Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,375
- 14,870
ukitaka kumuuliza mtu wewe ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenu hapo kwa english inakuaje?
Utauliza hivi; What order are you in family?, Na unaweza kujibu; I am first born, au I am fifth born etc, kulingana na nafasi yako ya kuzaliwa.