Elections 2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

Angefanya hayo hakika asingekosa ubunge Huyo kajisahau Kama highness kiwia imekula kwao.
 
Huyo jamaa hafai hata kidogo,kama wewe ni miongoni mliokuwa mkinufaika kwa midomo yenu mkipeleka umbea na kuishi..ndio maana leo uko hapa kumkingia kifua kumbe unapigania tumbo lako!

Niko jimboni kwa sasa sio kwa dharura ila napafaham hapa kabla na baada ya kagasheki!

Moja ya swala kubwa hasa alilolifanya ni kuwa kiongozi wa kugawa watu na kutia majungu miongoni mwa wanabukoba mpaka viongozi wake.

Kakiharibu chama kwa kauli ambayo amekuwa akitumia akiwa na wenzake,kuwa anapanga safu...pasipo kujali wananchi wanataka kiongozi gani,hakujali maslahi ya chama bali aliweka maslahi yake mbele..kwa kuweka wale ambao angeweza kuwabuluza!

Aliwajenga wanabukoba Omba Omba kwa kushindwa kuwaletea sera,miundominu rafiki kwa kuisemea..amekwamisha stand kubwa ya bukoba,amekwamisha soko bukoba kwa ugomvi wake yeye na Amani mayor wa mji ambaye alimpigia chapuo yeye mwenyewe na kauli zake za kuwa anapanga safu!

Walichofanya wanabukoba nis sahihi kuweka mtu mwingine naye afanye katika sera mpya,akishindwa wataweka mwingine,rwakatale aliwahi kuwepo ndio..lakin Hamisi aliwagawa wanabukoba na kuwafanya omba omba kwa kuleta maendeleo ya mtu mmoja mmoja kwa kuwa jua na zile familia moja moja alizo kuwa akiziona kana kwamba ndio zina stahili kuongoza au kunufahika,kuliko wanabukoba kwa ujumla!familia kama za karumna,ryakuru and all brabra!

Bukoba did whats is their optional!
 
huyo ni mbunge mjasilia mali na sio mbunge mtumishi.any way hayo uliyoorodhesha anaweza fanya hata asipokuwa mbunge. ingawa nasikia kaanza kunyang'anya ambulensi ya wagonjwa...
Kama amenyang'anya Ambyulensi basi ubongo wake unaweza kuwa na mushkeli
 
Kagasheki kaponzwa na Chama chake, Lwakatare kabebwa na chama chake, laiti wote wangekuwa wagombea binafsi basi huenda Kagasheki asingefuta yale maneno kwny Ambulance ya Msaada
 
Kwanini Sasa Aendelee Kutoa Misaada Kwa Wanafiki,

Umetumwa sio bure kumsafisha!!uliwahi fika Ludewa,kabla na baada ya Firiku njombe?Umewahi fika Kwa zitto kabwe jimbo lake la awali,kabla na baada ya zitto?Umewahi fika kwa Nasar,kabla na baada ya Nasar? Unafahamu kuwa Kageshika ana muda gani hapo?unafahamu ni mbunge wa chama tawala?unafahamu kuwa aliwahi kuwa waziri? Unafahamu kuwa anaconnections nyingi nje kutokana na kufanya kwenye balozi mbali mbali(sio kama balozi,dont quote me wrong)...baada ya hayo compare jimbo hilo na majimbo ya hao wachache nilio kutajia! Kesho ukija kuandika post hapa utapima na sio kupima tumbo
 
Nina miaka kama kumi hivi sijarudi nyumbani bukoba kwa sababu wahaya ni watu wa ajabu sana.....huyu mtu walimtoa alipokuwa CUF.....baada ya kumkojolea mwandishi na kumpiga vibao....leo eti karudishwa......tatizo wasomi wahaya wamekimbilia dar.....buhaya sio kama ya zamani.....jinga sana Muganyizi Lwakatale

Ccm tumewapa nafasi tena japo wametufikisha hapa tulipo na wamesema watajirekebisha kwanini iwe nongwa kwa Lwakatale naye atajirekebisha tumpe nafasi kama tulivyo wapa nafasi ccm zaidi ya miaka 54
 
Picha hii hapa ya Ambulance,ila kama haitoishi aliwakata umeme kwenye vibanda vya sokoni pale kashai na kurejesha tv aliyokuwa pale uwanja wa uhuru moja ya open space...huyu ndio kiongozi aliyewahi kuwa waziri na mwenye umri kidogo jua limeenda...
 

Attachments

  • 1446918244920.jpg
    1446918244920.jpg
    42 KB · Views: 310
Angefanya hayo hakika asingekosa ubunge Huyo kajisahau Kama highness kiwia imekula kwao.

Hakika hayo aliyoyataja ukweli wake mdogo,mbunge huyu ninaye mjua mimi ni mtu wa kununua vitu na kujimilikisha mwenyewe na sio kuwa mali ya umma! Ambulance ilikuwa inakaa kwenye ofisi yake baadala ya kukaa hospitali na medical personnel instead inakaa kwenye ofis yake pasipo wataaluma hao matoke yake inakuwa kama umeita tax,sio ambulance bila fisrt aid
 
Tatizo letu wananchi tumeamua kwa makusudi kubadilisha majukumu ya mbunge kutoka kuwa mwakilishi wetu na kumpa majukumu ambayo yanapaswa kutekelezwa na wale tuliowapa dhamana ya kukusanya kodi.Binafsi siamini kama kusomesha wanafunzi ni jukumu la mbunge. Kama ni jukumu lake basi alipe ada kwa wanafunzi wa jimbo zima.

Desktop upo sahihi kabisa. Mbunge ni mwakilishi wa wananchi na sio mtendaji wa serikali na wala sio mfadhili wa wananchi.
Mleta mada anamsifia Kagasheki kwa mambo ya misaada ya kijamii halafu anadai kwa hivyo anastahili kuwa mbunge!!
 
Last edited by a moderator:
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa

Huu ni upuuzi. Angezidi kuwafanya watu mateka. Mbunge apiganie utungwaji wa sheria na sera rafiki kwa maendeleo. Akifa nani atawalipia hizo bili? ----- eti Dr
 
Sidhani kama ana moyo huo...ni selfish! Kama anadiliki kuondo vitu alivyokuwa ameweka maana yake hakuwa na dhamira ya dhat kama mwanabukoba bali kama mskatonge na umarufuu

hakuviondoa ebu fanya tafit,
 
hakuviondoa ebu fanya tafit,

Unataka utafiti upi?kama uko bukoba nakupa eneo moja la kuanzia fika uwanja wa mayunga maarufu kama uwanja wa uhuru,uliza tv imekwenda wapi utapata jibu..baada ya hapo utapewa taarifa nyingine mpaka unakuwa unaelezwa ukadhibitishe kwa macho yako! Hotuba yake yenyewe ya uhuru ya ushindi wa magufuli ina mfunga kwa njia moja au nyingine amevitoa kwa kudai wanadai hajafanya kitu!sasa kama wewe bado unapingana na kauli yako sijui utakuwa unamjua kagasheki yupi
 
Picha hii hapa ya Ambulance,ila kama haitoishi aliwakata umeme kwenye vibanda vya sokoni pale kashai na kurejesha tv aliyokuwa pale uwanja wa uhuru moja ya open space...huyu ndio kiongozi aliyewahi kuwa waziri na mwenye umri kidogo jua limeenda...

Hiyo Wanafuta Neno KWA MSAADA WA MBUNGE WA BUKOBA MJINI, WAMEWEKA KWA MSAADA WA KAGASHEK NA IKABAK KUFANYA KAZ
 
Ambulensi Hajanyang'anya, Watu Wahongo, Kafuta Neno IMETOLEWA NA MBUNGE WA BUKOBA MJINI, KAWEKA IMETOLEWA NA KHAMIS KAGASHEKI
Tunashukuru kwa huu ufafanuzi, nilishangaa balozi Kagasheki anyanganye ambulance eti kisa kashindwa ubunge??
 
Hiyo Wanafuta Neno KWA MSAADA WA MBUNGE WA BUKOBA MJINI, WAMEWEKA KWA MSAADA WA KAGASHEK NA IKABAK KUFANYA KAZ

Unaona wewe ndio hujafanya tafiti ila unakuja kumsemeha hapa kujaribu kumsafisha! Kilichokuwa kimeandikwa hapo hakuwa na neno "KWA MSAADA"ilikuwepo anwani ya Jimbo la Bukoba mjini,kitu ambacho jimbo kuchukuliwa na rwakatale halibadilishi jina la jimbo wala anwani ya ofisi ya jimbo!
 
Back
Top Bottom