Hapo ndio sijui tuseme ni mbovuKwa nini haziwaki zote ?
Mitaaa ya igoma hazina solarMbona taa za solar zipo
Barabara ya kutoka nyegezi kona hadi malimbe ina taaAcheni propaganda zilizokufa wakuu, barabara ya kutoka sabasaba kwenda hadi Buswelu ni ya lami na inawaka taa mwanzo mwisho, barabara ya kutokea Pasiansi kwenda hadi Nyakato Buzuruga kupitia Kiloleli Nyasaka maduka 9, Nyasaka center kote huko taa zinawaka, barabara yote kutokea mjini kati kuelekea Igoma taa zinawaka, sasa wewe mleta unaongelea Mwanza ya wapi
Unaongelea mwanza ipi ndugu, au kuna mwanza ingine sio ninayoijuaInasikitisha kuona kwamba Mwanza jiji la pili kwa ukubwa nchini Tanzania halina taa za barabarani mitaa yote, katikati ya Jiji ni giza tupu, barabara zote kuu tatu za kutoka na kuingia Jijini (Nyerere, Kenyatta na ile iendayo uwanja wa ndege) zote ni giza tupu.
Inafikia mtu unajiuliza hivi uongozi wa Jiji hili na ule wa Manspaa ya Ilemela unakwama wapi? Mbona miji midogo kama Geita na Kahama kwa sasa sina taa za barabarani?
Kwa kweli ni aibu kwa Jiji kama hili kukosa taa hizi hata maeneo nyeti kama stendi kuu ya mabasi Nyegezi n.k. Nadhani wakati umefika sasa wa viongozi wa mkoa, jiji na Manspaa ya Ilemela kuondoa kero hii.
Mbona hamueleweki nyie, jamaa yenu kasema jiji lote ni giza totoro
So barabara moja ikiwa giza ndo mwanza hakuna taa. Noncense kabisa. Halafu ile barabara ina taa nafikiri zinaishia nyakato pale sheli ama veta sijachunguzaWewe usidanganye watu. Barabara ya Kutoka mjini kwenda Igoma ni giza tupu. Aidha katikati ya Jiji ni giza totolo, wewe unakaa Mwanza ipi ? Kawadanganye wasioijua Mwanza.
"Nadhani wakati umefika sasa wa viongozi wa mkoa, jiji na Manspaa ya Ilemela kuondoa kero hii". Napata mashaka na hii kauli yako kwa nini umeitaja Ilemela kwa upekee?Nimezaliwa Mwanza na sasa ninaishi Mwanza. Haya sema jingine mkuu
Jiji la Mwanza ni wilaya ya Nyamagana. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ya Ilemela, hivi ndivyo TAMISEMI ilivyogawa"Nadhani wakati umefika sasa wa viongozi wa mkoa, jiji na Manspaa ya Ilemela kuondoa kero hii". Napata mashaka na hii kauli yako kwa nini umeitaja Ilemela kwa upekee?