Jiko la gesi kuwaka moto

Jiko la gesi kuwaka moto

Attachments

  • Zec.jpg
    Zec.jpg
    29.3 KB · Views: 123
  • Zec+2.jpg
    Zec+2.jpg
    39.5 KB · Views: 124
Nipe mawazo yenu please.
Kuna majiko ambayo kioo chake hakiimili hali ya joto na kupoa kwa haraka..so unapopikia na kulisafisha jiko kwa maji jiko hupoa kwa haraka hvyo kile kioo kinapasuka (rapid contraction) ni kama vile unapoweka maji ya moto kwenye glass ya kioo mara nyingi glass hupasuka kutokana na kutanuka kwa ghafla..kwenye jiko ni opposite yake.
Tukio kama hilo na mm lilishanipata nanilitokea baada ya kumaliza kupika.
Kipi cha kufanya.
1. Nunua jiko la reputable companies au kampuni zinazofahamika na kuachana na hayo majiko yasiyoeleweka.
2. kama haujali fasheni, Hilo jiko bado linaweza tumika as unaweza wapa mafundi aluminium au wa kuchomelea akakutengezea fremu
3. Hakikisha hauweki mtungi wa gesi chini ya meza ya kupikia...next time moto ukiripuka hautaweza kufunga koki ya gesi hapo chini ..hii ni kwa usalama zaidi.
 
Hii issue ingetokea nchi za watu hayo majiko yangekuwa recalled immediately. Kuna majiko ya umeme ya ceramic yaani hotplate yote ni kama kioo na ndio inatoa moto wa kupikia, hao wachina wameiga hio styles as urembo
 
Daaah! Shukrani sana kwa ushauri wenu, tayari nishapata hasara itabidi ninunue jiko lingine maana hili napata wasiwasi kama linaweza tumika tena kwa kifupi sina imani nalo.
 
Hii issue ingetokea nchi za watu hayo majiko yangekuwa recalled immediately. Kuna majiko ya umeme ya ceramic yaani hotplate yote ni kama kioo na ndio inatoa moto wa kupikia, hao wachina wameiga hio styles as urembo
Watu wanapenda vitu vzur kwa bei ndogo..ndo madhara yake
 
Imewahi mtokea rafiki yangu siku ya kwanza kulitumia. pole mkuu.
 
Pole mnoo me ishawahi nitokea ila niliwahi gas iliisha nimerudi kununua nimewasha kwenye mtungi chini kuna mvumo nausikia sio wa kawaida kwenye jiko kuwasha na kiberiti jiko huo moto ulivyowaka sasa ukawa mkubwa sana juu ya jiko akili niliyopata ni kwenda kwenye mtungi kufunga gas ndio salama yangu bila hivyo sijui ingekuwaje na kumuita fundi na kuchuku jiko
 
Haya matukio ni issue serious sana. Imagine umebandika maji umeenda kununua unga ukirudi si unakuta nyumba imepamba moto. Ni afadhali uingie gharama ununue jiko la maana.
 
Yaan jiko langu ulifkili kama hayo basi tu sijui ninii kilitokea jaman toka siku hiyo natumia gas lakini naogopaje sasa nikikumbuka ule moto
 
Tatizo mnanunua majiko ya bei rahisi..... Nunua jiko la westpoint original..... Apo ni mkataba.... Mi ninalo mwaka wa tatu Sasa Na bado jipyaaa.... Ila chunga usinunue fake..... Ikiwezekana kanunue kwenye maduka yao ya westpoint
Mipango baba... upo hapo

Hii issue ingetokea nchi za watu hayo majiko yangekuwa recalled immediately..

Exactly!, halafu kibongo bongo vitu kama hivi au Electronics zozote huwa zinakuja na Warranty?!, kama bidhaa inaweza kubadilishwa?
 
Back
Top Bottom