Jifunze ushirikina hapa

Jifunze ushirikina hapa

Kuna kipindi niliibiwa duka langu lilivunjwa kuna mzee akaniambia anipeleke kwa mganga vitu vyote vitarudishwa mkakataa maana ya ua siamini uchawi je ni kweli uo uchawi upo wa kurudisha vitu vyako
 
Mshana hilo lengo lako la kuongeza idadi ya wachawi ili watu walogane ushindwe kwa jina la yesu

Na alegee Kabisa maana hata Mimi simuelewi. Soon tutanza kulogana huku huku Jf
 
mi bado nalia na alieturoga watanzania,hivi ni lzm uwe mpinzani wa kila jambo ili kuthibitisha ujuaji wako?angalia sasa unapoteza muda kwenye masuala ambayo unaona kabisa yapo tofauti na vile upendavyo,ukaacha yale uyapendayo.
 
View attachment 323858
View attachment 323856

Inaweza kuwa mshangao kwa wengi kuwa sasa nataka kufundisha uchawi live.. La hasha! Hili sio lengo langu kuu. Lengo langu hapa ni;

1. Kuondoa yale mawazo potofu na mgando kuwa unapozungumzia ushirikina basi wewe hujasoma hujui na unaamini vitu ambavyo havipo.

2. Kuondoa dhana ya kuwa uchawi uko Africa na waafrika ndio waabudu uchawi wakubwa.

3.Uchawi na ushirikina ni aina ya sayansi mbinu mahesabu na viashiria vya mambo ya kawaida kabisa.

Wakati sisi tukiaminishwa na wazungu kuwa uchawi ni kitu kibaya na cha kishamba kabisa, wao wameendelea na utafiti juu ya uchawi huku kukiwa na maandiko makongamano vyuo na hata miradi mbalimbali ya uchawi na ushirikina.

Sasa hivi ukihitaji kujifunza uchawi huhitaji kwenda mbali bali kwenye simu yako tayari kuna apps nyingi tu zinazofundisha hayo mambo.

View attachment 323860

Kama u mpenzi wa kujifunza mambo mapya na udadisi wa yale yasiyojulikana na wengine, waweza ingia huko na kupata mengi, LAKINI jifunze kwa nia ya kufahamu na si kutenda.

Fahamu kila utendalo lakini usitende kila unalofahamu..

hivi ilinipitaje hii....
 
Huu muda mtu anaotumia kujifunza na hata kufikia hatua ya kufundisha wengine kuhusu uchawi, kama uchawi unafaida mbona sehemu zote ambazo uchawi upo hamna maendeleo? Kwanini tusitumie muda huu kuelimishana mambo mazuri ya kujenga na kutuendeleza badala ya kujifunza namna ya kuharibu, kubomoa, kuleta chuki na mambo mengine mabaya yanayo letwa na uchawi katika jamii? Mwisho wa siku unajifunza uchawi ili upate nini? Kwanini usijifunze elimu ya kumjua Mungu na uweza wake dhidi ya kazi za Shetani? Hapa naona this is totally misplaced..
 
View attachment 323858
View attachment 323856

Inaweza kuwa mshangao kwa wengi kuwa sasa nataka kufundisha uchawi live.. La hasha! Hili sio lengo langu kuu. Lengo langu hapa ni;

1. Kuondoa yale mawazo potofu na mgando kuwa unapozungumzia ushirikina basi wewe hujasoma hujui na unaamini vitu ambavyo havipo.

2. Kuondoa dhana ya kuwa uchawi uko Africa na waafrika ndio waabudu uchawi wakubwa.

3.Uchawi na ushirikina ni aina ya sayansi mbinu mahesabu na viashiria vya mambo ya kawaida kabisa.

Wakati sisi tukiaminishwa na wazungu kuwa uchawi ni kitu kibaya na cha kishamba kabisa, wao wameendelea na utafiti juu ya uchawi huku kukiwa na maandiko makongamano vyuo na hata miradi mbalimbali ya uchawi na ushirikina.

Sasa hivi ukihitaji kujifunza uchawi huhitaji kwenda mbali bali kwenye simu yako tayari kuna apps nyingi tu zinazofundisha hayo mambo.

View attachment 323860

Kama u mpenzi wa kujifunza mambo mapya na udadisi wa yale yasiyojulikana na wengine, waweza ingia huko na kupata mengi, LAKINI jifunze kwa nia ya kufahamu na si kutenda.

Fahamu kila utendalo lakini usitende kila unalofahamu..

Sio kweli kwamba mtu anaweza kusoma hapatu na akawa mchawi hili nakataa kwa asilimia 100
 
My friend, sasa unaelekea kubaya to be honest.

You cannot claim to believe in God yet at the same time teach people how to cross limits ordained by God into witchcraft! How do you teach people

I would expect you to teach people stuff that re-affirms their faith in God and not stuff that makes them associate witches and wizards with God.

Mfano mtu amekata tamaa kulingana na mitihani aliyoipata. Nilitegemea ungempa matumaini mapya ya kumtumainia Mungu na wala sio kumpa option ya chuma ulete kwa mfano.
 
Uchawi ni nguvu za uharibifu tu hakuna lolote. Hamna mchawi mwenye kumtakia mtu mema. Msomi ambaye ni mchawi, ujuwe hajaelimika!
 
Back
Top Bottom