Jifunze ushirikina hapa

Jifunze ushirikina hapa

IMG_20151031_182342.jpg
 
Hizi ndio aina za post zako your level of understanding and perception ends here...watu wa aina yako kama wakiendesha gari watagombana mpaka na nzi huko barabarani simply because you are mentally castrated
Huna jipya,huo ndio mwisho wako wa kurespond comment za watu,kuna mkuu huko juu amekushauri vizuri sana,sasa mimi kumsapoti umechanganyikiwa kabisaaa!! narudia tena kusema Huna jipya!
 
Mentally castrated...!that's all I can call you...don't ever forget about this every morning when you look into the mirror....
Say this as your daily prayer. ...me .
.....a.k.a. clever king mshana jr said that I am mentally castrated...!
 
mshana jr kuna siku nilikuwa maeneo ya mashewa kuna mzee akaja kunilalamikia hajapiga msosi toka asubuhi nimpe tu japo mia mbili akapate chochote kitu cha kuweka tumboni! ghafla nikakukumbika ile ishu ulileta kuhusu pesa za sarafu na uchawi ikanibidi nitumie busara kumwambia hata mie sijala twende wote tukale mgahawani basi akaanza kuleta sound nipatie tu hiyo hela nikamtolea nje mpk tukafika mgahawani akagoma kupewa chakula akasepa zake bila kula wala nini yaani nikashangaa sana huku nilishikwa na mshangao kuwa hakuwa na nia njema kabisa.
Ahsante sana sometimes hizi mada zinatutoa tongotongo.
 
Hivi vitu Kobe ni mpaka ukutane navyo ndio unaweza kujua ni kwanini inakuwa hivi
Imagine anakuja mtu kukuomba pesa ya chakula ila kwa mtazamo wako unaona umpe chakula badala ya pesa halafu anakataa....hapo si bure kuna namna
 
we believe in transition.
every single thing in the universe
is recycled, energy can never die
it just moves on. The water we
drink is the same water that has
ever and will always be, it rains,
falls to the ground, then is taken
back up again. Our bodies are
vessels to hold our spirit, until it
is time to move on
 
Mentally castrated...!that's all I can call you...don't ever forget about this every morning when you look into the mirror....
Say this as your daily prayer. ...me .
.....a.k.a. clever king mshana jr said that I am mentally castrated...!
Kuna course moja hutolewa vyuoni inaitwa Critical thinking and argumentation,take time ukaisome vizuri,halafu ndio urudi jf,ufanyie kazi huo ushauri wangu huenda ukakusaidia ukaachana na huo Upumbavu wako usio na maana kwa wachangiaji,umesikia wewe Boya?
 
we believe in transition.
every single thing in the universe
is recycled, energy can never die
it just moves on. The water we
drink is the same water that has
ever and will always be, it rains,
falls to the ground, then is taken
back up again. Our bodies are
vessels to hold our spirit, until it
is time to move on
The myth of impermanence in the realm of permanence
 
Kuna course moja hutolewa vyuoni inaitwa Critical thinking and argumentation,take time ukaisome vizuri,halafu ndio urudi jf,ufanyie kazi huo ushauri wangu huenda ukakusaidia ukaachana na huo Upumbavu wako usio na maana kwa wachangiaji,umesikia wewe Boya?
Kila utakaponiquote usisahau hiyo sala niliyokuambia
Nakuapia ningekuwa boya usingehangaika na mimi kiasi hiki...by the way critical thinking and argument sio sawa na geometry au botany kwamba lazima uisomee...kumbe ndio maana unafeli kwenye mambo mengi kwasababu hii
 
najua umenielewa,na kama alivyochangia mkuu huko juu kuwa,jf inasomwa na ndugu zetu,jamaa zetu na rafiki zetu,so huwezi kuachiwa kirahisi tu ili uwa brain wash watu na mambo yasio leta maendeleo katika jamii! Think Big.
 
Achana na
Kila utakaponiquote usisahau hiyo sala niliyokuambia
Nakuapia ningekuwa boya usingehangaika na mimi kiasi hiki...by the way critical thinking and argument sio sawa na geometry au botany kwamba lazima uisomee...kumbe ndio maana unafeli kwenye mambo mengi kwasababu hii
hiyo mpuuzi, go on, mtoto mdogo bado hiyo hajui dunia ilivyo
 
Hivi vitu Kobe ni mpaka ukutane navyo ndio unaweza kujua ni kwanini inakuwa hivi
Imagine anakuja mtu kukuomba pesa ya chakula ila kwa mtazamo wako unaona umpe chakula badala ya pesa halafu anakataa....hapo si bure kuna namna

Kweli namna lazima iwepo kwani mi bila kutarajia nikaona hamna namna ya kufanya zaidi ya kutoa msaada wa chakula japo nao ukagomewa sasa nikajiuliza huyu mtu lengo lake lilikuwa chakula au alitaka ile pesa kununua sigara au ndio akafanye mambo yake mengine ya ki uovu.
 
Back
Top Bottom