Jifunze ushirikina hapa

Jifunze ushirikina hapa

View attachment 323858
View attachment 323856

Inaweza kuwa mshangao kwa wengi kuwa sasa nataka kufundisha uchawi live.. La hasha! Hili sio lengo langu kuu. Lengo langu hapa ni;

1. Kuondoa yale mawazo potofu na mgando kuwa unapozungumzia ushirikina basi wewe hujasoma hujui na unaamini vitu ambavyo havipo.

2. Kuondoa dhana ya kuwa uchawi uko Africa na waafrika ndio waabudu uchawi wakubwa.

3.Uchawi na ushirikina ni aina ya sayansi mbinu mahesabu na viashiria vya mambo ya kawaida kabisa.

Wakati sisi tukiaminishwa na wazungu kuwa uchawi ni kitu kibaya na cha kishamba kabisa, wao wameendelea na utafiti juu ya uchawi huku kukiwa na maandiko makongamano vyuo na hata miradi mbalimbali ya uchawi na ushirikina.

Sasa hivi ukihitaji kujifunza uchawi huhitaji kwenda mbali bali kwenye simu yako tayari kuna apps nyingi tu zinazofundisha hayo mambo.

View attachment 323860

Kama u mpenzi wa kujifunza mambo mapya na udadisi wa yale yasiyojulikana na wengine, waweza ingia huko na kupata mengi, LAKINI jifunze kwa nia ya kufahamu na si kutenda.

Fahamu kila utendalo lakini usitende kila unalofahamu..

Mkuu ushindwe katika Jina la Bwana Yesu.
Ibilisi huwa ana lugha tamu ya kuteka watu kwenda motoni.
 
Mkuu ushindwe katika Jina la Bwana Yesu.
Ibilisi huwa ana lugha tamu ya kuteka watu kwenda motoni.
Aamen...! Ila maandiko hayakuweka ukomo wa kutafuta elimu ya maarifa....am sure baada ya kumaliza kusoma umeongeza ufahamu
 
Kiukweli ikithibitika beyond daught kwamba ndugu yangu ni mchawi/mganga analoga watu naweza toa go ahead auawe....

Nawachukia sana wachawi na waganga wa kienyeji wanaofanyia wenzao ushirikina
 
Kiukweli ikithibitika beyond daught kwamba ndugu yangu ni mchawi/mganga analoga watu naweza toa go ahead auawe....

Nawachukia sana wachawi na waganga wa kienyeji wanaofanyia wenzao ushirikina
Usifanye hivyo utachuma laana na visasi..Mwombee kwa Mungu aache njia zake mbaya
 
Hivi unaweza kuwa mchawi pasipo kuua watu,kufukua makuburi,kula nyama za watu,kurogs watu,kula nyama za watu,hivi lazima ukiwa mchawi ufanye hivi vitu?
Ndio in most cases iko hivyo! Kwa kuwa hiyo ndio misingi yake
 
Aamen...! Ila maandiko hayakuweka ukomo wa kutafuta elimu ya maarifa....am sure baada ya kumaliza kusoma umeongeza ufahamu
Elimu inayokupeleka kuzimu haina tija!

Ibilisi ni mfalme wa uongo, na akisha kupata ukaingia anga zake ndio ukweli na majuto yanadhihiri.
YESU tu ndio njia na ukweli maishani.
Nimeona maishani, mtu kwa hiari akijiingiza ushirikina na mara nyingi kwa ajili ya maisha mazuri, pesa n.k.
Lakini baada ya kuingia mkataba na Ibilisi yanaanza masharti, kutoa kafara ndugu na jamaa.

Mtu huyo anaishia kuishi maisha yenye masononeko makali moyoni, pamoja na pesa yake.

Mwisho wa siku hao maajenti wa Shetani huja kumchukua yeye moja kwa moja.

Mfano madhubuti ni jamaa mmoja tajiri mmiliki wa mabasi mengi sana ya Widambe aliyuwawa kiutatanishi na ajali pale Mnazi Mmoja akisukuma mkokoteni.

Mkuu hakuna kama Yesu ili uishi maisha yasiyo na mawaa!
Amini uokoke leo.
 
Aamen asante sana kwa ushuhuda mzuri .....kufahmu kitu ni tofauti kabisa na kuamua kukipractice..hebu soma hitimisho langu
Between mimi si mchawi wala wakala wa kuzimu I am a God fearing person na nimeokoka japo unaweza Ku question wokovu wangu lakini ukweli ninao mimi
 
Sina lengo la kubishana na wewe na wala siitaji respond yako.
Lengo langu ni wewe kuacha tabia zako za kufundisha jamii uchawi na ulozi.
Umeleta mada sehem wazi nami nakufundishia sehem wazi, privacy ya nini hapa?
Wewe ni mjinga na usipojiangalia utadumaa na hizo tabia zako chafu.

Hatujui kesho utaleta mada gani na tabia yako kama chizi.
Huo ni utumwa unaofanya, je utakuwa mtumwa hadi lini?
Soma hata maandiko ya vitabu vitakatifu vinavyosema
"na alaaniwe mtu yule anayemfanya binadamu mwenzie kama kinga yake"
ndugu mbona unamkomalia mshikaji amekutibulia issue zako? sisi wengine tunapenda kujifunza hii elimu tuache we sepa zako
 
Uchawi au ushirikina huwafanya watu wajitenge na Mungu wao wa kweli na kuwadhuru wengine,pia uchawi huwafanya watu maskini sana kwa sabab muda mwingi nadhani wanautumia kwenye mambo ya shiriki.Pamoja na hayo nahsi pia uchawi umekuwepo chini ya jua kama roho zilizoasi kwa mapenzi ya Mungu Mwenyezi Muumba Wa Mbingu na Nchi,hapa namaanisha kuwa Mungu ndy aliyetaka uchawi uwepo ili wanadam waweze kufaham giza na nuru na kufuata njia wanazozipenda wenyewe kwa utashi wao na faham zao.Kumbuka Mungu hashindwi kwa lolote hata akitaka sasa hivi pasiwepo na uchawi Duniani kote anaweza,pia ukisoma vitabu vtakatif (Holly Quaran and Holly Bible) kunasehem Mungu alimfanya Faraoh kuwa na moyo mgumu so,acheni kila mtu ajifunze na ku-practice chochote anachotaka
 
Aamen asante sana kwa ushuhuda mzuri .....kufahmu kitu ni tofauti kabisa na kuamua kukipractice..hebu soma hitimisho langu
Between mimi si mchawi wala wakala wa kuzimu I am a God fearing person na nimeokoka japo unaweza Ku question wokovu wangu lakini ukweli ninao mimi
Asante mkuu.
Kumkiri Yesu ndio mwanzo mwema na hekima ipitayo mambo yote.
Na wala hatusemi sisi au mimi ni mtakatifu, ni neema tu kuwa tupo tupo.
Mungu awezaye yote anaturehemia tu.
 
View attachment 323858
View attachment 323856

Inaweza kuwa mshangao kwa wengi kuwa sasa nataka kufundisha uchawi live.. La hasha! Hili sio lengo langu kuu. Lengo langu hapa ni;

1. Kuondoa yale mawazo potofu na mgando kuwa unapozungumzia ushirikina basi wewe hujasoma hujui na unaamini vitu ambavyo havipo.

2. Kuondoa dhana ya kuwa uchawi uko Africa na waafrika ndio waabudu uchawi wakubwa.

3.Uchawi na ushirikina ni aina ya sayansi mbinu mahesabu na viashiria vya mambo ya kawaida kabisa.

Wakati sisi tukiaminishwa na wazungu kuwa uchawi ni kitu kibaya na cha kishamba kabisa, wao wameendelea na utafiti juu ya uchawi huku kukiwa na maandiko makongamano vyuo na hata miradi mbalimbali ya uchawi na ushirikina.

Sasa hivi ukihitaji kujifunza uchawi huhitaji kwenda mbali bali kwenye simu yako tayari kuna apps nyingi tu zinazofundisha hayo mambo.

View attachment 323860

Kama u mpenzi wa kujifunza mambo mapya na udadisi wa yale yasiyojulikana na wengine, waweza ingia huko na kupata mengi, LAKINI jifunze kwa nia ya kufahamu na si kutenda.

Fahamu kila utendalo lakini usitende kila unalofahamu..

Utakapo amua kujifunza na kuwa mshirikina, inamaana wewe umeshajiweka mbali kabisa na masuala yote ya kumuamini Mungu muumba.

Kwa maana kwenye huo ulimwengu, utakutana na imani mpya, kwa mfano, ili ufanikiwe ktk huo uchawi, shart kwanza umkane Mungu na umtii jinni ambaye baada ya kumtii (yaani kukubari kile akwambiacho cha kumkufuru Mungu wako) ndipo nawe utakuwa na uwezo wa kumuamrisha akufanyie chochote upendacho.

Kwa hyo nitoe angalizo kwa ninyi mnaopenda kujifunza na kujaribu vitu ambavyo kwenu faida yake ni ndogo kuliko khasara.

Labda niwakumbushe tu, ni kwamba iblisi aliapa kuja kupoteza kundi kubwa la wanadamu wenye imani dhaifu ili akaingie nao motoni
Hivyo angalieni msiwe miongoni mwa hao wafuasi wa iblisi

fdd1e560c6c20f93c9764ffa78fa357f.jpg

0538a2ed0ac9b11c6ff50c493bb348fe.jpg
 
Back
Top Bottom