mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Unaanza kutukana wakina mama na kinadada wamekufanyia nini kijana?Matusi yako wapi hapa? Si bure naona kama si mimba changa basi uko kwenye siku zako
Kwani nawe si ulitokana na mimba na pia wakina mama na kina dada kupata hedhi ni mipango ya MUNGU so lengo lako nini hasa?