Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

Kichwa cha habari kinajieleza!

Serikali ya ccm imechoka na kuchakaa mwili, roho na nafsi yake!

Hiki ni kipindi muhimu sana cha kubembeleza kura, lakini bado imeshindwa kuhimili uchovu na uchakavu wake!

Matangazo makubwa makubwa ya dhihaka na ya gharama kubwa kubwa yaliyoandaliwa dhidi ya Lowassa kupitia TBCccm na StarTVccm yatatazamwaje bila umeme?

Serikali imechoka na inahitaji kupumzishwa kwa amani na upendo!

Iombe msamaha kwa wananchi wake kwa matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa!

Kuchagua tena serikali ya CCM ni sawa na kuchagua gharama kubwa za maisha, kuporomoka kwa uchumi kila uchwao!

CCM imechoka na inajua hili! Kwamba eti inaingiza gesi kwenye mitambo yake ni danganya toto!

Ukweli ni kuwa mgao wa escrow hasa ule uliobebwa na masantarusi kupitia stanbic ndio iliyofikisha shirika hapa lilipo! Kile kipande cha rugemalila kilikuwa hela ya kunywa maji!

Kwa hali ya maisha tuliyonayo sasa kwa upande tu wa mgao wa umeme inatosha kusema mtu yeyote anaeshabikia CCM ama ana matatizo sugu ya akili ama amelaaniwa!

Halafu eti Dr Slaa ama Mzee Mwanakijiji wanatuponda wapenda mabadiliko! Hakika nimewadharau sana!

Watu wapo marekani huko halafu wanabembea kwenye mapikipiki makubwa akina akina Steven Seagar halafu anatuambia sisi tusio na umeme tuwachague CCM!

Mnatudharau sana! Sijui mnatuonaje vile![/ huku ARUSHA umeme wamesha SAA tano Usiku wamekata saa kumi alfajiri.
 
Mwaka wa balaa ni balaa tu.Hii CCM,haichomoi.Hakika imekula kwao🙊🙊🙊🙊
 
da wazo walkata ucku saa kumi.Wakirudisha hawa wafyatua matofali hawalali ni makelele mpaka kunakucha.
 
ht huku pande za mkoa wa mara wamekata,tutaendelea kuumia kwa kukosa maarifa
 
Sasa ule mtambo wa gesi waliosema unaanza kufanya kazi last month umepata kikohozi? Yaani nchi hii hata kama Rais yupo au hayupo inajiendea tu. Sasa kuna haja gani ya CCM kusimamisha mgombea urais?
 
Kuna mdau mmoja aliuliza Viwanda vitakavyo zinduliwa na Magufuli vitaendeshwa na Power bank au umeme huu wa Tanesco?
 
Arusha mtaa nilipo wanakata saa 11 alfajiri mpaka saa 2 usiku
 
wakate tu ila tar 25 mwezi huu wakikata umeme,wajiandae kununua mitambo mipya
 
Teteteeee.....watanzania Dar mnaojeshwa hasira ya magamba kuikataaa ccm....
 
Wamekata saa kumi alfajiri na isingizi ukakata hapo hapo nkaanza waza mengi sana ndani ya nchi yangu
 
Duuuuuuuhh yani wamekata dakika hii hii!!! Mweeee ndo mpaka usiku hapa..
 
Arusha hatuna umeme tangu mwezi wa saba mwaka huu.

Na hali imezidi kuwa mbaya. Biashara yangu nimetumia jenereta mpaka akili imekaa sawa. Huu mwaka sina faida walahi!!

Hatua ni/tulizochukua:
Nina wadau zaidi ya 200 ninaowagavia bidhaa. Wote tumechangia mabadiliko kwa pesa mingi cash. Wikiendi ilopita tulikua na Lema kuhimiza middle class kupiga kura. Sasa naendeleza.... "Ongea na Home (ukoo) Lowassa awe Rais".

Hakuna kulalamika tena. Tupeane hasira kwa kutaja maovu yote na LET'S GO VOTE CCMscrow OUT
 
Arusha wamekata saa tisa na nusu usiku, lne muhimu ambazo huwa hazina mgawo nazo wamekata
 
Lowassa>>Rostam >>Richmond >>Dowans>>>Symbian. .....Ni vigumu kumtenganisha Lowassa na hii adha ya umeme, anaujua mchezo mzima ila ndio hivyo tena, wajinga ndio waliwao.
Mkuu endelea, Mechmar, I PTL, ESSCROW. Woote selekali ya ccm inawaangalia tuuuu, muda wa mikataba unaisha selekali ina waongeza tena!!!!!.... Think...
 
Back
Top Bottom