mtoa mada umeshindwa kuielezea vizuri mada yako kuna baadhi ya maeneo hakuna taa kabisa na baadhi zipo asa maeneo ya watu wengi, jamaa Wa CCM na CHADEMA mnatualibia mada kura yangu itaenda kwa mwakilishi Wa wali nyama
Mkuu ameandika barabara za katikati ya jiji sasa wewe unaandika hizo za Nyasaka na Malimbe ambaye mtoa mada hakuzilenga hizo.Acheni propaganda zilizokufa wakuu, barabara ya kutoka sabasaba kwenda hadi Buswelu ni ya lami na inawaka taa mwanzo mwisho, barabara ya kutokea Pasiansi kwenda hadi Nyakato Buzuruga kupitia Kiloleli Nyasaka maduka 9, Nyasaka center kote huko taa zinawaka, barabara yote kutokea mjini kati kuelekea Igoma taa zinawaka, sasa wewe mleta unaongelea Mwanza ya wapi
Mkuu ameandika barabara za katikati ya jiji sasa wewe unaandika hizo za Nyasaka na Malimbe ambaye mtoa mada hakuzilenga hizo.
Mtoa mada kaongea ukweli mtupu, barabara ya kwenda airpot ni kweli inataa lakini haziwaki na lile eneo la Nera ni hatari lina vibaka wa kutosha sasa ukichanganya na giza ndio balaa kabisa.
Nadhani viongozi wa jiji wanatabia ya kutosimamia vizuri miundombinu baada ya kukamilika hizo taa za barabara ya Nyasaka kumbuka bado ni mpya baada ya muda usije shangaa nazo zikazima na zile za daraja la furahisha nazo zikazima pia.
Jiji la Mwanza ni wilaya ya Nyamagana. Wilaya ya Ilemela ni Manspaa ya Ilemela, hivi ndivyo TAMISEMI ilivyogawa
stand ya nyegezi ipo wilaya ya nyamagana ambayo ndo halimashaur ya jiji la mwanzaBado umejichanganya mkuu umeitaja stend ya nyegezi kwani nayo ipo ilemela?
stand ya nyegezi ipo wilaya ya nyamagana ambayo ndo halimashaur ya jiji la mwanza
Hii road huwa napiga zangu jogging asubuhi, inawaka taa aisehAcheni propaganda zilizokufa wakuu, barabara ya kutoka sabasaba kwenda hadi Buswelu ni ya lami na inawaka taa mwanzo mwisho, barabara ya kutokea Pasiansi kwenda hadi Nyakato Buzuruga kupitia Kiloleli Nyasaka maduka 9, Nyasaka center kote huko taa zinawaka, barabara yote kutokea mjini kati kuelekea Igoma taa zinawaka, sasa wewe mleta unaongelea Mwanza ya wapi
Zingine giza ila chache zizawakaWewe usidanganye watu. Barabara ya Kutoka mjini kwenda Igoma ni giza tupu. Aidha katikati ya Jiji ni giza totolo, wewe unakaa Mwanza ipi ? Kawadanganye wasioijua Mwanza.
sawa kabisaSoma uzi vizuri mleta mada anaitaja wilaya ya ilemela wafanyie kazi malalamiko yake.
Na akijumuisha jiji lotewapo wamemwambia angesema baadhi ya sehemu ya jiji la mwanza sio kusema jiji lote halina taa
wabunge wa ccm ni mizigo kweli kweli. Hata taa tu wameshindwa kulishawishi baraza la madiwani liweke fungu ? Afu unakuta wote wanamsubiri Magufuli. Yaani upuuzi mtupuNlicheka sanaa kusikiliz sera za mabula igoma hapo anasema tukimpa kura atawasha taa za barabaran kwa kuziunganisha na solar,kwel nlimshangaa sanaa kwan amekaa miaka mitano hakuweza kufanya ivo ila ss iv anaomba ridhaa kuziwasha,kwel wabunge wa ccm n mzigo
Nnachoona wanaendana na mdundo wa mkuu wao maana amezoea kuzndua hadi mtaro wa maji kwa hyo nahc wanategesha aje wawashe japo taa mbili ili mzee apatie promo hapo hapowabunge wa ccm ni mizigo kweli kweli. Hata taa tu wameshindwa kulishawishi baraza la madiwani liweke fungu ? Afu unakuta wote wanamsubiri Magufuli. Yaani upuuzi mtupu
Kweli kabisa kabisa yaani city centre pale Mwanza ni aibu usiku giza tu utadhani uko nyakanazi. Ukweli inakeraUkiniuliza miji ambayo ina-operate below potential Tanzania basi wa kwanza ni Mwanza. Inakera sana na inatia aibu kuona jiji kama Mwanza lina shida ya hivi vitu vidogo vidogo. Mwanza inatakiwa kuwa kama Kisumu au Mombasa kimaendeleo lakini iko nyuma mpaka kera yaani
Mji wote?Hazipo kabisa