Jifunze ushirikina hapa

Jifunze ushirikina hapa

najua umenielewa,na kama alivyochangia mkuu huko juu kuwa,jf inasomwa na ndugu zetu,jamaa zetu na rafiki zetu,so huwezi kuachiwa kirahisi tu ili uwa brain wash watu na mambo yasio leta maendeleo katika jamii! Think Big.
Usiishi kwenye dunia ya kufikirika SIJAKUELEWA!!! soma jibu langu kwa huyo mtu...halafu haya maneno mengine msiyaongee tu kama fasheni kama hamuijui maana yake hasa...hiyo brainwashing iko wapi hapa?
Hivi unajua hao mnaowaita ndugu wamepitia wapi kabla hawajafika JF? Huku ndio ku THINK BIG? Hebu kachunguzeni hizo simu za hao ndugu zenu muone madudu yaliyomo kabla hujaja hapa na slogan za brainwashing na think big
 
mshana jr kuna siku nilikuwa maeneo ya mashewa kuna mzee akaja kunilalamikia hajapiga msosi toka asubuhi nimpe tu japo mia mbili akapate chochote kitu cha kuweka tumboni! ghafla nikakukumbika ile ishu ulileta kuhusu pesa za sarafu na uchawi ikanibidi nitumie busara kumwambia hata mie sijala twende wote tukale mgahawani basi akaanza kuleta sound nipatie tu hiyo hela nikamtolea nje mpk tukafika mgahawani akagoma kupewa chakula akasepa zake bila kula wala nini yaani nikashangaa sana huku nilishikwa na mshangao kuwa hakuwa na nia njema kabisa.
Ahsante sana sometimes hizi mada zinatutoa tongotongo.
Pole sana huko mashewa ndio maisha yao....bahati yako
 
najua umenielewa,na kama alivyochangia mkuu huko juu kuwa,jf inasomwa na ndugu zetu,jamaa zetu na rafiki zetu,so huwezi kuachiwa kirahisi tu ili uwa brain wash watu na mambo yasio leta maendeleo katika jamii! Think Big.
Mkuu wewe kama sio Mchawi hutaki yenu yaanikwe basi bado uMtoto.....cz nguvu unayotumia kupingana na Jamaa sibure....yaani....unamwambia jamaa asiweke hizi kwakuwa kuna watu wakaribu yako ambao kwa mtazamo wako hawajielewi so kwa niaba yao unapiga Marufuku watu wasijadili baadhi ya mada...Umejaribu kufatilia Simu za hao watu unaotamani wasisome mada zinazohusu uchawai ukajua wanaangalia nini vipi kuhusu Picha za ngono kwenye Simu nk...Sikia ndugu mada ya hovyo unaipoyezea tu au Mpinge kwa hoja na viThibitisho vinginevyo tunaweza sisi kudhani mnaBIFU na mleta mada...au Mkuu wee unataka mada za kutoka kwa mimba ya wema sepetu....Kwenye hii dunia hakuna MTU anaejua kila kitu wewe ukijua hiki na mwingine anajua hiki so mnaShare hata kama kitu hukipendi lkn kuna siku itafika utahiji msaada ukakwama
 
kumbe ndio kazi yako kufuatilia hivyo vitu? Mbona mimi wala sijui hiyo kitu hapo kwenye red? Siku nyingine uwe unasoma flow chart badadala ya kukurupuka tu na kuandika ili kumfurahisha mtu!! Haya umeshamaliza kazi yako uliyotumwa tulia sasa.
 
Hivi kwanini mtu akipingana nawewe unakimbilia kusema katumwa au ni double ID?
 
Hii elimu ni ngumu maana tunakaa na waganga ipo Siku watakuumbua, kumbe ulikuwa unajifunza kwa nia njema kuweni makini munaohitaji cd za kichawi. utajikuta unaambiwa uwe unaamuka saa 8 za usiku kwanini watu wasikuone wewe mchawi, elimu za kujitesa mwanzo mpaka mwisho ni practical .
 
aisee kuna paka wanapiga makelele mlangoni kwetu usiku ... hivi mkuu hakuna dawa ya kuwakamata wasitoke usiku kucha ...
 
aisee kuna paka wanapiga makelele mlangoni kwetu usiku ... hivi mkuu hakuna dawa ya kuwakamata wasitoke usiku kucha ...
Mifupa ya kitimoto au kinyesi chake kikavu...wasipoondoka hao wana yao...hiyo ya kuwagandisha hiyo sina
 
Ila uchawi wa tanzania ndo mbaya uchawi wa kulogana unakuta una umaskini wa kutupwa na bado unalogwa uzidi kuharibikiwa!nadhani uchawi wa huku africa au tanzania mtu anajifunza kwa nia ya kuharibu na kuchezea maisha ya mtu yeye kila siku mambo yanavyokuharibikia wao ndo sherehe.ila uchawi wa kina dynamo au criss angel ni wa kutengeneza pesa na kuwapa watu attention tu!ila me binafsi naamini uchawi upo ila siuamini na namkaribisha mchawi anijaribu
 
Mshana kuna,watu wananifatilia maisha yangu kwa ubaya hata hapa nilipofika ni kwa bahati tu
Wananitakia mabaya tuuu wanataka kunigeuza chizi au wanifanye nisifanikiwe nikose pesa, nikose fikra na mawazo ya kimaendeleo, nisiwe na maendeleo wananiendea kuniloga nisiendeleee
Kinga dhidi ya kulogwa ni ipi mkuu?
Nitumie dawa,gan?
 
Duu pole sana kwakweli hapa ngoja aje jichawi au mtu mkubwa au Mzizi mkavu
 
Usiwe mwoga bhanaa,wewe jifunze how to make love portion au love charm,ni rahisi na haitogopeshi yaani inavutia kinomaaaa.
Hivi KARANJA 007! Nadhani sasa u rafiki mwema? But out of curious nini kilikufanya wakati ule mpaka unichukie kiasi kile?
 
duh uchiwi kama uchafu uchafu hivi
Hapana unakosea,sio uchafu uchafu,ni taaluma kama taaluma zingine tu au tuseme inashabihiana na CHEMISTRY au KEMIA,ni kuchanganya MANDUMBA au MAUFYANKU ndani ya chungu huku ukinuiza na kupulizia halafu inakolea.
 
Hivi KARANJA 007! Nadhani sasa u rafiki mwema? But out of curious nini kilikufanya wakati ule mpaka unichukie kiasi kile?
Mkuu niliingiwa na pepo baya sana tena saaaana ndugu yangu,nimepata maombezi na sasa najifahamu na sintorudia tena unismehe.Ila nitakujia PM ili nikufahamishe kwa undani nini kilinipata ili uweze kunisanehe zaidi.
 
Back
Top Bottom