Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

😳😳😳..embu fafanua zaidi analipwaje?

Analipwa kupitia kampuni yake ya Richmond .serikali ilisitisha mkataba jamaa wakaenda mahakamani wakashinda kesi sasa hivi wanalipwa fidia ya hasara walioipata Richmond ndio wanagawana hizo pesa.
 
Mijitu mipuuzi kama wewe ningekuwa karibu na wewe ningekupiga jambia la mk**d*ni ili iwe fundisho...

Watu tunalala na njaa na biashara zetu tumefunga kwa sababu ya umeme wewe unaleta utani. Huyo Magufuli wako anasema ataleta viwanda lakini hajawahi hata kutamka neno umeme kwenye kampeni zake sijui hivyo viwanda atawasha kwa kuni...
Ndio maana mnaitwa malofa.mimi nakueleza watu wanaohujumu shirika unajifanya una hasira.---- kweli.
 
Yaani walikata umeme saa nane usiku wameleta saa moja
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)

TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWENYE GRIDI YA TAIFA OKTOBA 3, 2015

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wote walioungwa kwenye gridi ya taifa kuwa leo Oktoba 3, 2015 majira ya saa 11 kasoro alfajiri kulitokea hitilafu-kwenye njia kuu ya kusafirisha umeme kati ya Hale na Kiyungi na kusababisha mikoa yote iliyoungwa kwenye gridi kukosa umeme.-

Umeme-ulianza kurejeshwa-majira ya saa moja asubuhi baada ya kuondoa hitilafu hiyo.-

Hata hivyo baadhi ya maeneo yataendelea kukosa umeme kwa sababu ya upungufu katika uzalishaji wa umeme hasa katika vituo vya maji.

Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.-

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao

Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana. Maji tena na sio gas, hiyo gas walikuwa wanajitapa nayo iko wapi sasa. Oct 25 wataelewa vizuri
 
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana. Maji tena na sio gas, hiyo gas walikuwa wanajitapa nayo iko wapi sasa. Oct 25 wataelewa vizuri

Yaani nimesikia nimechoka kabisa, wanasiasa wangejitoa kuwa wasemaji wa TANESCO tungefika ila wakija kwetu wanatupa hope wakati TANESCO wangetupa facts
 
Wamesema mgao hauepukiki kutokana na mabwawa kukauka maji na ukame uliyoikuta tz hii wakat mvua kidogo tu mafuriko
 
Back
Top Bottom