Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Ataweza wapi na kisomo chake fake?na siasa je atafanya saa ngapi?
Ndugu zangu,nenda mahali popote duniani kaangalie wapi siasa ilifanikiwa kutawala pasipo kuwa na watendaji,Lukuvi si mtendaji ni mwanasiasa mwenzetu huyu,Kumbuka anawaongoza watu wajanja zaidi yake pia ikumbukwe kuwa hii ni 2010 wamachinga wanajua pa kuibania serikali ndio maana wanafanya watavyo mkiwatimua fainali octoba kwenye karatasi ,Ombaomba wanamjua toka Dodoma wanajua hana jipya ndio maana kusikia kahamishiwa Dar hao wakaanza kutumiana nauli Agwee Mjomba ameletwa Jijini njooni hana shida.juzi kati nilimuuliza ombaomba pale Faya humuogopi Mkuu wa mkoa akanijibu ANU LUKUVI MJOMBA WESU.....
Wengi wao hata wasaidizi nadhani wanaandaa mipango ya kampeni