Jiko la gesi kuwaka moto

Jiko la gesi kuwaka moto

kwa hali hii itafika kipindi hata kijiko au kikombe kikivunjika tutakuta News Alert JF
Nunua jiko lingine acha ushamba
 
Ninatumia mwaka Wa tatu halijawahi pasuka, itakuwa lilikuwa gushi/ fake pole sana
 
nina SANYO mwaka wa 11 kitu full bati na liko vizuri.
nunua majiko kwa vendor mkubwa anayeweza kukupa guarantee mara nyingi hawauzi vitu fake langu nililinunua mitaa ya samora wakati ule tena kwa mkopo kuna vendor mmoja alikuwa anawakopesha wafanyakazi wa NBC nami nikadhaminiwa na mmoja wake
 
Daaah! Shukrani sana kwa ushauri wenu, tayari nishapata hasara itabidi ninunue jiko lingine maana hili napata wasiwasi kama linaweza tumika tena kwa kifupi sina imani nalo.
Ulinunua bei gani?
Kama ni chini ya laki hapo hakuna jiko.

Nina jiko la kijeruman nilinunua laki na 20, jina lake spelling zitanisumbua nikifika om nitaweka hapa.
Aisee lile jiko hatar, hata kioo chake kigumu kama 5mm ujazo
 
Wr
Kweli kirahisi ni ghali siku zote.

hayo majiko ya vioo yanacheza kwenye 8000-95000. West point sio kila mmoja anaweza kuyanunua.

Na hayo yanapendwa kwenye usafi ukilifuta wauzaji wanakuakuambia linan'gaa tofauti na mengine.
west point ni km sh ngp mkuu
 
Daa mm nilitafutaga westpoint nikaenda kama maduka manne hvi kila mmoja na bei yake, wa kwanza eti elfu tisini, mwingine kilo na 30,na mwingine kilo na 80,nikashindwa kujua lipi sasa litakuwa og, nikaamua zangu kuchukua nikai la bati kwa 80 tu kiroho safi mpk sasa linakaribia nusu mwaka na lipo fureshi tu.
 
Majiko ya gass og ni vigumu sana kuyagundua, unaweza ukauziwa fake kwa bei ya og kwa kudanganywa.
 
The best gas cooker ni West Point. Ila ni shuruti upate West Point original ya France. Kwa brand hiyo utasahau kabisa habari ya majiko maana ni durability yake ni ya hali ya juu kabisa.

Nina miaka 10 na West Point ya kioo na halijawahi kuleta shida.
 
Aborder hawafai..nimenunua jiko laki na 40 hata miezi mitatu halijamaliza!
Nawalaani sana wachina na waliowakaribisha hapa nchini
 
Naona haya majiko yana tatizo,langu jana limevunjika kioo baada ya kupika.
Nimefuatilia kumbe clamp moja inavuja gesi.
Shida kubwa inakuwaga ni hiyo hata mm imewahi kunitokea ila ni fault ya house gal aliwasha moto haukuwaka kumbe gesi ilikuwa inatoka mwsho likapasuka
 
Mkuu ni mali kutoka China ?
Ulinunua wapi ? Kwa chinga au kwa franchise holder ?.
Bei gani ?
 
Tatizo mnanunua majiko ya bei rahisi..... Nunua jiko la westpoint original..... Apo ni mkataba.... Mi ninalo mwaka wa tatu Sasa Na bado jipyaaa.... Ila chunga usinunue fake..... Ikiwezekana kanunue kwenye maduka yao ya westpoint
Kama unalitumia vizuri litadumu na kama unalitumia vibaya halitadumu
Kwa hiyo mtumizi ya chombo ndio yataelekeza uimara wa chombo hicho
 
Back
Top Bottom