Elections 2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

Unaona wewe ndio hujafanya tafiti ila unakuja kumsemeha hapa kujaribu kumsafisha! Kilichokuwa kimeandikwa hapo hakuwa na neno "KWA MSAADA"ilikuwepo anwani ya Jimbo la Bukoba mjini,kitu ambacho jimbo kuchukuliwa na rwakatale halibadilishi jina la jimbo wala anwani ya ofisi ya jimbo!

Sasa Kwanini Iendelee Kuwepo Anwan Hyo Wakat Mtoaj Anajulikana?
 
Ndio maana nakuambia hakuwa kiongozi naweza muita mjasiliamali wa siasa au aliwageuza wanabukoba omba omba,kwa wapa vitu ikiwa bado viko bado ndani ya miliki yake kwa kawaida kiongozi akileta kitu kwa manufaa ya wananchi kinakuwa mali ya umma sio yake binafsi,hivyo ingebaki kuwa mali ya ofisi ya jimbo kama anwani ilivyojieleza au mali ya hospitali,mbunge ni kiongozi sio mmiliki wa mali aliyoileta kwajili ya umma.
 
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa
Hizi ndio kazi za mbunge? Kama jibu ni ndio, sawa. Ila kama jibu ni sio, basi hazihusiani na yeye kuwa au kutokuwa mbunge.
 
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa

Nadhani unachokizungumza ukukifanyia utafiti kama umefanya utafiti basi, uelewa unatofautiana, tunahitaji KIONGOZI-MTUMISHI (servant leader ) hatuitaji mwajiri mtawala,kama EX MP hapana hapana hapana
 
Wananchi ndio waamuzi wewe ni nani uwasemee maamuzi yao??

Uamuzi halali wa wananchi hauna neno. Mgogoro ni pale ambapo Uamuzi halali wa wananchi umepindishwa!! Huu ndiyo msingi wa rufaa ambazo zimekatwa ili kudhibitisha kwamba maamuzi halali yamepindishwa.
 
Ccm tumewapa muda wa kujirekebidha licha ya makandokando yao kwanini iwe taabu kwa Lwakatale nayeye atajirekebisha mwacheni hakuna mwenye hati miliki na hilo jimbo
 
Uamuzi halali wa wananchi hauna neno. Mgogoro ni pale ambapo Uamuzi halali wa wananchi umepindishwa!! Huu ndiyo msingi wa rufaa ambazo zimekatwa ili kudhibitisha kwamba maamuzi halali yamepindishwa.

Kwani Kagasheki hajashindwa kihalali??kuna kesi yoyote kafungua?
 
Mungu amlinde kwa aliyoyafanya kwa wananchi, tuendelee kumwomba mungu juu ya lwakatare atende zaidi ya yalotendeka maana watu wanaongezeka,mahtaji nayo pia kadir ya muda uendao mbele.
 
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa

amefanya vema lkn anastahili kupumzika pia. rizik kuachiana buana
 
Hatuchagui mbinge ili awe mfadhili.
 
Naona hapa kuna kuchafuana. Huyo Mbunge analipia watoto ada Kemebos, kweli?? Yaani unalipa ada private wakati public schools michango imewashinda watanzania wa kawaida??

Kagasheki na Amani walikuwa na mgogoro binafsi na ninao uhakika yote alifanya kumdhibiti Amani bahati mbaya sana mgogoro umemnufaisha third party Lwakatare.

Pia labda unielimishe hapo kwenye ajira Vick Fish. Who is Kagasheki kwenye Vick Fishing Co. Ltd??

Nadhani kuna mengi umeandika tu bila kutafiti au kuelewa unachoandika.

Hata hilo la ng'ombe watano BK mjini I doubt umekurupuka au umehadithiwa. Wafugaji wengi wanafuga in house cattle keeping Bukoba na wengi hawana ng'ombe zaidi ya watatu acha kwamba ng'ombe wengi ni wao per see.

Kwa Bukoba ilivyo unafuga vipi hao ng'ombe watano kina mama wote?? Mambo mengi nadhani kuna upotoshaji wa umma.
 
Tatizo letu wananchi tumeamua kwa makusudi kubadilisha majukumu ya mbunge kutoka kuwa mwakilishi wetu na kumpa majukumu ambayo yanapaswa kutekelezwa na wale tuliowapa dhamana ya kukusanya kodi.Binafsi siamini kama kusomesha wanafunzi ni jukumu la mbunge. Kama ni jukumu lake basi alipe ada kwa wanafunzi wa jimbo zima.

Wewe ndio umemaliza, mambo yote aliyoongea huyu ni ya hisani, hatuwezi kuwa na wabunge wa aina ya Dewji, miaka 5 hajawakilisha wananchi mara anachimba kisima hapa na pale.

Sisi wabunge maskini tutawezaje kufanya kazi za serikali?
 
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa

Bure ag'hali! Tunahitaji kujenga mifumo endelevu sio mifumo hisani ya
kusimangia wananchi na utukufu binafsi!! Hisani na utukufu binafsi havikumsaidia Gadafi hata chembe! Kwani Kagasheki uwezo huo anautoa wapi?! Kama ni fedha za serikali na ushawishi binafsi; basi na Lwakatare ataweza, Ufisadi wa kuhonga wananchi haukubaliki hata kidogo.
 
Back
Top Bottom