Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

Umenikumbusha kipindi mchepuko wangu uliposhtukia kuna manzi mwingine, ukasema utamwambia wife labda yeye ndio nitamsikiliza
 
Kwanza nikukosoe hili tukio limetokea jana usiku? Rekebisha mada yako hata kama umeikopi sehemu jifunze kuandika tarehe ya tukio na sio mambo ya jana juzi.
 
Hebu mwangalie mwanaume mwenyewe pale juu halafu useme kama anaweza kufanya hivyo!
 
Oyaa mabaharia tuwe tunaangalia na wanawake wa kudate nao pia wakuwadanganya maana mda wowote ukiharibu wanakuwahisha kwa sir god


Halima wa Manzese alinipenda kupita maelezo mnoo sema kichwa kibovu na kama unavyojua huwa haturidhiki na jike moja alikuwa akiniambia we endelea na umalaya wako siku umelala nikikata hicho kikojoleo chako ndio utaelewa mara anitishie kuniwekea simu ukigombana nae chochote kilicho mbele yako anakitumia


So ikabidi niachie ngazi so mabaharia angalieni sana hawa watu we tafuta ka manzi kapole kalokole kenye huruma kafia dini
 
Basi mwisho wa siku malipo ya mzinzi ni kama ya mwizi jamaa kaishia kufa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…