Jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha kwa ujumla

Jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha kwa ujumla

Du aisee basi ni tabu kuelekezana..baki na msimamo wako wa kuwekeza Dar. Dangote angekuwa na mawazo kama yako asingeweza kuwekeza Mtwara.
Kuna sababu kwanini kiwanda kile cha cement kimewekwa Mtwara. Fuatilia utajua. Kwanini hakukiweka Dodoma.
Screenshot_20201007-175238.png
 
Kwanini mtu aweke kiwanda Dodoma na si Dar ambako kuna 80% ya soko lake?!
Miaka ya nyuma hadi walipewa unafuu watu wa viwanda kuanzisha viwanda chini ya CDA kuichangamsha Dodoma ila wahindi wajanja wale wakawa wanavianzisha halafu vinaingua moto vinahamia Dar

Viwanda vya Fahari bottlers(Pepsi), Zuzu Ceramic na Magodoro Dodoma(Quality foam) vyote vilipata dhahama hiyo
 
Umeona sasa,mambo ya kuchangamsha ni ya kisiasa ndio maana wamekimbia invewalipa wangekimbia?
 
Tatizo la wanajf ni wahafidhina sana,hawawezi kukuambia kweli
 
Hakuna unafuu kama mji wa Kigoma, vyakula vyote bei juu tofauti na kigoma ndizi bei chini , unga bei chini, samaki mgeb uka bei chini , maharage bei chini, mafuta mawese bei chee, Dodoma kila kitu bei juu, hadi nyumba za kupanga, mfano wapemba wakija bungeni hupendelea kupanga vyumba vya maeeneo ya chinangali na chang`ombe
vyumba bei rahisi tena wanapanga wapemba wanne chumba kimoja cha shs 10000, DODOMA channel za biashara pia siyo super maana hakuna viwanda kwa hiyo biashara zote za jumla inabidi kuagiza bidhaa toka DSM MFANO CEMENT , MABATI na SUKARI.

Dodoma ni mji mkuu kwa sasa fursa pekee ni viwanja na nyumba za kupanga kuwa bei ju, pia unaweza ukapata bahati nyuma yako ikapangishwa na ofisi za serikali au shirika au NGO yoyote.

Dodoma na wagogo wake ni ngome ya CCM hivyo ni watu wa kuridhika tu hawawezi kudai haki au fursa mfano watu wa Mbeya hili nalo ni tatizo la Dodom ni watu wA heya chalumba.

Pia Dodoma iliathiriwa na watangulizi wake ambao walichelewa sana kujitambua, mfano Malacela mpaka anastaafu alikuwa hajitambui, pia akina askofu Chiwanga walikuwa ni wabinafusi tu wamechangia sana kuidumaza Dododma pamaja na kuwa makao makuu haiwezi kuchangamuka kama DSM

Kwa ujumla Dodoma haina fursa nyingi na kuwa kimbilio la watu wa makabila yote kama ilivyo DSM, zaidi ya kuwa makao makuu na makao ya Bunge hakuna jipya hivyo mleta mada ukija Dom jipinde kweli kupata fursa.

Kuna wagogo wachache tu waliifanya Dodoma ichangamke lakini bahati mbaya walitangulia mbele za haki nao ni Alexander Kanyamala na Andrea Masikini pia wako watu kama Lod SWAI wamejitahidi kuipaisha Dom kwa kiasi cao lakini hawakupata support ya wawekezaji wengine sababu kuu ikiwa ni ubnasi wa akina Job Lusinde, severin Supa, Pancrious Ndejembi na Chizomoche yake n,k

Ni hayo tu mleta mada kama mengine nimesahau utanikumbusha.

Hahahaaa we jamaa kweli unaijua Dodoma ulivyonitajia hao kina Lusinde, Malecela, Chiwanga na Ndejembi walivyokua wabinafsi na kujifanya ndo koo kongwe ujinga mtupu, umewasahau na kina Mavunde wakairudisha sana Dodoma mpaka kuangukia kwa Waarabu kina Sagaf,Gulamali na Morama

Dodoma itachukua muda sana mpaka watu wachanganyike kidogo kuna Umwinyinwa kijinga sana
 
Wengine ni wadau wazuri sana wa biashara wa jiji hili ila kiuhalisia Dodoma pagumu sana tena sana. Wafanyabiashara wao akina Kazimoto na Cityboys hawana mawazo ya kuangalia mbele wanajiona wamelishika jiji. Watunga sera akili zao zimegota hawana hata akili mpya. Huu mji unatakiwa uwe na viwanda vingi sana. Nenda sijui soko jipya limepewa jina la ajabu kweli hakuna kitu pale. Stendi haina vichochoe vya biashara kabisa. Jambo la kushangaza serikali ya CCM baada ya ule mradi mkubwa chinese Mall wapeleke Dodoma, wameamua kuujenga Dar pale stendi ya ubungo. Dodoma inahitaji viwanda kama 50 hivi ili kuleta uhai.

City Boys, Kazimoto kina Frank Mtei na Priscus Alex eti ndo mafogo wa Dodoma😂😂
Bhanji
Shabiby
Marehem Maimu

Labda watu watoke dar aisee ndo watakuja kuichangamsha
 
Ngoja niendelee kusoma comments kwanza, maana kuna mtangulizi flani ametoa matusi ya ajabu sana

Hahahaaaa matusi yapi tena mkuu??

Ukweli mchungu kiasi sie wengine tulikimbia tukaja kutafuta sehemu nyingine

Nataka nirudi kununia viwanja huko mkuu
 
Huyo kazimoto anawadanganya raia kama yeye ni afisa Kipenyo mjinga sana.

Hahahaa hamna kitu huyo Dodoma sema ukishatika kidogo tu unakaa meza moja na watu wakubwa basi na vibastola vyao vya kutushia watu wanaanza kujidai “Kipofu mwenye miwani nyeusi”

Kama ni hivyo mbona hakumsaidia ndugu yake nani yule Mselia sijui aliyejiua shambani Msalato baada ya kukutwa na magumashi enzi viroba vinafungiwa

Kuna siku nimekaa na mtu ananiambia hadi Mmanga eti afisa hahahaaa

Mmanga huyu huyu wa Korie sijui Scania na Martin Luther??

Dodoma pagumu sana pale mpaka kushikilia mfereji wa pesa sio kama mikoa mingine
 
Umeona sasa,mambo ya kuchangamsha ni ya kisiasa ndio maana wamekimbia invewalipa wangekimbia?

Ukuaji wa miji huja automatic, ukiangalia historia ya kuanzia Paris, London, New York sijui hata Bagamoyo kibiashara mji unakua wenyewe na ikiisha unakufa pia. Huwezi kulazimisha kusisimua kisiasa wakati mtu anajua akiwekeza hela kias hicho hicho sehem nyingine atapata zaidi. Ndo uhalisia huo

Mbona kina Fresho na Jambo wamefungua viwanda shinyanga huko bila kusisimuliwa na mtu. Sio mwanza ambapo kuna shughuli tayari ila shinyanga inajikuta tu inahotaji uwekezaji wa namna hiyo

Kiwanda cha maji tu simpo hicho Asante cha Dodoma kimekuja kufunguliwa juzi juzi na bado kinasuasua

Makampuni yenyewe ya Dar niliyoyaona yamekimbilia Dodoma mengi ni ya Mikopo(Imarisha maisha, Lughano nk) na yale ya upimaji/uuzaji viwanja(kina Global Fortune, infinity nk) wote wanalenga wafanyakazi

Hao kina Feza Schools, Shoppers plaza sijui Nakiete wenyewe nao ni vibranch tegemeo hao wafanyakazi tu pia

Labda tuendelee kuangalia over time wananchi wote kwa pamoja watachangamka na kuchangamsha mji kwa ujumla ila kwa sasa nadhani bado kwakweli
 
Poor justification.....
Kama hautojali, ebu elezea WHY..??
Kutokana na uchumi mdogo hivyo soko la vitu vikubwa vikubwa hamna.
Mazingira na raw materials production ni ndogo huwezi kwenda kufanya biashara kubwa sehem ambayo hamna availability ya resources wala market.

Kwa Dodoma biashara ni
Vyakula
Nguo
Usafiri (sio usafirishaji wa mizigo)
Bakery
Nyumba/apartment
Bar,pubs na restaurant (sio hotel na lodge)
Barbershop na Cameramen
 
Hahahaa hamna kitu huyo Dodoma sema ukishatika kidogo tu unakaa meza moja na watu wakubwa basi na vibastola vyao vya kutushia watu wanaanza kujidai “Kipofu mwenye miwani nyeusi”

Kama ni hivyo mbona hakumsaidia ndugu yake nani yule Mselia sijui aliyejiua shambani Msalato baada ya kukutwa na magumashi enzi viroba vinafungiwa

Kuna siku nimekaa na mtu ananiambia hadi Mmanga eti afisa hahahaaa

Mmanga huyu huyu wa Korie sijui Scania na Martin Luther??

Dodoma pagumu sana pale mpaka kushikilia mfereji wa pesa sio kama mikoa mingine
Mimi nawaangalia nasema ipo siku watajuta kuna watu wana study biashara zao wanawacheka tu. Mke wa Kazimoto kuna siku nilikuwa pale hotelini kwao Bahi Road yaani utadhani queen wa wapi. Kaingia nikamcheki mhudumu akasema mke wa boss nikatoa lawama zangu juu ya huduma mbovu. Akaninyea mbovu nami nikamnyea mbovu tukamalizana akasema atachukua namba yangu nitashughulikiwa mpaka leo kimya.
 
Dodoma wapoiangia kwa jicho la ukaribu hakuna kitu kitaenda hapo. Mji wa serikali ukiangalia kiundani ni kama chuo tu kimejengwa na hukuna uhalisia wa makao makuu ya nchini watu kila uchwao wapo Dar. JPM angeweza kuacha kununua ndege nyingi akawekeza hasa Dodoma. Kungewepo kwa serious dryport ambayo ingeweza kuchangamsha hasa jiji. Muda ni rafiki punde tutapata majibu. Yaani kuna vibiashara vya lodge na car wash ndio kimbilio la wengi. Wapambane kutengeneza mifumo rafiki ya upatikanaji wa pesa.
 
City Boys, Kazimoto kina Frank Mtei na Priscus Alex eti ndo mafogo wa Dodoma😂😂
Bhanji
Shabiby
Marehem Maimu

Labda watu watoke dar aisee ndo watakuja kuichangamsha
Frank Mtei ni ndugu na Eli mtei?
Ni shemeji ake Mbowe?
 
umeesema yooooteeeee hakika umemaliza. Dodoma inapaishwa kwa nguvu za kisiasa ila hakuna kitu. kwanza maji yana chumvi ukioga unakuta weupe weupe mwilini.In short bado sijapakubali dodoma.

Pia nmeona umezungumzia suala la mafuta ya mawese,napenda kutumia mafta haya maana hayana madhara kama haya mengne. vp naweza kuyapata? npo Dar.
Mkuu hawazungumzii ww kupapenda Dodoma, mada ni uwekezaji Dodoma na fursa zake sasa maji ya chumvi yanahusika nn[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna unafuu kama mji wa Kigoma, vyakula vyote bei juu tofauti na kigoma ndizi bei chini , unga bei chini, samaki mgeb uka bei chini , maharage bei chini, mafuta mawese bei chee, Dodoma kila kitu bei juu, hadi nyumba za kupanga, mfano wapemba wakija bungeni hupendelea kupanga vyumba vya maeeneo ya chinangali na chang`ombe
vyumba bei rahisi tena wanapanga wapemba wanne chumba kimoja cha shs 10000, DODOMA channel za biashara pia siyo super maana hakuna viwanda kwa hiyo biashara zote za jumla inabidi kuagiza bidhaa toka DSM MFANO CEMENT , MABATI na SUKARI.

Dodoma ni mji mkuu kwa sasa fursa pekee ni viwanja na nyumba za kupanga kuwa bei ju, pia unaweza ukapata bahati nyuma yako ikapangishwa na ofisi za serikali au shirika au NGO yoyote.

Dodoma na wagogo wake ni ngome ya CCM hivyo ni watu wa kuridhika tu hawawezi kudai haki au fursa mfano watu wa Mbeya hili nalo ni tatizo la Dodom ni watu wA heya chalumba.

Pia Dodoma iliathiriwa na watangulizi wake ambao walichelewa sana kujitambua, mfano Malacela mpaka anastaafu alikuwa hajitambui, pia akina askofu Chiwanga walikuwa ni wabinafusi tu wamechangia sana kuidumaza Dododma pamaja na kuwa makao makuu haiwezi kuchangamuka kama DSM

Kwa ujumla Dodoma haina fursa nyingi na kuwa kimbilio la watu wa makabila yote kama ilivyo DSM, zaidi ya kuwa makao makuu na makao ya Bunge hakuna jipya hivyo mleta mada ukija Dom jipinde kweli kupata fursa.

Kuna wagogo wachache tu waliifanya Dodoma ichangamke lakini bahati mbaya walitangulia mbele za haki nao ni Alexander Kanyamala na Andrea Masikini pia wako watu kama Lod SWAI wamejitahidi kuipaisha Dom kwa kiasi cao lakini hawakupata support ya wawekezaji wengine sababu kuu ikiwa ni ubnasi wa akina Job Lusinde, severin Supa, Pancrious Ndejembi na Chizomoche yake n,k

Ni hayo tu mleta mada kama mengine nimesahau utanikumbusha.
Duh..
 
Humu kuna wapotoshaji sana mkuu.
Mimi nilihamia Dodoma, na nikaanza maisha from the scratch, na nilianza na mtaji wa akili.
Lakini leo Alhandulillah napata rizki, watoto pia wanaenda shule nzuri na mjengo mpya unaelekea kukamilika...
Wengi wao ni wapuuzi kwa michango yao ya kijinga,Dom ni manispaa tangu enzi za miaka ya 80 na Hadi sasa ni jiji Kuna huduma na biashara zote zinasapoti maisha vizuri kabisa.
Kwa sasa mji unakua kwa Kasi Sana sasa umewahi ona wapi kwenye watu kukawa hakuna pesa?
 
Back
Top Bottom