kizibo1
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 1,187
- 766
Mmmh kuna wakati kuna watu huwa nawaona humu sidhani kama ni binadamu halisi au ni majini.... Siwaamini sana na huwa nawakwepaNdio ilivyo Mkuu Kizibo,maana kuna watu humu wataalamu,yaani ukiwatibua basi MAZINGAOMBWE yanakujia.