There is no free lunch! Olasha mbali olayola!Anaweza kuendelea kutoa misaada hata asipokuwa mbunge.
HeheThere is no free lunch! Olasha mbali olayola!
'WE USUALLY DONT VALUE WHAT WE HAVE UNTIL WE LOSE THEM' Majuto MjukuuMbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa
Kizuri ni kwamba kuna mengi sana aliyafanya ambayo yako nje ya majukumu rasmi ya mbunge kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo haihitaji ubunge ili aendelee nayo. Anaweza kuendelea hata kama sio mbunge.'WE USUALLY DONT VALUE WHAT WE HAVE UNTIL WE LOSE THEM' Majuto Mjukuu
Inawezekana uko sahihi sana tu ila hujaeleza huyo wa sasa amefanya nini hadi sasa ili nasi tuweze kuweka mizania sawaAliyeandika huu uzi ni ******** kama ifuatavyo :
1. AMEZOEA MAISHA YA UTUMWA
2. MNAFIKI ASIYEKUWA NA HOJA
3. SYO MWANA BUKOBA NA ANA ELIMU NDOGO KUHUSU JIMBO LA BK. MJIN
Nina miaka kama kumi hivi sijarudi nyumbani bukoba kwa sababu wahaya ni watu wa ajabu sana.....huyu mtu walimtoa alipokuwa CUF.....baada ya kumkojolea mwandishi na kumpiga vibao....leo eti karudishwa......tatizo wasomi wahaya wamekimbilia dar.....buhaya sio kama ya zamani.....jinga sana Muganyizi Lwakatale
Wewe ata sasa uko bukoba afu unasema haujarudi ten years...!!! au majina ya JF ndo yanakufanya hutuaminishe hauko BK....wabeiya iwe mhyoza
Kaka mi ni mkazi wa Bukoba kibeta though now sikai uko Tanzania , lakin ni wajibu Wangu kuhoji,Aliyeandika huu uzi ni ******** kama ifuatavyo :
1. AMEZOEA MAISHA YA UTUMWA
2. MNAFIKI ASIYEKUWA NA HOJA
3. SYO MWANA BUKOBA NA ANA ELIMU NDOGO KUHUSU JIMBO LA BK. MJIN
Nanyi mntunzaje???? mbona wengine hawafanyi hivyo????? sisi waswahili tumerithi misemo mingi tuu na mmoja wapo ni 'AKATAE PAZURI PABAYA PANAMNGOJEA NA MAJUTO NI MJUKUU'Kizuri ni kwamba kuna mengi sana aliyafanya ambayo yako nje ya majukumu rasmi ya mbunge kwa mjibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo haihitaji ubunge ili aendelee nayo. Anaweza kuendelea hata kama sio mbunge.
So.kwlikilichomgharimu kagasheki ni kujenga makundi ndani ya chama ambayo yalikuja kumharibia wakati wa uchaguzi mfano kati yake na Dk.Amani.
Kumsifia pogbaTuelezeni na ya Lwakatare aliyotekeleza hadi sasa
Mapunga kama nyie natamani niwapasuepasue....unakubali umwinyi eti kisa MTU kakupa unga wa ugali....ndo nyie mliotufikisha hapa waafrika ..kama ww ni mwanaume utakuwa na mapungufu makubwa mno....hufai kuwa ktk jinsia ya kiume maana mtazamo kama wako ni wa kikekikeHuyo lwakatare alishakuwa mbunge hapo hakufanya lolote watajuta hii dhana ya mabadiliko imetafsiriwa vibaya
CCM aka Lambalamba