mutu ya watu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2010
- 213
- 41
OK mkuu , jibu swali unapofundisha MTU kuendesha gari unataka awe nani?Inachekesha kweli unapojitungia ID na kujipostia mwenyewe ili uonekane una support ya wengine... Hizi za kitoto kweli hizi
OK mkuu , jibu swali unapofundisha MTU kuendesha gari unataka awe nani?Inachekesha kweli unapojitungia ID na kujipostia mwenyewe ili uonekane una support ya wengine... Hizi za kitoto kweli hizi
Wiccans assistantHebu nitajie ulizoziona takuambia
Awe nani kivipi mimi sio mwalimu wa magari Kwahiyo siwezi kukujibuOK mkuu , jibu swali unapofundisha MTU kuendesha gari unataka awe nani?
Bro.....unajua najiuliza hapa.So it is always like that...+
Ni lazima kuwe na mwili na roho ili kutengeneza nafsi ambayo ndio inakuwa na utashi wa kufanya maamuzi, lakini kukiwa kuna shida fulani kwenye hiyo nafsi basi matatizo huanzia hapoBro.....unajua najiuliza hapa.
Tunajua brain ina regions tatu na kila moja inakazi yake
Mtu akitolewa region ya mbele tu anaweza ishi ila atakuwa hayupo timamu
Sasa hawa viumbe wengine ambao wana operate rohoni wanawaze kufikiri, ku reason na kutoa maamuzi husika?
Hasa hizi spirit (mzimu,majini etc) hazina utashi zikiwa nje ya mwili???Ni lazima kuwe na mwili na roho ili kutengeneza nafsi ambayo ndio inakuwa na utashi wa kufanya maamuzi, lakini kukiwa kuna shida fulani kwenye hiyo nafsi basi matatizo huanzia hapo
Mrembo sijakukaushia,nilipigwa ban,sasa ndio naruNa Mimi nataka kujua hicho kitu..........
Kwa kweli duniani kuna watu na mambo mazito,tujihadhari.Na Mimi nataka kujua hicho kitu..........
Mbona unakuwa na majanga sana wewe kwanini?Mrembo sijakukaushia,nilipigwa ban,sasa ndio naru
Kwa kweli duniani kuna watu na mambo mazito,tujihadhari.
Ndio ilivyo Mkuu Kizibo,maana kuna watu humu wataalamu,yaani ukiwatibua basi MAZINGAOMBWE yanakujia.Mbona unakuwa na majanga sana wewe kwanini?