dereva wa kabarebe kwenye vita vya banayamulenge?Tshisekedi siyo pandikizi jipya la kagame au unabisha nini?congo hakuchukliwa madini tu hata mbao zinavunwa,ardhi iliyobarikiwa inayonajisiwa na wehu
Nabisha kwa kuwa Joseph kabila haitwi hivyo Jose kakulia Tanzania na kasoma hapa anafahamika vizuri huyo mwingine wamembumba tu
 
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
Sasa inakuaje mkongo arithi mke wa mnyarwanda kwa sababu ya kitamaduni??
nahisi ni mila za makabila ya mipakani zinafanana au ilifatwa mila ya kabila la laurent kabila la kicongo kurithi mke wa rafiki yako maana inasemekana urafiki ulikuwa ule wa kushibana kabisa kama ndugu
 
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,499
Points
2,000
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,499 2,000
Nabisha kwa kuwa Joseph kabila haitwi hivyo Jose kakulia Tanzania na kasoma hapa anafahamika vizuri huyo mwingine wamembumba tu
sawa naheshimu maoni yako bwana genius.hata Paul alikulia Moshi na bagamoyo lakini pasiansi kwa mzee khamese,Igoma na kolomije wanamjua Daudi
 
Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,842
Top