Jifunze TENSES hapa

Umeona hapo kuna in the morning, in the afternoon, in the evening, but at night.

Why at and not in the? For the former 3 why not at morning and so so.

“in the night” nafikiri inategemea na sentesi na maelezo ya ndani ya sentesi na ndivyo ilivyo hata “at night”

na ukiangalia hapo utaona kwenye “in the night” kuna article “the” na kwenye “at night” hakuna article..
 
Hongera mkuu kwa kuanziasha huu uzi naomba utupe madini kuna vitu bado najifunza japo ndo nmeingia leo kwenye hii thread
 
Back
Top Bottom