Jiji la Mwanza halina taa za barabarani

Jiji la Mwanza halina taa za barabarani

Labda Mwanza ya Lissu.

Traffick light
. 1. Kona ya Bwiru.
2. Buzuruga.
3. Mjini mataa karibu na BOT
4. Pasiansi kawekamo.
5.Butimba
6 National

Barabara zenye taa.
1. Buswelu hadi Sabasaba.
Mjink hadi National
2. Kona ya Bwiru Nyasaka hadi Buzuruga.
4 Mjini hadi Airport
5.mjini hadi Buhongwa.

Na nk
 
Labda Mwanza ya Lissu.

Traffick light
. 1. Kona ya Bwiru.
2. Buzuruga.
3. Mjini mataa karibu na BOT
4. Pasiansi kawekamo.
5.Butimba
6 National

Barabara zenye taa.
1. Buswelu hadi Sabasaba.
Mjink hadi National
2. Kona ya Bwiru Nyasaka hadi Buzuruga.
4 Mjini hadi Airport
5.mjini hadi Buhongwa.

Na nk
hizo taa zinawaka
maana kuwepo tu sio shda
 
Wakazi wa jiji la Mwanza wanaongoza kwa kula samaki aina ya Sato.

Samaki hao wanavirutubisho mbali mbali vinavyoongeza uwezo wa kuona kwenye mwanga hafifu ndio maana hawahitaji sana taa za barabarani.
[emoji23]
 
Hatimaye leo taa za makongoro road zimewaka
Sababu ya ziara ya mh.rais samia
 
Ndugu yangu huu ndio mji pekee katika Tanzania wenye giza totolo, huwezi amini madiwani wabunge na viongozi wengine wa mkoa sijui hawalioni hili, ni ajabu sana.
Shida tunachagua madiwani na wabunge marafiki au tunaokunywa nao pombe, hatuangalii uwezo wao.
 
Acheni propaganda zilizokufa wakuu, barabara ya kutoka sabasaba kwenda hadi Buswelu ni ya lami na inawaka taa mwanzo mwisho, barabara ya kutokea Pasiansi kwenda hadi Nyakato Buzuruga kupitia Kiloleli Nyasaka maduka 9, Nyasaka center kote huko taa zinawaka, barabara yote kutokea mjini kati kuelekea Igoma taa zinawaka, sasa wewe mleta unaongelea Mwanza ya wapi
Ni kweli kuna mitaa nguzo za taa zipo lakini nyingi haziwaki na nyingi zinazowaka ni za solar na hazina tena nguvu yakuwaka mpaka karibia kuna kucha, ni kweli mida ya saa nane ukipita ni giza totoro, hata hapo kamanga kuelekea ikulu taa inayowaka ipo kituo cha kishimba, nyingine walieka bulb za taa za nyumbani siku magufuli anakuja ziara Mwanza sijui zilishafia wapi.
 
Shida tunachagua madiwani na wabunge marafiki au tunaokunywa nao pombe, hatuangalii uwezo wao.
Madiwani wanafeli karibia kila kitu,barabara za mitaan ni mbovu,kupanga route za daladala tu hawawezi
#kaziiendelee
 
Ila Kweli Mwanza inatia aibu! Yaani unatembea mjini Giza totoro kama uko Porini! Halafu maji ndiyo usiseme! Ziwa liko hapa hapa lakini maji hakuna! Kweli Mwanza ina maana!
 
Yaani ni shida kabisa. Huu mji kwa upande wa huduma muhimu ni hovyo kabisa. Hivi inaingia akilini kweli kwamba pale Nyashishi Nyang'homango na Usagara eti hakuna maji na Ziwa lipo karibu tu wakati maji ya ziwa victoria yako mpaka Igunga kwa sasa ! Utadhani hakuna wabunge mkoa huu, yaani mhhhh.
Ila Kweli Mwanza inatia aibu! Yaani unatembea mjini Giza totoro kama uko Porini! Halafu maji ndiyo usiseme! Ziwa liko hapa hapa lakini maji hakuna! Kweli Mwanza ina maana!
 
Labda Mwanza ya Lissu.

Traffick light
. 1. Kona ya Bwiru.
2. Buzuruga.
3. Mjini mataa karibu na BOT
4. Pasiansi kawekamo.
5.Butimba
6 National

Barabara zenye taa.
1. Buswelu hadi Sabasaba.
Mjink hadi National
2. Kona ya Bwiru Nyasaka hadi Buzuruga.
4 Mjini hadi Airport
5.mjini hadi Buhongwa.

Na nk
Mjini hadi Buhongwa kuna taa ! Hauko serious
 
Bado Jiji la Mwanza hakuna taa za barabarani ni giza totoro.
 
Back
Top Bottom