Jifunze ushirikina hapa

Sorry mrembo nilikuwa offline kidogo,nafikiri itakuwa hivyo coz nyumba yao iko eneo hilo la bondeni,nyumba yao ni rangi ya njano advertisement ya MOBISOL na imeandikwa MOBIOSOL kwa juu, yeye mwenyewe mweupe chotara.

Wanangu wale.......chotara anaitwa Grace.......Josephine na Martina ni dada zake.......ila nimewapoteza long time.......
 
hizo spell zinanikumbusha "vampire diaries au diary of vampires sijui... Bon na bibi yake walivyokuwa wanazisoma na nguvu zake.... Nakumbuka nyingine zilikuwa zinawazimisha kabisa ni hatariii....
 
Mshana
Ile astral projection inahusiana na uchawi wowote. Yaan hta mchawi anaweza kutumia mbinu hyo ya astral projection
 
Mshana niambie kuhusu ngekewa pleasss kuna mtu kaniletea manyoya yake kasema eti nikaenayo ni mazuri kua nayo sijaelewa
 
Hii nikama NYOTA ya kukubalika kwa Lugha ya BIBLIA inaitwa KIBALI manake kila unachofanya kinafanikiwa.....Pia kuna mnyama flan mdogo sana anaitwa hilo jina inasemekana anapokaa huyo mnyama basi kila aina ya wadudu wanamsogelea sasa washirikina wanamchukua wanamfanyia majambo kwenye biashara

Mshana niambie kuhusu ngekewa pleasss kuna mtu kaniletea manyoya yake kasema eti nikaenayo ni mazuri kua nayo sijaelewa
dolevaby kaijibu vizuri ...hayo manyoya yanaweza kuwa na yule ndege mwenye mvuto sana nimemsahau jina...yeye muda wote anatembea na kundi la wanyange wasiopungua 20
Kiuhalisia hakuna mahusiano ya wewe kuwa na bahati na hayo manyoya...hivi vitu vingine ni imani tu za kutujenga kisaikolojia
 
Ile ni supernatural powers through practice lakini kuna shortcut ya kutumia juju
Asante mkuu.
Kuna sehem nliwahi kuishi sasa huyo mzee alikuwa hapendi mambo ya kuomba. Kilichokuwa kinashangaza ni pale mke wake akiamua kuwaleta wachungaji nyumban ili wafanye huduma ya maombi, yule mzee lazm hyo siku atarud tu nyumbani mapema hta kma wachungaji wameenda sa nne asubuh yule mzee atatoka huko kazini aje nyumban ili awazuie wasiombe. Lkn siku kma wachungaji hawajaja huwa harudi nyumban. Je huyu mzee alikuwa anatumia nn labda au anajuaje kma leo wachungaji wako kwake?
 
Kuna watu wana mapepo na huyo mzee ni mmojawapo
 
next time jiitahd kuegemea ktk mada za maendeleo ktk jamii yetu na taifa kwa ujumla,taifa haliwez kuendelea kwa nguvu kazi yake kujadili uchawi daily.....una sambaza ideas za uchaw daily badala ya kusambaza ideas za kimaendeleo au kuna taifa umewah kuskia uchawi umeimalisha hali ya maisha ya raia wake na uchumi kwa ujumla.
 
Kuna wakati unapotaka kuandika kitu jitafakari mara mbili kama hicho unachotaka kuandika kama kitaleta maana unayokusudia
Mimi naandika ninachoona kinafaa kuandikwa na mimi na nachagua jukwaa la kuandikia hii sio homework kuwa leo nikiandika hivi kesho napaswa kuandika
Kama ukiona hizi hazikufai una options mbili
1. Ukiona post zangu unapuuzia na kuachana nazo kwakuwa hulazimishwi kuzisoma
2. Unaanzisha mada zenye mwelekeo unaoutaka wewe. ..sawa rafiki ..!
 
U'll never argue with a conservative man and expect to win............nimechek replies zako nyng huwa unapenda mtu aku support n for those who dont support u huwa unajib kwa lugha flan ya watu ambao ni uncivilized......unapotosha jamii then unasema mtu km hatak apite kimya ur nt serious..........
 
Naeza pita kimya mimi bt hii ni social network ambayo mayb kuna family members wangu wanapta huoni km bdo kuna impacts zitapatkana km ukiichwa kumezesha watu sumu km usipoambiwa ukwel,dini zote zinapinga ushilikina so acha hizo mada ili upate wepesi siku ya hukumu...naihusia nafsi yangu na yako pia kuepuka ushilikina
 
next time jiitahd kuegemea ktk mada za maendeleo ktk jamii yetu na taifa kwa ujumla,taifa haliwez kuendelea kwa nguvu kazi yake kujadili uchawi daily.....una sambaza ideas za uchaw daily badala ya kusambaza ideas za kimaendeleo au kuna taifa umewah kuskia uchawi umeimalisha hali ya maisha ya raia wake na uchumi kwa ujumla.
Weka link ya mada moja Tu ya kimaendeleo ambayo ushawahi kuandika hapa jf, moja Tu tafadhari!
 
U'll never argue with a conservative man and expect to win............nimechek replies zako nyng huwa unapenda mtu aku support n for those who dont support u huwa unajib kwa lugha flan ya watu ambao ni uncivilized......unapotosha jamii then unasema mtu km hatak apite kimya ur nt serious..........
Unatoa hukumu ya makosa sana kwahiyo ulitaka nikubaliane na wewe? Mimi naandika kama hobby halafu naandika kile nitakachoweza kukitetea sasa wewe unataka niandike habari za maendeleo as if sasa umeni authorise mimi kuandika habari...hii ni sawa kweli?
Kuna watu wengi tu hawqkubaliani na mada zangu lakini huwa wanapita kimya au wanakuja na constructive argument na tunaenda sawa
 
Back
Top Bottom