Jiko la gesi kuwaka moto

Jiko la gesi kuwaka moto

Ila mm mchina nimemkubali tu kwenye majiko yake ya energy sever. Yaan nipo tarrif 4 natumia jiko la umeme kwa kila kitu, gesi inakuwa kama sub, nalipa elf 9 kwa mwezi. Yanasev umeme kwa asilimia 98
Nalihitaji hilo jiko linaitwaje?
 
Tena kawaida shukuru Mungu, hivyo vioo vinapasuka na kuruka yaani ni hatari utapoteza Macho.
Sifa ya kioo kinaposhika moto unajuwa? Una Bahati kweli huo moto ungeshika mpira unaopitisha gas ingekuwa hadithi nyingine nyumba nzima

Hii ni gas ya miaka hiyo wakati majiko ya gesi yanaanza. Lakini kwa sasa gas imepunguzwa sana makali. Na ndio maana gas inaweza ikawa inaleak sehemu na kisitokee chochote wakati jiko unalitumia kila siku. Nowadays gas ikishatoka na ikachanganyika na kiasi tu fulani cha hewa basi haina nguvu tena ya kuwaka. Am talking from experience.
 
DAh jiko langu la West Point wezi walipita nalo. Ila kilikuwa ni bonge la chuma. Hasira tu.
 
Gesi aina harufu! Ili kumfanya binadamu asikie wakati inavuja wazungu wakaiwekea harufu kama yai viza hili tuweze kuokoa maisha na mali

GAs haina harufu??// unaijua ile gas tunayopikia ni aina gani?
 
Gesi aina harufu! Ili kumfanya binadamu asikie wakati inavuja wazungu wakaiwekea harufu kama yai viza hili tuweze kuokoa maisha na mali
Kwani nami si ndicho nilichokisema hicho, kwamba imechanganywa na harufu
 
Yanapatikana wapi mkuu na kwa bei gani
Uwe makini inawezekana huyu jamaa ndiye muuzaji,yanaitwa induction cooker!Mengi ni fake na likiharibika spare zake hakuna.Mi ninalo liliharibika baada ya muda mfupi na spare yake niliitafuta haipatikani!
 
Habari wadau, Leo asubuhi nimepatwa na mshangao baada ya kuona jiko langu la gesi likiwaka moto na kupelekea kioo cha juu kuvunjika vipande vipande, ikumbukwe kuwa hili jiko lina kama miezi miwili tu toka nimelinunua dukani. Nimejaribu kuwaita mafundi nao wameshindwa kuelewa tatizo ni nini! Nimeamua kuleta uzi kwenu nikiamini JF ni kisima cha maarifa na pia kupata angalizo juu ya vitu vya kuwanavyo makini pindi nitakaponunua jiko jingine. Unaweza angalia picha hapo chini ili angalau nipate msaada wa mawazo.View attachment 682376View attachment 682377View attachment 682378View attachment 682379View attachment 682380View attachment 682381View attachment 682382View attachment 682383
Daah post ilinipita hii namba ya fundi nah I ya gass ni 0715673024 Siku nyingine usihangaike
 
Back
Top Bottom