Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

Walirudisha saa nane usiku ..alfajiri wameshakata tena ...hii nchi hii!
 
Hapa duniani hamna nchi raisi kuiongoza kama tanzania,yani kiongozi hupati pressure yani unakula bata kama unavotaka,
 
Hata huku singida wameuchukua saa mingi, kuna wakat najiuliza, hivi hio gesi inatumia umeme au inazalisha umeme, manake tangu waseme wanaunganisha mitambo ya umeme wa gesi kwenye grid ya taifa hali imekua mbaya zaid, shime watz tusiichague ccm watatumalizia kdogo kilichobaki.
 
Walikata Tz nzima nini maana hata huku kwa Wanyalukolo wamekata sijui saa 10 ile ila umerudi kama dakika 10 hivi zilizopita

Huenda...
Dodoma (Kongwa) umekatwa tangu saa 10 alfajir, haujarudishwa mpk sasa. Sijui tatizo ni nini, TANESCO nao kimyaaaa hawasemi chochote!!!
 
Katika Hali kama hii bado kuna vichwa maji wanaoishabikia serikali ya CCM.Halafu wao ndio wa kwanza kulalamika kuhusu umeme mitaani!
 
Halafu mnasema serikali ya magufuli ni ya viwanda, vitaendeshwa na nishati gani wakati umeme ni wa manati,
 
wanawaharibia sana chama cha dadyy daaahh!si ajabu kuona mtoto wa mfalme akipiga simu kumkoromea meneja wa tanesco si unakua tena like father Iike his soon

1443842878339.jpg hana habari anakula bhata uarabuni
 
jk nchi imemshinda. si ccm. kumpa jk tulibugi. kinana walipiga sana kelele kuhusu mawaziri mizigo. jk hakuwasikiliza. now yupo USA hajui kinachoendelea. hivi unasafirije wakati nchi yako ipo taabani. huwa simuelewi Jk. muda wako ufike uondoke. maana ni machungu tu unatupa. tumekuchoka.
 
Mapemaaa Shaaaaaaaa, nina kesi nyingi sana za kutokushinda home week end, nime download movie nyingi tuu siku tano zote ili nishinde home kupunvuza kesi, sasa naomba mamsapu tusameheane tuu hamna namna Tanesco washafanya yao sakumi usiku.

Hii inji bhana, balaaa tupu.
 
Hili ni janga. Simbachawene uko wapi? si ulisema tusimame dk 1 nchi nzima tupiga vigelegele
 
subiri nitafute kichinjio nilipokiweka nikipanguse vumbi kidogo
 
Back
Top Bottom