Jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha kwa ujumla

Humu kuna wapotoshaji sana mkuu.
Mimi nilihamia Dodoma, na nikaanza maisha from the scratch, na nilianza na mtaji wa akili.
Lakini leo Alhandulillah napata rizki, watoto pia wanaenda shule nzuri na mjengo mpya unaelekea kukamilika...
Tatizo la Dodoma ni kuwa ipo more selective sana kwenye biashara
 
Humu kuna wapotoshaji sana mkuu.
Mimi nilihamia Dodoma, na nikaanza maisha from the scratch, na nilianza na mtaji wa akili.
Lakini leo Alhandulillah napata rizki, watoto pia wanaenda shule nzuri na mjengo mpya unaelekea kukamilika...
Kitendo tu cha serikali kuhamia Dodoma lazima kiwe na positive impact kwenye biashara na uchumi kwa jumla. Nawafahamu watu kadhaa wenye biashara Dar wamefungua branches Dodoma na wananishauri na mimi nifungue branch huko ila basi tu akili yangu haijakaa sawa.
 
Ushimen vipi biashara ya recreation hapo Dodoma.

Tunaweza kupata ten acres za kutengeneza recreation village ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu...
Mimi naona Dodoma ukiwekeza chochote kwa kuzingatia mahitaji ya waliokuzunguka, lazima utapata tu.
Na biashara ya recreation inalipa pia, kwa sababu bado hazijakua nyingi hapa Dodoma.
 
Kitendo tu cha serikali kuhamia Dodoma lazima kiwe na positive impact kwenye biashara na uchumi kwa jumla. Nawafahamu watu kadhaa wenye biashara Dar wamefungua branches Dodoma na wananishauri na mimi nifungue branch huko ila basi tu akili yangu haijakaa sawa.
Hapa nimeona mchangiaji wa mwanzo kabisa amepotosha pakubwa, tena akaingiza vocal za kisiasa kwamba (Dodoma na wagogo ni ng'ombe wa sisiem).
Yamkini amesahau kwamba Dodoma ya leo imepata wahamiaji wengi na makabila tofauti toka kila kona ya Tanzania.
 
Bahati mbaya muwekezaji anaangalia kwenye soko na ndio maana viwanda vimejaa Dar.
Umesoma uchumi ama unasema tu. Mimi nakuambia nipo Dodoma. Haya mawazo ya kuweka viwanda hapa sio tu kutakuza uchumi bali kutaleta uhalisia wa jiji. Mfano unajua miaka ya nyuma kila mkoa ulikuwa na viwanda ambavyo vilisaidia kipato kwa wakazi.

Fuatilia mkoa wa Tanga na historia yake ya Viwanda.. ukishaweka viwanda na kuongeza uzalishaji Dodoma inaweza kusave mikoa kama Singida, Tabora na Shinyanga. Pia itaweza kupunguza msongamano katika jiji la Dar es salaam. Huu mpango wa Chinese Mall ulikuwa ujengwe hapa Dodoma lakini viongozi wamelala.

Sijui unajua kama hapa Dodoma kulikuwa na kiwanda cha kutengeneza vyombo vya udongo pamoja na vigae vya kuezekea nyumba. Tusijadili kwa ushabiki wa Dar. Dodoma ikiwezeshwa hasa hakuna kilio.cha uchumi. Bila hivyo maisha ya hapa ni magumu sana.
 
Umesoma uchumi ama unasema tu. Mimi nakuambia nipo Dodoma. Haya mawazo ya kuweka viwanda hapa sio tu kutakuza uchumi bali kutaleta uhalisia wa jiji. Mfano unajua miaka ya nyuma kila mkoa ulikuwa na viwanda ambavyo vilisaidia kipato kwa wakazi. Fuatilia mkoa wa Tanga na historia yake ya Viwanda.. ukishaweka viwanda na kuongeza uzalishaji Dodoma inaweza kusave mikoa kama Singida, Tabora na Shinyanga. Pia itaweza kupunguza msongamano katika jiji la Dar es salaam. Huu mpango wa Chinese Mall ulikuwa ujengwe hapa Dodoma lakini viongozi wamelala. Sijui unajua kama hapa Dodoma kulikuwa na kiwanda cha kutengenrza vyombo vya udongo pamoja na vigae vya kuezekea nyumba. Tusijadili kwa ushabiki wa Dar. Dodoma ikiwezeshwa hasa hakuna kilio.cha uchumi. Bila hivyo maisha ya hapa ni magumu sana.
Boss elimu yako na vyeti vyako weka kabatini. Mimi naongea kwenye viatu vya mwekezaji sio mwanasiasa au mchumi wa makaratasi. Kwanini niwekeze Dodoma ambako soko lake halifiki hata 10% ya Dar? Kwanini nisiwekeze Dar ambako nina uhakika wa soko kubwa Tanzania nzima?
 
Hapa nimeona mchangiaji wa mwanzo kabisa amepotosha pakubwa, tena akaingiza vocal za kisiasa kwamba (Dodoma na wagogo ni ng'ombe wa sisiem).
Yamkini amesahau kwamba Dodoma ya leo imepata wahamuaji wengi na makabila tofauti toka kilakona ya TZ
Mkuu 😄,Kuna watu humu wanawaza siasa tu, yaani siasa zimewachanganya kupita kiasi, kuna wengine wamefeli maisha kwa uzembe wao na sehemu pekee ya kuwafanya wajifariji na kujiona wako sawa ni kulaumu tu kila kitu.

NB: Nikijaribu kufikiria hii mada ya fursa za kibiashara DODOMA, imewezaje kuingiliana na swala la wagogo kuwa ng'ombe wa CCM , naishia kucheka tu.
 
Boss elimu yako na vyeti vyako weka kabatini. Mimi naongea kwenye viatu vya mwekezaji sio mwanasiasa au mchumi wa makaratasi. Kwanini niwekeze Dodoma ambako soko lake halifiki hata 10% ya Dar? Kwanini nisiwekeze Dar ambako nina uhakika wa soko kubwa Tanzania nzima?
Du aisee basi ni tabu kuelekezana..baki na msimamo wako wa kuwekeza Dar. Dangote angekuwa na mawazo kama yako asingeweza kuwekeza Mtwara.
 
Hakuna unafuu kama mji wa Kigoma, vyakula vyote bei juu tofauti na kigoma ndizi bei chini , unga bei chini, samaki mgeb uka bei chini , maharage bei chini, mafuta mawese bei chee, Dodoma kila kitu bei juu, hadi nyumba za kupanga, mfano wapemba wakija bungeni hupendelea kupanga vyumba vya maeeneo ya chinangali na chang`ombe
vyumba bei rahisi tena wanapanga wapemba wanne chumba kimoja cha shs 10000, DODOMA channel za biashara pia siyo super maana hakuna viwanda kwa hiyo biashara zote za jumla inabidi kuagiza bidhaa toka DSM MFANO CEMENT , MABATI na SUKARI.

Dodoma ni mji mkuu kwa sasa fursa pekee ni viwanja na nyumba za kupanga kuwa bei ju, pia unaweza ukapata bahati nyuma yako ikapangishwa na ofisi za serikali au shirika au NGO yoyote.

Dodoma na wagogo wake ni ngome ya CCM hivyo ni watu wa kuridhika tu hawawezi kudai haki au fursa mfano watu wa Mbeya hili nalo ni tatizo la Dodom ni watu wA heya chalumba.

Pia Dodoma iliathiriwa na watangulizi wake ambao walichelewa sana kujitambua, mfano Malacela mpaka anastaafu alikuwa hajitambui, pia akina askofu Chiwanga walikuwa ni wabinafusi tu wamechangia sana kuidumaza Dododma pamaja na kuwa makao makuu haiwezi kuchangamuka kama DSM

Kwa ujumla Dodoma haina fursa nyingi na kuwa kimbilio la watu wa makabila yote kama ilivyo DSM, zaidi ya kuwa makao makuu na makao ya Bunge hakuna jipya hivyo mleta mada ukija Dom jipinde kweli kupata fursa.

Kuna wagogo wachache tu waliifanya Dodoma ichangamke lakini bahati mbaya walitangulia mbele za haki nao ni Alexander Kanyamala na Andrea Masikini pia wako watu kama Lod SWAI wamejitahidi kuipaisha Dom kwa kiasi cao lakini hawakupata support ya wawekezaji wengine sababu kuu ikiwa ni ubnasi wa akina Job Lusinde, severin Supa, Pancrious Ndejembi na Chizomoche yake n,k

Ni hayo tu mleta mada kama mengine nimesahau utanikumbusha.
umeesema yooooteeeee hakika umemaliza. Dodoma inapaishwa kwa nguvu za kisiasa ila hakuna kitu. kwanza maji yana chumvi ukioga unakuta weupe weupe mwilini.In short bado sijapakubali dodoma.

Pia nmeona umezungumzia suala la mafuta ya mawese,napenda kutumia mafta haya maana hayana madhara kama haya mengne. vp naweza kuyapata? npo Dar.
 
Hakuna unafuu kama mji wa Kigoma, vyakula vyote bei juu tofauti na kigoma ndizi bei chini , unga bei chini, samaki mgeb uka bei chini , maharage bei chini, mafuta mawese bei chee, Dodoma kila kitu bei juu, hadi nyumba za kupanga, mfano wapemba wakija bungeni hupendelea kupanga vyumba vya maeeneo ya chinangali na chang`ombe
vyumba bei rahisi tena wanapanga wapemba wanne chumba kimoja cha shs 10000, DODOMA channel za biashara pia siyo super maana hakuna viwanda kwa hiyo biashara zote za jumla inabidi kuagiza bidhaa toka DSM MFANO CEMENT , MABATI na SUKARI.

Dodoma ni mji mkuu kwa sasa fursa pekee ni viwanja na nyumba za kupanga kuwa bei ju, pia unaweza ukapata bahati nyuma yako ikapangishwa na ofisi za serikali au shirika au NGO yoyote.

Dodoma na wagogo wake ni ngome ya CCM hivyo ni watu wa kuridhika tu hawawezi kudai haki au fursa mfano watu wa Mbeya hili nalo ni tatizo la Dodom ni watu wA heya chalumba.

Pia Dodoma iliathiriwa na watangulizi wake ambao walichelewa sana kujitambua, mfano Malacela mpaka anastaafu alikuwa hajitambui, pia akina askofu Chiwanga walikuwa ni wabinafusi tu wamechangia sana kuidumaza Dododma pamaja na kuwa makao makuu haiwezi kuchangamuka kama DSM

Kwa ujumla Dodoma haina fursa nyingi na kuwa kimbilio la watu wa makabila yote kama ilivyo DSM, zaidi ya kuwa makao makuu na makao ya Bunge hakuna jipya hivyo mleta mada ukija Dom jipinde kweli kupata fursa.

Kuna wagogo wachache tu waliifanya Dodoma ichangamke lakini bahati mbaya walitangulia mbele za haki nao ni Alexander Kanyamala na Andrea Masikini pia wako watu kama Lod SWAI wamejitahidi kuipaisha Dom kwa kiasi cao lakini hawakupata support ya wawekezaji wengine sababu kuu ikiwa ni ubnasi wa akina Job Lusinde, severin Supa, Pancrious Ndejembi na Chizomoche yake n,k

Ni hayo tu mleta mada kama mengine nimesahau utanikumbusha.
Nakazia
 
Back
Top Bottom