Jifunze ushirikina hapa

Jifunze ushirikina hapa

Kazi ipo mpaka unatia huruma ujue wewe... Nina kanuni moja huwa sipotezi muda mwingi kwenye ubishi usio na tija...usitumie ID bandia zaidi ya moja kujifanya unajua kutoa ushauri sana..jitokeze wewe katika uhalisia wako kama una ubavu ...nawaheshimu sana watu wenye ID bandia kwa ajili ya privacy nk lakini sio kwa ujinga kama wako..
Baada ya post hii unaweza kuandika utakacho lakini hutapata response yangu..
Sina lengo la kubishana na wewe na wala siitaji respond yako.
Lengo langu ni wewe kuacha tabia zako za kufundisha jamii uchawi na ulozi.
Umeleta mada sehem wazi nami nakufundishia sehem wazi, privacy ya nini hapa?
Wewe ni mjinga na usipojiangalia utadumaa na hizo tabia zako chafu.

Hatujui kesho utaleta mada gani na tabia yako kama chizi.
Huo ni utumwa unaofanya, je utakuwa mtumwa hadi lini?
Soma hata maandiko ya vitabu vitakatifu vinavyosema
"na alaaniwe mtu yule anayemfanya binadamu mwenzie kama kinga yake"
 
Acha uoga ww sio lazima ufanye anachofundisha,,,acha tupate maarifa ya mambo ya kijamii vitu vipo vinatuzunguka
 
Hamna kitu kwa huyo kiumbe...angalia ID jiulize ni mitindo gani hiyo utapata jibu murua mno
ID inakutisha....!!!!!
Nilishakwambia akili yako fupi sana, na mauchafu yako ya kichawi kichwani kwako.
Acha huo uchafu utanielewa tu.
 
Mshana kuna,watu wananifatilia maisha yangu kwa ubaya hata hapa nilipofika ni kwa bahati tu
Wananitakia mabaya tuuu wanataka kunigeuza chizi au wanifanye nisifanikiwe nikose pesa, nikose fikra na mawazo ya kimaendeleo, nisiwe na maendeleo wananiendea kuniloga nisiendeleee
Kinga dhidi ya kulogwa ni ipi mkuu?
Nitumie dawa,gan?

damu ya YESU ndiyo jibu..............walishanisumbua sana lakini sasa wananikimbia....kwa ushauri zaidi njoo PM
 
Ndio mana nakwambia una mtindio wa ubongo, kwa hiyo uwa unafurah watu wakivutika na mada zako za kichawi?
Unatakiwa ukapimwe akili wewe sio bure.
Kwa hiyo ulinunua hiyo sim sijui computer ili uwe unatoa mada za kichawi tu?
Unatia kinyaa na huo uchafu wako sipati picha jinsi ulivyo.
Kuna watu walikuwa na uchawi wa kutisha sio kama wewe chizi lakini wakaona huo ni utumwa wakaacha.
Badilika we mpare utaishi maisha ya kutumwa na wachawi wenzako hadi lini?
Usipokuwa makini utadumaa sio mda mrefu.
Achana na huo utumwa wa shetani wewe.

Your look like you know anything bt ur nothing.
Oya rudi kwenye mitindo yako huku hukuwezi rudi kule kwenye mitindo ya kufumuliwa marinda kuvaa shanga na kutoga masikio na kusuka na kupaka poda, huku kwa wanaume hukuwezi
 
Sina lengo la kubishana na wewe na wala siitaji respond yako.
Lengo langu ni wewe kuacha tabia zako za kufundisha jamii uchawi na ulozi.
Umeleta mada sehem wazi nami nakufundishia sehem wazi, privacy ya nini hapa?
Wewe ni mjinga na usipojiangalia utadumaa na hizo tabia zako chafu.

Hatujui kesho utaleta mada gani na tabia yako kama chizi.
Huo ni utumwa unaofanya, je utakuwa mtumwa hadi lini?
Soma hata maandiko ya vitabu vitakatifu vinavyosema
"na alaaniwe mtu yule anayemfanya binadamu mwenzie kama kinga yake"
Wee kiasi mbona una mambo ya kishoga namna hiyo na kuleta ujuaji Mavi? Sasa hapo hubishani unafanya nini? Jioni uje tena pale pale sawa bibie... Najua pakikuwasha unakuwaje... Usichelewe
 
Oya rudi kwenye mitindo yako huku hukuwezi rudi kule kwenye mitindo ya kufumuliwa marinda kuvaa shanga na kutoga masikio na kusuka na kupaka poda, huku kwa wanaume hukuwezi
Umekuja kumsaidia mchawi mwenzio?
 
Wee kiasi mbona una mambo ya kishoga namna hiyo na kuleta ujuaji Mavi? Sasa hapo hubishani unafanya nini? Jioni uje tena pale pale sawa bibie... Najua pakikuwasha unakuwaje... Usichelewe
Achana nae huyo mbwiga wa kikongo nafikiri hili limwanamke ni ligagula lililokubuhu maana naona linaumia kweli kuhusu threads za Mshana Jr
 
Mkuu niliingiwa na pepo baya sana tena saaaana ndugu yangu,nimepata maombezi na sasa najifahamu na sintorudia tena unismehe.Ila nitakujia PM ili nikufahamishe kwa undani nini kilinipata ili uweze kunisanehe zaidi.

Na Mimi nataka kujua hicho kitu..........
 
Si lazima usome mada zake kama huzipendi na kama hazikusaidii kuna majukwaa mengi tu yenye mlengo unaoutaka wewe na wake wenzio. Ahsante

Achana nae huyo mbwiga wa kikongo nafikiri hili limwanamke ni ligagula lililokubuhu maana naona linaumia kweli kuhusu threads za Mshana Jr

Huyu jamaa ngoja nikumegee siri ni bwabwa ndo maana linajipendekeza pendekeza

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app

Chukua cha kati maana ndio starehe yako ila leo kikavu hakina rays

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Katika ubora wenu, mwenzenu mshana jr pumzi imeshakata.
Mmechanganyikiwa mnaanza kutukana hovyo, mashetani yamewapanda?
 
Yule sio saizi yako ameshakwambia hatakujibu tena huwa anasimamia anachosema.... Wewe baki na mimi nataka nikunyooshe kiazi mbatata wewe
 
Ndio alivyokufundisha mshana jr hayo matusi?
Mshana jr pumzi ilishakata kitambo na akaanza mihemko kama yako bila facts zozote.
Unatakiwa ujue siko hapa kubishana au kushindana na mtu yeyote bali kuwaelimisha kwamba uchawi sio mzur na matokeo yake ni mabaya sana.
Uwe na amani kijana.
 
Matusi yako wapi hapa? Si bure naona kama si mimba changa basi uko kwenye siku zako
 
Back
Top Bottom