Taa za barabarani Gerezani - Mbagala hazitumiki?

Taa za barabarani Gerezani - Mbagala hazitumiki?

Vicent Chipasula

New Member
Joined
Jun 20, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
 
Wewe umelewa , mbona zinamulika🤫
 
Back
Top Bottom