Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

Jiji DSM umeme umeshakatika tayari mapema hii!

Hata huku pia wameshakata. Kwa hili la umeme pekee watupe sababu kwa nini tuwape kura
 
Yaani., au doz za ukawa chungu kumeza huku tabata walikata jana sa 12 asubuh wakarudisha sa nane usiku nadamkia leo nianze siku yangu fresh na habar ya lowasa ya jana babat kumbe washakata sa. Nyingii..wasifanye ivo bana sijamic tu sera za hon lowasa ata pushap za magufuli pia
 
Zile siku 100 za kwanza za edward lowassa ikulu,kutakua na major overhaul kwenye hili shirika la tanesco,kuanzia board mpaka takataka zote,naambiwa hapa eti na TBC pia
 
wabarakatu kuleta Richmond ya pili labda ili wapige Mara ya mwishomwisho si unakua kawizara husika ndo kanakotoaga mitaji mikubwa ya watu kakutodha we ESCROW na RICHMOND tu imepigwa kama trillion unafanya mchezo.ila wanauzi haswaa maana kausingiz ka j.mos mapumziko ndo tulitaka kukamalizia na kwa joto la dsm daaaah ccm tuoneeni huruma basiiii
 
Wale wapuuzi wa lumumba na masaki naona Wapo kimya kabisa
 
wanawaharibia sana chama cha dadyy daaahh!si ajabu kuona mtoto wa mfalme akipiga simu kumkoromea meneja wa tanesco si unakua tena like father Iike his soon
 
Back
Top Bottom