Jiko la gesi kuwaka moto

Jiko la gesi kuwaka moto

Mkuu ni mali kutoka China ?
Ulinunua wapi ? Kwa chinga au kwa franchise holder ?.
Bei gani ?
Ndio kutoka China, bei ilikuwa 110k, nilichukua katika duka la vyombo vya ndani.
 
Hapo nenda kamshtaki aliyekuuzia na Ngoma itamuhusisha namtengenezaji maana hapo kuna negligence kwa aliyelitengeneza.
 
Ndio kutoka China, bei ilikuwa 110k, nilichukua katika duka la vyombo vya ndani.
Vyema. Kumbe hukununua kwa chinga. Lirudishe dukani watajua la kufanya. Lako sio tukio la kawaida
 
Kwa kiasi kikubwa ninauhakika tatzo sio jiko. Tatzo itakua ni gasi ilkua inavuja.
 
Tatizo mnanunua majiko ya bei rahisi..... Nunua jiko la westpoint original..... Apo ni mkataba.... Mi ninalo mwaka wa tatu Sasa Na bado jipyaaa.... Ila chunga usinunue fake..... Ikiwezekana kanunue kwenye maduka yao ya westpoint
Sio kweli mimi nilipewa jiko original na mzungu ambalo alitoka nalo US ila mwisho wa siku lilikuja kuburst kama la huyu jamaa. Kuna sababu nyingine ila sio kuwa ni fake
 
Utakuwa hukukaza clamp vizuri gesi ikawa inavuja. Ila gesi imechanganywa na harufu flani hivi, ikivuja tu utaisikia hiyo harufu. Eitther kulikuwa na leakage kwenye piping ya hilo jiko
Gesi aina harufu! Ili kumfanya binadamu asikie wakati inavuja wazungu wakaiwekea harufu kama yai viza hili tuweze kuokoa maisha na mali
 
Ila mm mchina nimemkubali tu kwenye majiko yake ya energy sever. Yaan nipo tarrif 4 natumia jiko la umeme kwa kila kitu, gesi inakuwa kama sub, nalipa elf 9 kwa mwezi. Yanasev umeme kwa asilimia 98
 
Ila mm mchina nimemkubali tu kwenye majiko yake ya energy sever. Yaan nipo tarrif 4 natumia jiko la umeme kwa kila kitu, gesi inakuwa kama sub, nalipa elf 9 kwa mwezi. Yanasev umeme kwa asilimia 98
Yanapatikana wapi mkuu na kwa bei gani
 
Tena kawaida shukuru Mungu, hivyo vioo vinapasuka na kuruka yaani ni hatari utapoteza Macho.
Sifa ya kioo kinaposhika moto unajuwa? Una Bahati kweli huo moto ungeshika mpira unaopitisha gas ingekuwa hadithi nyingine nyumba nzima
Kwa majibu Haya Namuomba Mungu aniepusheie mbali mawazo ya kununua majiko ya gesi.
 
Tukio kama hilo nimewahi kukumbana nalo kinachotokea ni kuwa zile pipes za kusafirisha gesi kwenye sahani za jiko huwa zinafeli hali hupelekea moto kuwaka nyuma ya sahani hivyo moto ukiwaka kwa muda mrefu hupelekea jiko kupata moto na hatimaye kioo cha jiko hulipuka kwa mshindo mkubwa sana.. ni vyema unapowasha jiko uhakikishe linawaka sawa kama unaona linawaka nyuma ya sahani zima mapema
 
Back
Top Bottom