Jiji la Mwanza halina taa za barabarani

Jiji la Mwanza halina taa za barabarani

Wakazi wa jiji la Mwanza wanaongoza kwa kula samaki aina ya Sato.

Samaki hao wanavirutubisho mbali mbali vinavyoongeza uwezo wa kuona kwenye mwanga hafifu ndio maana hawahitaji sana taa za barabarani.
 
Zilikuwepo zishaharibika, who cares? Nakumbuka mwaka 2017 ziliwekwa za solar barabara ya kwenda Bugando na ile ya kutoka Pasiansi kwenda Nyasaka, sijui kama bado zinawaka.

Uko sahihi nyasaka inayoenda kutokezea njia ya airport naona jamaa wamezipiga zote pia ya airport bara bara kuu naona sasa hv ziro
 
Kuna jamaa flan Mwanza bush bush kafunga taa za barabarani nyumbani kwakwe hahahhahaa
 
Wewe usidanganye watu. Barabara ya Kutoka mjini kwenda Igoma ni giza tupu. Aidha katikati ya Jiji ni giza totolo, wewe unakaa Mwanza ipi ? Kawadanganye wasioijua Mwanza.
Acha uongo, mie nakaa igoma taa zipo zinawaka, kukiwa gizo hilo ni tatizo la tanesco na sio taa
 
Wewe inaonekana huwa hutembei usiku. Kutoka mjini hadi Igoma ni giza totoro. Hili ni jiji la giza tukubali tu ukweli
Acha uongo, mie nakaa igoma taa zipo zinawaka, kukiwa gizo hilo ni tatizo la tanesco na sio taa
 
Kutoka mataa ya nyerere road-sekou toure- Isamilo(mji mwema) mpaka Kilimahewa big bite barabara ina taa za barabarani za sola. Nadhan ni kwa baadhi ya maeneo na sio Mwanza yote ni giza.

Nazungumzia uzoefu na hata leo nimepita njia hiyo nikirejea nyumbani.
 
Kwa hiyo kilimahewa ndio katikati ya Jiji ?
Kutoka mataa ya nyerere road-sekou toure- Isamilo(mji mwema) mpaka Kilimahewa big bite barabara ina taa za barabarani za sola. Nadhan ni kwa baadhi ya maeneo na sio Mwanza yote ni giza.

Nazungumzia uzoefu na hata leo nimepita njia hiyo nikirejea nyumbani.
 
Maguful kawaharibu sana Watanzania. Sasa hivi watu wanaona kuwa na taa za barabarani ni maendeleo. Kuna siku mtasema kuwa na mitaro ya kupitisha maji ya mvua ni maendeleo wakati vyote hivyo ni vitu basic kabisa kwa mwanadamu ni sawa na kuwa na choo nyumbani huwezi sema umendeelea kwa kuwa na choo
 
Kuna diwan kwa tket ya ccm kanad xera zake uongo mwing mpak nkawaonea hruma kna mama wanaopga vgeregere kwa kukauka xaut zao bure..........et diwan katumia milion43 pexa yake yeye mwenyew co ya xerkal katka kujenga miradi kama xhule na barabara
 
Zilikuwepo zishaharibika, who cares? Nakumbuka mwaka 2017 ziliwekwa za solar barabara ya kwenda Bugando na ile ya kutoka Pasiansi kwenda Nyasaka, sijui kama bado zinawaka.
Zinawaka ila sio zote
 
Chadema ni wazee wa kutengeneza uwongo, wajiandae October
Acheni propaganda zilizokufa wakuu, barabara ya kutoka sabasaba kwenda hadi Buswelu ni ya lami na inawaka taa mwanzo mwisho, barabara ya kutokea Pasiansi kwenda hadi Nyakato Buzuruga kupitia Kiloleli Nyasaka maduka 9, Nyasaka center kote huko taa zinawaka, barabara yote kutokea mjini kati kuelekea Igoma taa zinawaka, sasa wewe mleta unaongelea Mwanza ya wapi
 
Nlicheka sanaa kusikiliz sera za mabula igoma hapo anasema tukimpa kura atawasha taa za barabaran kwa kuziunganisha na solar,kwel nlimshangaa sanaa kwan amekaa miaka mitano hakuweza kufanya ivo ila ss iv anaomba ridhaa kuziwasha,kwel wabunge wa ccm n mzigo
Mbona taa za solar zipo
 
Back
Top Bottom