Ngoja niendelee kusoma comments kwanza, maana kuna mtangulizi flani ametoa matusi ya ajabu sana
Yule alietukana. Vipngozi maaskofu ukiuliza yeye ana biashara gani wanaanza sound
Ngoja niendelee kusoma comments kwanza, maana kuna mtangulizi flani ametoa matusi ya ajabu sana
Mkuu, huyo wa aliyekuja na hoja ya maji chimvi tumempuuza. Hana uwezo wa kujenga hoja...[emoji23][emoji23]Mkuu shida ni kwamba sababu uliyotoa ni yakitoto sana ukilinganisha na mjadala, maji ya chumvi ni natural factor so unataka wakazi wa Dodoma wayabadilishe[emoji23][emoji23][emoji23],
Afu kitu kingine changia mada ukiwa na fact kwamba Dodoma mara ya mwisho umekuja lini, sio umepita njia tu unachangia mada
Dodoma ya sasa sio kama ya zaman mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mkuu kuna watu wana chuki binafsi na Dodoma na hili ni tatizo sana kwa Tanzania, chuki bila sababu [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, huyo wa aliyekuja na hoja ya maji chimvi tumempuuza. Hana uwezo wa kujenga hoja...[emoji23][emoji23]
Kwani huyo anayefungua kiwanda Dar soko lake lipo Dar peke yake?Kakuuliza kuhusu uchumi lakini yaelekea haujui uchumi wenyewe, gdp ya tz 70% ni dar ilhali dar ni 10% ya watz wote, ukiweka kiwanda dom wakati soko kuu ni dar utaongeza gharama za usafirishaji wa bidha pengine na malighafi
Unajua maana ya gdp ya tz 70% + kuwa dar wakati dar ina watu 10% ya watz wote?Kwani huyo anayefungua kiwanda Dar soko lake lipo Dar peke yake?
Unayapata bosi nipo mbeyaumeesema yooooteeeee hakika umemaliza. Dodoma inapaishwa kwa nguvu za kisiasa ila hakuna kitu. kwanza maji yana chumvi ukioga unakuta weupe weupe mwilini.In short bado sijapakubali dodoma.
Pia nmeona umezungumzia suala la mafuta ya mawese,napenda kutumia mafta haya maana hayana madhara kama haya mengne. vp naweza kuyapata? npo Dar.
Mbeya kuna mafta ya mawese? auUnayapata bosi nipo mbeya
Point nzuri sana mkuuKuna opportunities nyingi sana Dodoma kuliko Dar. Yaani kuna upungufu mkubwa sana wa huduma hapo Dodoma kiasi kuwa ukiwekeza kwenye huduma hizo utapanda sana. Usitake kufanya biashara za ki-Dar es-Salaam ndizo ukapeleka dodoma; utakwama sana. Wewe nenda pale katumie kama wiki mbili uangalie mapungufu yaliyopo ndipo uchukue opportunities uanzishe a biashara tofauti sana na zile za Dar es Salaama zikiendena na mapungufu yaliyoko Dodoma; utashangaa mafanikio utakayopta.
Cheki PM bosiPia biashara ya wine ina lipa sana kama utakua wakala wa wine mikoa mingine mfano me nina oda kila alhamisi natuma garoni saba mbeya so ukipata mikoa mitano ama oda tano kwa week za garoni saba unatengeneza pesa nzuri tyuuu
Yanapatika kyela mkuumbeya kuna mafta ya mawese? au
Dodoma ilipotangazwa kua jiji kuna walikashifu hiyo hadhi kupewa Dodoma hata sijui ilwauma kwa sababu zipi au pengine labda ni chuki binafsi tu.[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mkuu kuna watu wana chuki binafsi na Dodoma na hili ni tatizo sana kwa Tanzania, chuki bila sababu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bidhaa zinazotengenezwa Dar zinatumika na watu wa nje ya Dar kuliko zinavyotumika na watu wa Dar, achilia mbali mazao ya chakulaUnajua maana ya gdp ya tz 70% + kuwa dar wakati dar ina watu 10% ya watz wote?
Dodoma sasa hivi imejaa fursa bwashee acha kabisa.Hata pesa za kuendeleza Dodoma zinatoka miji mingine!
Dodoma kusema kweli imebebwa!
Ni rahisi kutoboa Dar kuliko Dodoma!
Dodoma inategemea ma staff wa serikali na wabunge ambao ndio wana hela. Mzunguko hauwezi kuwa mkubwa sababu watu wa kule ni wavivu kinoma.
Babu na Mzee wa kazi wana mboga pia.Hahahaa hamna kitu huyo Dodoma sema ukishatika kidogo tu unakaa meza moja na watu wakubwa basi na vibastola vyao vya kutushia watu wanaanza kujidai “Kipofu mwenye miwani nyeusi”
Kama ni hivyo mbona hakumsaidia ndugu yake nani yule Mselia sijui aliyejiua shambani Msalato baada ya kukutwa na magumashi enzi viroba vinafungiwa
Kuna siku nimekaa na mtu ananiambia hadi Mmanga eti afisa hahahaaa
Mmanga huyu huyu wa Korie sijui Scania na Martin Luther??
Dodoma pagumu sana pale mpaka kushikilia mfereji wa pesa sio kama mikoa mingine
LM kazimoto au city boy s au Peter fashion hana idea mpya,,, kwanini usiweke ya kwako ili tuifate?
Sometym MTU anacoment kibabe wakati hana hata genge la nyanya,,,,..
ngoja na mm niwachungulie kwa mbaliNgoja niendelee kusoma comments kwanza, maana kuna mtangulizi flani ametoa matusi ya ajabu sana
Ni kwa sababu vyanzo vya Tz ni bandari, Bandari ya Dar bidhaa zote za nchini na nchi jirani zinapitia bandarini kwa hiyo ushuru wote unalipwa pale mpaka hii ya bulk mafuta yalipwa kabla hayajatoka, vifaa, magari kila kitu kinalipwa pale ila walaji ni nchi nzima. unaweza kusema 70% kwa maana bidhaa zimetoka pale ila hatujui au kufuatilia hizo bidhaa walaji wako wapi tunajuwa walaji nchi nzima.Unajua maana ya gdp ya tz 70% + kuwa dar wakati dar ina watu 10% ya watz wote?