Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

Umeme umesharudishwa dsm. Acheni kuendeleza chuki zisizo na msingi. October ni CCM mbele kwa mbele!!
 
Kipindi kama hiki,umeme ni shida je uchaguzi ukishapita itakuaje?there is no way ukamconvince mtu mwenye uelewa kamili kupigia kura ccm!maeneo mengi ya Morogoro hakuna umeme toka jana mpaka sasa
 
kama umeme wa gas ndio upo hivi!!! Ni bora waturudishie umeme wetu wa zamani. .
 
Umeme umesharudishwa dsm. Acheni kuendeleza chuki zisizo na msingi. October ni CCM mbele kwa mbele!!

Kama umerudi kwako sawa ila mimi nipo Mabibo tangu saa kumi na moja alfajiri hakuna umeme.Hakuna chuki mtu kueleza kilichopo.
 
Kama umerudi kwako sawa ila mimi nipo Mabibo tangu saa kumi na moja alfajiri hakuna umeme.Hakuna chuki mtu kueleza kilichopo.
Sijakataa.....umeme umekatika kwa baadhi ya maeneo, lakini watu hapa wanageneralize. Kumbuka pia aliyesababisha yote haya ni mzee wa Monduli!!
 
Sijakataa.....umeme umekatika kwa baadhi ya maeneo, lakini watu hapa wanageneralize. Kumbuka pia aliyesababisha yote haya ni mzee wa Monduli!!

Tuondoleee siasa hapa waziri wenu si alisema mgao umeisha au lowasa pia kachukua gas
 
Simiyu walikata Jana SAA 11 jioni hadi sasa hakunadalili yakurudi
 
Kura za hasira zaja.... kwa watu wanao tumia umeme wote wataiwajibisha ccm kwa hili... hili linatosha kuto wachagua hawa jamaa... EL ikulu yako mzee wetu...
 
Kichwa cha habari kinajieleza!

Serikali ya ccm imechoka na kuchakaa mwili, roho na nafsi yake!

Hiki ni kipindi muhimu sana cha kubembeleza kura, lakini bado imeshindwa kuhimili uchovu na uchakavu wake!

Matangazo makubwa makubwa ya dhihaka na ya gharama kubwa kubwa yaliyoandaliwa dhidi ya Lowassa kupitia TBCccm na StarTVccm yatatazamwaje bila umeme?

Serikali imechoka na inahitaji kupumzishwa kwa amani na upendo!

Iombe msamaha kwa wananchi wake kwa matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa!

Kuchagua tena serikali ya CCM ni sawa na kuchagua gharama kubwa za maisha, kuporomoka kwa uchumi kila uchwao!

CCM imechoka na inajua hili! Kwamba eti inaingiza gesi kwenye mitambo yake ni danganya toto!

Ukweli ni kuwa mgao wa escrow hasa ule uliobebwa na masantarusi kupitia stanbic ndio iliyofikisha shirika hapa lilipo! Kile kipande cha rugemalila kilikuwa hela ya kunywa maji!

Kwa hali ya maisha tuliyonayo sasa kwa upande tu wa mgao wa umeme inatosha kusema mtu yeyote anaeshabikia CCM ama ana matatizo sugu ya akili ama amelaaniwa!

Halafu eti Dr Slaa ama Mzee Mwanakijiji wanatuponda wapenda mabadiliko! Hakika nimewadharau sana!

Watu wapo marekani huko halafu wanabembea kwenye mapikipiki makubwa akina akina Steven Seagar halafu anatuambia sisi tusio na umeme tuwachague CCM!

Mnatudharau sana! Sijui mnatuonaje vile!
Lowassa>>Rostam >>Richmond >>Dowans>>>Symbian. .....Ni vigumu kumtenganisha Lowassa na hii adha ya umeme, anaujua mchezo mzima ila ndio hivyo tena, wajinga ndio waliwao.
 
Lowassa>>Rostam >>Richmond >>Dowans>>>Symbian. .....Ni vigumu kumtenganisha Lowassa na hii adha ya umeme, anaujua mchezo mzima ila ndio hivyo tena, wajinga ndio waliwao.

aliyemteua lowasa kuwa waziri mkuu ndo muhusika zaidi...
 
Back
Top Bottom