Jikoni Leo -Bamia,Kwanini Wanaume wengi Hawali?

Dryroot umejitahidi kuzitetea ila mi ba bamia mbali mbali. Sizipendi kabisa. Yaani mtelezo wake unaniboa sana. Wacha mama watoto akijaribu mapishi tofauti nitaja zielewa
 
mi napenda bamia hata ichemshwe tu na chumvi na ugali, niliambiwa ni dawa ya vidomda vya tumbo
bamia ishirini unazikata ndogondogo unaziloweka kama ni usiku mpaka asubuhi halafu unatoa bamia zenyewe yale maji ndio unayanywa..... nilifanya hivyo kwa siku tatu nilisahau kuhusu ulcers kwa kipindi cha miezi mitatu vikarudi palepale
 
Dryroot umejitahidi kuzitetea ila mi ba bamia mbali mbali. Sizipendi kabisa. Yaani mtelezo wake unaniboa sana. Wacha mama watoto akijaribu mapishi tofauti nitaja zielewa
Mimi Binafsi yangu sizili Bamia zinapunguza Nguvu ya kiume kwa wanaume wengine rukhsa kwangu mimi nimezipiga BAN.
 
ungeendelea kutumia,bamia hata kwenye cancer inasaidia pia.
 
asee bamia na ugali hapana chezea, bamia ikatwekatwe ichemshwe na kachumvi katokee kidogo au bamia ichemshwe pamoja na kunde, au ichemshwe pamoja na majani ya maboga yaliyokatwakatwa vizuri hakyanani sibanduki!
 
hata mimi sibanduki aisee
 
Hazipo!labda nizungumzie faida ukipata ugali mdogo tu wa kawaida bamia na samaki usiku kisha unywe maji glass moja nguvu utakayoamka nayo asubuhi utasimulia kazini
Ila nahitaji kufaham hasara za kula bamia,
 
Bamia ni nzuri.sana kwangu mume wangu anapenda sana maana ni mwanamazoez anasema zinasaidia joints zisikaze, pia mimi hupenda kuzipika na samaki, nyama, ndizi, ama zenyewe tu kama mboga, napenda pia kuzisaga nakunywa kama juice. Asante dr MziziMkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…