Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,197
Kweli kirahisi ni ghali siku zote.Rahisi ghali.
hayo majiko ya vioo yanacheza kwenye 8000-95000. West point sio kila mmoja anaweza kuyanunua.
Na hayo yanapendwa kwenye usafi ukilifuta wauzaji wanakuakuambia linan'gaa tofauti na mengine.
