Jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha kwa ujumla

Boss elimu yako na vyeti vyako weka kabatini. Mimi naongea kwenye viatu vya mwekezaji sio mwanasiasa au mchumi wa makaratasi. Kwanini niwekeze Dodoma ambako soko lake halifiki hata 10% ya Dar? Kwanini nisiwekeze Dar ambako nina uhakika wa soko kubwa Tanzania nzima?
Akili za CCM hovyo kabisa, hilo soko la DSM impact yake ni kwa mikoa mingapi? Uwekezaji mkubwa ukifanyika DOM huoni kwamba impact yake itagusa zaidi ya 60% ya mikoa iliyosahaulika kwa sera mbovu?
 
Humu kuna wapotoshaji sana mkuu.
Mimi nilihamia Dodoma na nikaanza maisha from the scratch, na nilianza na mtaji wa akili.
Lakini leo Alhandulillah napata rizki, watoto pia wanaenda shule nzuri na mjengo mpya unaelekea kukamilika.
Wewe ni motivational speaker eti?!
 
Ukitaka kupambana na maisha magumu na ya kusaga meno kaishi Dodoma au Dar, kheri Dar unaweza pambana kwenye biashara ila Dodoma kama bunge hakuna na vyuo vikifungwa unaweza kulia na kusaga meno.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Boss elimu yako na vyeti vyako weka kabatini. Mimi naongea kwenye viatu vya mwekezaji sio mwanasiasa au mchumi wa makaratasi. Kwanini niwekeze Dodoma ambako soko lake halifiki hata 10% ya Dar? Kwanini nisiwekeze Dar ambako nina uhakika wa soko kubwa Tanzania nzima?
Mkuu mimi nakukosoa kidogo kwenye hili japo sio mkongwe kivile kwenye uwekezaji.
Sawa unasema huko dar kuna 80% ya soko kwa hyo haifai kuwekeza dodoma.

Kumbuka ukianzisha uwekezaji wa aina yoyote kuna wawekezaji wenzako zaidi ya 10 wanafanya kitu unachoanzisha wewe huoni kwamba sehemu hiyo ni ngumu kutoboa kutokana na ushindani uliopo wa soko.

Kwa mfano ukiwaza kuwekeza kwenye kiwanda cha vinywaji dar kuna Azam,Mo,Sayona,Coca,Pepsi na wamelikamata soko kisawasawa maana yake wewe unapoanzisha unatakiwa upambane na watu kama hawa.

Lakini ukienda Kuanzisha Dodoma una nafasi kubwa ya kufanikiwa kwa sababu bado soko halijakamatwa kama ilivyo dar.
 
Ni mfano tu kusisitiza kuwa uwekezaji ni vizuri ukifanywa kwenye demand. Unaweza kuamua kuwekeza hata pasipo na demand ukawa unasafirisha bidhaa zako kupeleka kwenye demand. Huu ndio mtazamo wangu.
 
Kwa mimi ningekuwa na mtaji mkubwa ningeenda kuwekeza dodoma sasa hivi ndio muda wa kuwekeza.
Lakini ningekaa mguu ndani mguu nje maana wanasiasa ndio wameuboost huo mji kwa sasa ila kumbuka baadae jiwe atamaliza muda wake atakuja Rais mwingine anaweza akashauri makao ya Nchi yarudi Dar kwa hiyo ukitumia nguvu kuwekeza Dodoma utakula hasara
 
Inategemea unataka kuwekeza kwenye nini. Ila kama usemavyo upepo ukigeuka watu wakarudi Dar soko litapungua.
 
Yaani inatakiwa hicho utakachokifanya kisiwe kitu permanent(kisichohamishika) ili mambo yakiharibika unabeba makontena yako unarudi dar bila hasara na stress.
Inategemea unataka kuwekeza kwenye nini. Ila kama usemavyo upepo ukigeuka watu wakarudi Dar soko litapungua.
 
Boss elimu yako na vyeti vyako weka kabatini. Mimi naongea kwenye viatu vya mwekezaji sio mwanasiasa au mchumi wa makaratasi. Kwanini niwekeze Dodoma ambako soko lake halifiki hata 10% ya Dar? Kwanini nisiwekeze Dar ambako nina uhakika wa soko kubwa Tanzania nzima?
Mkuu watu wanadhani kiwanda kinajengwa tu kwa sababu eneo lipo.
 
Pia dodoma maeneo ya bahi kuna chumvi uki wekeza unapiga hela unaeza ukaingia ubia na kiwanda cha chumvi ukawa unawapelekea ama ukafungua kiwanda kidogo kama una hela
Huhuhuhuh chumvi Bahi! Usisahau pia kuwa kuna uranium ya kutosha huko sijui hiyo chumvi ni kwa matumizi gani mkuu.
 
Kama kwenye katiba imetambua hivyo hapo sawa.
Ila kama ni kanuni tu au mtu alikataza kwa mdomo tu haitasaidia.
Saivi kurudi Dar ni ngumu si wameshapitisha sheria ya kuzuia serikali isihame toka dodoma kwenda mahali popote
 
Back
Top Bottom