Jifunze ushirikina hapa

Jifunze ushirikina hapa

Hivi KARANJA 007! Nadhani sasa u rafiki mwema? But out of curious nini kilikufanya wakati ule mpaka unichukie kiasi kile?
Na kingine cha ziada ndugu Mshana ni kwamba wewe ni mkali saana tena saana,naomba wanajukwaa wenzangu wajifunze kutoka kwangu,kwamba DONT JUDGE THE BOOK BY ITS COVER,wewe ni noma na nimeona MAZINGAOMBWE baada ya kutofautiana na wewe,asante niishie hapo.
 
Wanangu wale.......chotara anaitwa Grace.......Josephine na Martina ni dada zake.......ila nimewapoteza long time.......

Duuh kumbe wewe mrembo uliwahi kunijibu?,yaani sikuwahi kuiona hii,Bwana asifiwe,yaani kweli hao ni wanao wow,yaani unamjua mpaka Grace na Martina?,haya basi unipatie namba ya Josephine tafadhali.
 
Mshana kuna,watu wananifatilia maisha yangu kwa ubaya hata hapa nilipofika ni kwa bahati tu
Wananitakia mabaya tuuu wanataka kunigeuza chizi au wanifanye nisifanikiwe nikose pesa, nikose fikra na mawazo ya kimaendeleo, nisiwe na maendeleo wananiendea kuniloga nisiendeleee
Kinga dhidi ya kulogwa ni ipi mkuu?
Nitumie dawa,gan?
Mamii una Biblia nyumbani?,kama unayo sema ili nikufahamishe cha kusoma,utarudi kunishukuru coz utaona maadui zako wanavyoumbuka mchana kweupe.
 
View attachment 323858
View attachment 323856

Inaweza kuwa mshangao kwa wengi kuwa sasa nataka kufundisha uchawi live.. La hasha! Hili sio lengo langu kuu. Lengo langu hapa ni;

1. Kuondoa yale mawazo potofu na mgando kuwa unapozungumzia ushirikina basi wewe hujasoma hujui na unaamini vitu ambavyo havipo.

2. Kuondoa dhana ya kuwa uchawi uko Africa na waafrika ndio waabudu uchawi wakubwa.

3.Uchawi na ushirikina ni aina ya sayansi mbinu mahesabu na viashiria vya mambo ya kawaida kabisa.

Wakati sisi tukiaminishwa na wazungu kuwa uchawi ni kitu kibaya na cha kishamba kabisa, wao wameendelea na utafiti juu ya uchawi huku kukiwa na maandiko makongamano vyuo na hata miradi mbalimbali ya uchawi na ushirikina.

Sasa hivi ukihitaji kujifunza uchawi huhitaji kwenda mbali bali kwenye simu yako tayari kuna apps nyingi tu zinazofundisha hayo mambo.

View attachment 323860

Kama u mpenzi wa kujifunza mambo mapya na udadisi wa yale yasiyojulikana na wengine, waweza ingia huko na kupata mengi, LAKINI jifunze kwa nia ya kufahamu na si kutenda.

Fahamu kila utendalo lakini usitende kila unalofahamu..

View attachment 323861View attachment 323862View attachment 323863

Wale wenye kutaka kufahamu zaidi ya kufahamu full package hii hapa..
Mpare katika ubora wako. Umekosa mtu wa kumpa mikoba ya babu yako unataka uwape watu hapa JF,
Wape watoto wako huo uchawi nafikiri ni jambo zuri zaidi.
Watu wanawaza kurithishana maendeleo ila we mpare unawaza uchawi kwenye karne, unaendelea kuchafua kilimanjaro kwa tabia zako za kupenda uchawi.
Halafu watanzania ni watu wa ajabu sana hivi kuunga mkono huo uchafu mnaona ni fasheni?
Mtu anatoa ela anunue vocha kwa ajili ya intanet halafu anakuja kushabikia uchawi, hiyo ni laana mnajitafutia watanzania mtakuja mpigwe kofi halafu hata mia ya hizo vocha mkose, na mkumbuke kwamba MUNGU muumba wa mbingu na nchi adhihakiwi.
Huyo kichaa mshana jr muacheni na ukichaa wake na hata shetani alivyofukuzwa mbinguni alikuwa anatafuta wafuasi kama anavyofanya huyo mpare mshana jr.
 
db1edfb340b05ee0d0864769222f31bd.jpg
 
Hata shetani ana maneno kama hayo.
We una laana ya uchawi, unataka kuisambaza hiyo laana yako kwa watu wengi hapa JF, hauwezi na hautaweza kamwe hiyo mipango yako.
Je unaweza kuniambia faida za uchawi?
Hao unaowaona wanajiita secret society ikiwemo freemason, illuminat n.k wana mipango mikubwa ya kusambaza utawala wa shetani lakini wanajua mwisho wao ni motoni.
We unaleta mambo ya kitoto hapa na hao wajinga wenzako wanakusifia unavimba kichwa kama likichaa fulani
 
Duu mambo ya kitoto halafu unahangaika nayo huku bado unataka kujua zaidi mbona sasa unajichanganya ndugu? Ukianza kuhangaika na Jr utakufa kihoro sikufichi
 
Kwani mtoto anapokosea anatakiwa afanywe nini?
Wewe ndio unaejichanganya na uchawi uliokujaa.
Me sihangaiki na wewe bali na kuelimisha uache tabia zako za kichawi.
We mshanq ni bure kabisa hauna kazi bali unawaza uchawi mda wote, nakuhurumia sijui utakuja kuwarithisha nini watoto na ndugu zako au ndio utawarithisha huo uchawi?
Jiangalie wewe mda haurudi nyuma
 
Tumia muda wako huu kutatua changamoto nyingi zinazokukabili una familia na ndugu wanaohitaji ushauri...kawashauri wao kwanza..wengine wasiokuhusu wala kuwafahamu achana nao kwakuwa huko kutakuwa ni kujipendekeza
 
We akili zako ni fupi sana, unaona unachofanya ni sahihi?
Sikutegemea kama una akili mgando namna hiyo.
Hivi unaona ujanja kujaza mada za kufundisha uchawi na ulozi sehemu watu wanapotegemea kuongeza maarifa ya maendeleo.
Hivi faida za uchawi nini hasa kwenye jamii?
 
We ni kichaa, ila unatakiwa ushukuru ninapokuelimisha sio kwa akili zako fupi unasema najipendekeza, nijipendekeze kwa lipi hasa?
siwezi kuacha kukuelimisha hadi utapoacha huo ujinga wa kuwaza uchawi mda wote.
Unatakiwa ubadilike wewe toa uchafu huo kichwani.
 
Taratibu naona unavutika japo unajaribu kwa kishindo bila mafanikio kuzidiss mada zangu...nk kawaida sana kwangu kupata replies kama zako kwangu huwa sishtuki
 
Duu naona umeshindwa kabisa kubanduka kwenye hii mada..jus get the load of this
 
Taratibu naona unavutika japo unajaribu kwa kishindo bila mafanikio kuzidiss mada zangu...nk kawaida sana kwangu kupata replies kama zako kwangu huwa sishtuki
Ndio mana nakwambia una mtindio wa ubongo, kwa hiyo uwa unafurah watu wakivutika na mada zako za kichawi?
Unatakiwa ukapimwe akili wewe sio bure.
Kwa hiyo ulinunua hiyo sim sijui computer ili uwe unatoa mada za kichawi tu?
Unatia kinyaa na huo uchafu wako sipati picha jinsi ulivyo.
Kuna watu walikuwa na uchawi wa kutisha sio kama wewe chizi lakini wakaona huo ni utumwa wakaacha.
Badilika we mpare utaishi maisha ya kutumwa na wachawi wenzako hadi lini?
Usipokuwa makini utadumaa sio mda mrefu.
Achana na huo utumwa wa shetani wewe.
 
Your look like you know anything bt ur nothing.
Kazi ipo mpaka unatia huruma ujue wewe... Nina kanuni moja huwa sipotezi muda mwingi kwenye ubishi usio na tija...usitumie ID bandia zaidi ya moja kujifanya unajua kutoa ushauri sana..jitokeze wewe katika uhalisia wako kama una ubavu ...nawaheshimu sana watu wenye ID bandia kwa ajili ya privacy nk lakini sio kwa ujinga kama wako..
Baada ya post hii unaweza kuandika utakacho lakini hutapata response yangu..
 
Kuna chanting za kidini mnamualika Mungu au malaika wake
Kuna chanting za kishetani mnamualika shetani na mawakala wake
Kuna chanting za kishirikina mnaalika nguvu za giza
Kuna chanting za miungu, mnaalika miungu
- chanting ya Amitofo kwenye Buddhism mnamualika Buddha
-Chanting ya Hare Krishna
-Zen (chan)
-chanting ya hungry ghost
Leo nimeshindwa kukuelewa kabisa na Thread yako!????????!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom