Jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha kwa ujumla

Jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha kwa ujumla

Sina uzoefu mkuu mi huwa naenda Tu nakurudii nachoona huwa wapo busy Sana
Ok vyumba vya kupanga pia Bei gan kka kwa kijana anayeenda kutafuta maisha, nipo singida nataman nkaanze maisha Dom kka, nataka nikakimbize boda, Hali ya maisha kwa Mimi ninaenda kutafuta maisha unaionanaje Kaka huko
Angalau umekaa huko unafahamu vizuri Hali ya maisha kiujumla🙏
 
Pagumu Pagumu Pagumu Pagumu Pagumu Pagumu Pagumu Pagumu Pagumu Pagumu
Dodoma!
 
Kuna jamaa yangu alinitahadharisha ya kuwa Dodoma ni pagumu! Sikumuamini. Ila kwa sasa naamini alikuwa sahihi kwa 100%.

Gharama za maisha ziko juu huku mzunguko wa hela ukiwa ni wa kawaida katika maeneo mengi ya mji.

NB: Sihitaji malumbano na yeyote yule! Nimeandika tu kwa hisia zangu mwenyewe.
 
Hakuna unafuu kama mji wa Kigoma, vyakula vyote bei juu tofauti na Kigoma ndizi bei chini, unga bei chini, samaki mgebuka bei chini, maharage bei chini, mafuta mawese bei chee, Dodoma kila kitu bei juu, hadi nyumba za kupanga, mfano wapemba wakija bungeni hupendelea kupanga vyumba vya maeneo ya Chinangali na Chang`ombe.

Vyumba bei rahisi tena wanapanga wapemba wanne chumba kimoja cha shs 10000, DODOMA channel za biashara pia siyo super maana hakuna viwanda kwa hiyo biashara zote za jumla inabidi kuagiza bidhaa toka DSM MFANO CEMENT, MABATI na SUKARI.

Dodoma ni mji mkuu kwa sasa fursa pekee ni viwanja na nyumba za kupanga kuwa bei juu, pia unaweza ukapata bahati nyuma yako ikapangishwa na ofisi za serikali au shirika au NGO yoyote.

Dodoma na wagogo wake ni ngome ya CCM hivyo ni watu wa kuridhika tu hawawezi kudai haki au fursa mfano watu wa Mbeya hili nalo ni tatizo la Dodoma ni watu wa heya chalumba.

Pia Dodoma iliathiriwa na watangulizi wake ambao walichelewa sana kujitambua, mfano Malecela mpaka anastaafu alikuwa hajitambui, pia akina askofu Chiwanga walikuwa ni wabinafsi tu wamechangia sana kuidumaza Dododma pamoja na kuwa makao makuu haiwezi kuchangamka kama DSM.

Kwa ujumla Dodoma haina fursa nyingi na kuwa kimbilio la watu wa makabila yote kama ilivyo DSM, zaidi ya kuwa makao makuu na makao ya Bunge hakuna jipya hivyo mleta mada ukija Dom jipinde kweli kupata fursa.

Kuna wagogo wachache tu waliifanya Dodoma ichangamke lakini bahati mbaya walitangulia mbele za haki nao ni Alexander Kanyamala na Andrea Masikini pia wako watu kama Lod SWAI wamejitahidi kuipaisha Dom kwa kiasi chao lakini hawakupata support ya wawekezaji wengine sababu kuu ikiwa ni ubinafsi wa akina Job Lusinde, Severin Supa, Pancrious Ndejembi na Chizomoche yake n,k

Ni hayo tu mleta mada kama mengine nimesahau utanikumbusha.
Mkuu kigoma vyakula bei chini mzunguko wa hela hamna.Hii ni pamoja na miji yenye chakula kingi kama Mbeya, Kagera,Moshi ,Njombe Songea, Katavi na Baadhi ya womilaya za moro.
 
ngoja na mm niwachungulie kwa mbali
lkn hakuna aliyetusi ila kasema ukweli mtupu, Dodoma bado sana kuna maisha ya kushikishwa mabichwa, matajiri wa asili na ukabila umechangia watu kuwa waduanzi

Mtu unaaminishwa kutakuwa na uwanja mkubwa wa mpira watu 85,000 wakati mashabiki hakuna
unaaminishwa kutakuwa na uwanja mkubwa wa ndege huko Msalato wakati uwanja wa mjini watu hakuna sasa sijui ni watalii watatua au mabalozi wa nchi za nje wanaotokea Dar

Biashara na Makao makuu bado sana hata kwa miaka 10 mbele HAKUNA na hiyo pesa ITATOKA WAPI? baada ya miaka mitano huenda Rais ajae akarudi zake huko Pwani
nakubaliana kabisa ni Mji wa kusadikika
Duh Hata miaka mitano haijafika yashatimia.
 
Kuna jamaa yangu alinitahadharisha ya kuwa Dodoma ni pagumu! Sikumuamini. Ila kwa sasa naamini alikuwa sahihi kwa 100%.

Gharama za maisha ziko juu huku mzunguko wa hela ukiwa ni wa kawaida katika maeneo mengi ya mji.

NB: Sihitaji malumbano na yeyote yule! Nimeandika tu kwa hisia zangu mwenyewe.
He he he wasubiri waje.
 
Hakuna unafuu kama mji wa Kigoma, vyakula vyote bei juu tofauti na Kigoma ndizi bei chini, unga bei chini, samaki mgebuka bei chini, maharage bei chini, mafuta mawese bei chee, Dodoma kila kitu bei juu, hadi nyumba za kupanga, mfano wapemba wakija bungeni hupendelea kupanga vyumba vya maeneo ya Chinangali na Chang`ombe.

Vyumba bei rahisi tena wanapanga wapemba wanne chumba kimoja cha shs 10000, DODOMA channel za biashara pia siyo super maana hakuna viwanda kwa hiyo biashara zote za jumla inabidi kuagiza bidhaa toka DSM MFANO CEMENT, MABATI na SUKARI.

Dodoma ni mji mkuu kwa sasa fursa pekee ni viwanja na nyumba za kupanga kuwa bei juu, pia unaweza ukapata bahati nyuma yako ikapangishwa na ofisi za serikali au shirika au NGO yoyote.

Dodoma na wagogo wake ni ngome ya CCM hivyo ni watu wa kuridhika tu hawawezi kudai haki au fursa mfano watu wa Mbeya hili nalo ni tatizo la Dodoma ni watu wa heya chalumba.

Pia Dodoma iliathiriwa na watangulizi wake ambao walichelewa sana kujitambua, mfano Malecela mpaka anastaafu alikuwa hajitambui, pia akina askofu Chiwanga walikuwa ni wabinafsi tu wamechangia sana kuidumaza Dododma pamoja na kuwa makao makuu haiwezi kuchangamka kama DSM.

Kwa ujumla Dodoma haina fursa nyingi na kuwa kimbilio la watu wa makabila yote kama ilivyo DSM, zaidi ya kuwa makao makuu na makao ya Bunge hakuna jipya hivyo mleta mada ukija Dom jipinde kweli kupata fursa.

Kuna wagogo wachache tu waliifanya Dodoma ichangamke lakini bahati mbaya walitangulia mbele za haki nao ni Alexander Kanyamala na Andrea Masikini pia wako watu kama Lod SWAI wamejitahidi kuipaisha Dom kwa kiasi chao lakini hawakupata support ya wawekezaji wengine sababu kuu ikiwa ni ubinafsi wa akina Job Lusinde, Severin Supa, Pancrious Ndejembi na Chizomoche yake n,k

Ni hayo tu mleta mada kama mengine nimesahau utanikumbusha.
Mkuu unawajua vema Hawa wazehe wa chizomoche,mvumi na usandawe
 
Du aisee basi ni tabu kuelekezana..baki na msimamo wako wa kuwekeza Dar. Dangote angekuwa na mawazo kama yako asingeweza kuwekeza Mtwara.
Dar pako saturated sana kibiashara kwa sasa! Inakupasa uwe na mtaji mzito kidogo kuwekeza kitu cha kueleweka kwenye prime areas!
 
Ukuaji wa miji huja automatic, ukiangalia historia ya kuanzia Paris, London, New York sijui hata Bagamoyo kibiashara mji unakua wenyewe na ikiisha unakufa pia. Huwezi kulazimisha kusisimua kisiasa wakati mtu anajua akiwekeza hela kias hicho hicho sehem nyingine atapata zaidi. Ndo uhalisia huo

Mbona kina Fresho na Jambo wamefungua viwanda shinyanga huko bila kusisimuliwa na mtu. Sio mwanza ambapo kuna shughuli tayari ila shinyanga inajikuta tu inahotaji uwekezaji wa namna hiyo

Kiwanda cha maji tu simpo hicho Asante cha Dodoma kimekuja kufunguliwa juzi juzi na bado kinasuasua

Makampuni yenyewe ya Dar niliyoyaona yamekimbilia Dodoma mengi ni ya Mikopo(Imarisha maisha, Lughano nk) na yale ya upimaji/uuzaji viwanja(kina Global Fortune, infinity nk) wote wanalenga wafanyakazi

Hao kina Feza Schools, Shoppers plaza sijui Nakiete wenyewe nao ni vibranch tegemeo hao wafanyakazi tu pia

Labda tuendelee kuangalia over time wananchi wote kwa pamoja watachangamka na kuchangamsha mji kwa ujumla ila kwa sasa nadhani bado kwakweli
Wagogo wavivu hapo hela imeletwa na wafanyakazi wa serikali tu labda na uwepo wa wanafunzi
 
Mkuu kigoma vyakula bei chini mzunguko wa hela hamna.Hii ni pamoja na miji yenye chakula kingi kama Mbeya, Kagera,Moshi ,Njombe Songea, Katavi na Baadhi ya womilaya za moro.
Naunga mkono hoja
 
Biashara/Uwekezaji mara nyingi huangalia nyanja nyingi...mfano tukiichukulia DODOMA kama yenyw ipo center ya mikoa mingi sana....hvyo kwenye uwekezaji wako unaeza amua pia kufanya import en export kulingana na unachotaka kukifanya kwa hii mikoa jiran iliyo zunguka jiji la DODOMA....kuhusu fursa DODOMA inaprobability kuu mbili(nionavyo) either ikupe loss au faida kutokana na wakati ambao umeanza investment yako...mf ukianza kpnd cha vyuo kufungwa inaweza kukuyumbisha kwa namna moja au nyngne ila vyuo vikiwa open na ukalenga soko kutokana na wanafunzi utafanikiwa....kuhusu ukuaji nadhani uko wastani...kutokana na plan za DODOMA ambazo wanasiasa ndo wanazijua zaidi kwamba zitakamilka kwa uhalisia waliousema au laah meanwhile basi ukuaji na fursa utaongezeka sana...mfano SGR..GROUND...DRYPORT na vtu kma ivo.....but ol in ol AKILI KUBWA..KUJITUMA...FOCUS...unaeza toboa popote.......nipo tayari kukosolewa #nawasilisha

Kuhusiana na Mji wenyw kwasasa kiukwei wenye mji ni wavivu ila kwasasa atleast wameanza kuchangamka...kama n kweli unampango wa kukaa DODOMA basi n vyema uje na fursa ambazo hazpo atleast unaeza fika sehm na kutegemea nyakati ani izo za vyuo kufungwa kama n investment ndgo ndgo...kama n investment kubwakubwa nyakati za shughuli za kiserikali(BUNGE na mengneyo)
 
Duh Hata miaka mitano haijafika yashatimia.
yaani ni changa la macho, hata Mama yangu Chamwino hakai, ni vululuvululu tu mibararabara imetandikwa pori kwa pori (km double road la mfugale) bora zingewekezwa kwingine lkn Dom ni hasara inaanza jionesha
 
Back
Top Bottom