CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
Kongosho ivi una maanisha bamia gani?
Afu mekumiss weweeee!!!
Kongosho ivi una maanisha bamia gani?
Mmmh huo utelezi wake!!
siyo kweli kwa sisi wasukuma ndiyo mboga yetu lakini mbona mzigo yetu ni shida...
Bamia ni nzuri zikipata mpishi mzuri lakin ckipikwa vibaya ni kero
Mimi Binafsi yangu sizili Bamia zinapunguza Nguvu ya kiume kwa wanaume wengine rukhsa kwangu mimi nimezipiga BAN.Dryroot umejitahidi kuzitetea ila mi ba bamia mbali mbali. Sizipendi kabisa. Yaani mtelezo wake unaniboa sana. Wacha mama watoto akijaribu mapishi tofauti nitaja zielewa
ungeendelea kutumia,bamia hata kwenye cancer inasaidia pia.mi napenda bamia hata ichemshwe tu na chumvi na ugali, niliambiwa ni dawa ya vidomda vya tumbo
bamia ishirini unazikata ndogondogo unaziloweka kama ni usiku mpaka asubuhi halafu unatoa bamia zenyewe yale maji ndio unayanywa..... nilifanya hivyo kwa siku tatu nilisahau kuhusu ulcers kwa kipindi cha miezi mitatu vikarudi palepale
asee bamia na ugali hapana chezea, bamia ikatwekatwe ichemshwe na kachumvi katokee kidogo au bamia ichemshwe pamoja na kunde, au ichemshwe pamoja na majani ya maboga yaliyokatwakatwa vizuri hakyanani sibanduki!
Mie bwana vitu vya kuteleza kooni silagi!! Just one but hivi vingine no way!!!!
Kama ivyoAisee napenda hii kitu! Okra mamama na ugali yewomii na sato lako pembeni chinekeneee
Ila nahitaji kufaham hasara za kula bamia,